malaika

Malaika Arora is an Indian actress, dancer, model, VJ, and television presenter. She is most famous for her dancing in the songs Chaiyya Chaiyya (1998), Gur Naalo Ishq Mitha (1998), Maahi Ve (2002), Kaal Dhamaal (2005) and Munni Badnaam Hui (2010). She turned into a film producer in 2008, with her former husband, Arbaaz Khan. Their company Arbaaz Khan Productions has released films like Dabangg (2010) and Dabangg 2 (2012).

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Shida ya Nchi hii sio vyama vya upinzania wala viongozi wa upinzani, shida ni Watanzania hatuna Spirt ya mapambano.

    Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo

    Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo Malaika ni nani Neno la Mungu huwaeleza malaika kuwa roho wenye uwezo mwingi sana, na roho haionekani kwa macho ya binadamu (1Wafalme 22:21; Zaburi 34:7; 91:11). Biblia husema kwamba, “katika yeye (Yesu), vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kupitia maandiko Malaika wote ni Wazungu, na Adamu alikuwa Mweusi

    Kwa kusoma kwangu maandiko mpaka hapa tulipofikia, ninaamini haya. Malaika ni weupe kama Wazungu Binadamu wa kwanza, yaani akina Adam walikuwa weusi. Sijajua kama na nyie mmegundua hili! Ila acha niseme kidogo, narudi kulekule kwenye kitabu cha Enoko. Wakati Nuhu anazaliwa, watu wote...
  4. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Pengine; nimekutana na malaika kutoka mbinguni

    Ni hivi, upwiru unavyozidi mtu una hangaika hangaika, nimekutana na m-shangazi mmoja hivi, sasa hapa na pale tukaelewana tukaweka miili yetu kitandani Siyo kesi, nikawa nasubiri ile sehemu ya pili, invoice, nilistaajaabishwa hakukuwa na invoice wala nini, nikasema labda kwasababu ya show ya...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Malaika Cute, hiyo shepu tumekubali!

    Huyu mrembo ana trako kubwa sana, nafikiri ni mambo ya Uturuki. Nimepita kwa page yake kule IG ni🔥 Tangu ameachana na Ricardo Momo siku hizi ni mwendo wa bata tu, watoto wa mjini wanasema ni burudani kwa wote. Ila lile trako🥶
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kila mtoto anayekupa hela anakuwa ni Malaika kutoka Mbinguni?

    Kwahiyo kumbe hata Mimi GENTAMYCINE nikienda Kuwatembelea Marafiki zangu wakubwa hapa JamiiForums akina Mtani wangu Arovera, mrangi, Bila bila, SAGAI GALGANO. rodrick alexander na Mjeda wangu wa 521 Lugalo King Kong III na Watoto wao wakija kunipa Hela basi moja kwa moja natakiwa Kujisifu na...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Napinga sana hoja ya kusema watoto ni malaika

    Rais alikuwa anaongea na wale watoto wa shule ya msingi akawaita " malaika" Hili ni jambo ambalo napinga sana. Ni kama mtu akinunua glasi mpya au sahani mpya,haoni sababu ya kuiosha. Mtoto anapaswa kufundishwa mambo mengi,kwa sababu anaweza anajua kuhesabu moja mpaka kumi lakini hajui Amri Kumi...
  8. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si Malaika

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee. "Inategemea hayo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Nahisi yule hakua mtu wa kawaida bali malaika

    Jana ya siku ninayotaka kuielezea alikuja ndugu yangu kwa lengo la kushauriana afanye nini kujikwamua kiuchumi.Hapo ni baada ya kuachwa na mwanaume aliyekua akimtegemea kwa kila kitu. Wakati tunapiga piga story uwani geti likagongwa,mlinzi na dada hawakuwepo so nikamuomba akachungulie ni...
  10. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Hivi wanasemaga watoto ni malaika wa nani vile

    Kibo chandede
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna malaika anaitwa Israili ambaye ndiyo mtoa roho?

    Tangu nakua mpaka leo nimezeeka, nimekuwa nikisikia watu wakisema kuwa "malaika mtoa roho anaitwa Israili". Sina hakika kama huyo Israili jina lake linatokana na jina Israel au lah. Kwa watu wajuzi wa mambo ya kiroho naomba mnisadie kujua kama kweli malaika mtoa roho anaitwa Israili.
  12. bahati93

    JamiiForums Tanzania Malaika watakavyokuja

    Malaika, viumbe wa mbinguni wanahitaji kufanya maboresho ya haraka sana ili kuweza kuwakabili waovu wa hii dunia pale watakapokuja na bwana. Malaika wamekuwa wakitumia Mapanga kama silaha yao kuu, lakini tangia waondoke zamani hizo mwanadamu kwa kutumia werevu wake katengeneza silaha kali sana...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

    Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mfalme Nimrod, Malaika waasi na Majitu makubwa

    Malaika aitwaye Makerubi alikuwa na kazi ya kumsifu Mungu Mbinguni, sifa kubwa ya malaika hawa huwa na mbawa sita ambazo mbili zina uwezo wa kumfunika mwili mzima. Kwa nini Mungu aliwaumba? Mungu aliwaumba kwa sababu alitaka kusifiwa milele. Mungu anapenda kuabudiwa na humbariki mtu anayefanya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nawaalika Malaika kuja kusimamia Haki katika chaguzi zetu 2024 na 2025

    Salaam, shalom! Nimesikia kauli ya mbunge mmoja akitamka kauli ya hatari mbele ya viongozi wake wa chama na mbele ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa hadhara. Amesema hadharani kuwa, chaguzi zijazo 2024&2025, hapatakuwa na DEMOKRASIA. Kauli hii Kwa kuwa haikukanushwa na viongozi...
  16. bahati93

    JamiiForums Tanzania Maboresho umbo la malaika

    Malaika ni viumbe wa mbinguni Wanatumika kufikisha jumbe za Mwenyezi Mungu kwa watu husika, hawa viumbe wana mabawa mengi sana yanayowawezesha kusafiri kwenye anga kwa kasi ya ajabu. Sasa kwa elimu dunia ndogo niliyopata juu ya mambo usafiri wa anga nadhani si Sawa malaika kuendelea hutambulika...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

    Wana JF, umofia kwenu. Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tujadili viumbe walioumbwa kwa moto na upepo ambapo humo tunapata Malaika, majini, vibwengo, shetani wana maumbo au hadaa zetu tu?

    Habari wakuu. Leo nimeona nilete kwenu hii hoja kwa mfumo wa swali. Kama nililivyoliweka hapo kwenye heading kuhusu taswira au umbo lionekanalo kwa macho pale inavyowezekana, hawa viumbe ambao tunaaminishwa kupitia imani zetu kwamba wameumbwa kwa moto na upepo wanabeba taswira gani? Upepo sote...
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Zimwi alilonitumia limebadirika kuwa malaika!!

    Akili zao wanazijua wenyewe!, kamshawishi rafiki yake anitege nami babu rambaramba nikategeka!,nae alietumwa kadata na penzi limemkolea baada yakukutana na huba toka anga za unyamwezini!. Alietuma papaso la wivu lamtafuna,ule utamu wangu aliouona uchungu sahivi anautaka!. Nami ndo kwanza...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu wakristo wengi wanateseka licha ya kuomba sana. Majini Vs Malaika

    Wasalaam Wengi wanaaminishwa uhalisia wa majini/mapepo na ushirikina kuliko Malaika. Yaani unakuta mtu analala, kwa machale na wenge akitegemea muda wowote kukabwa, Kukwidwa kubininywa au kufinywa na nguvu za giza. Hii imepelekea 90% ya maombi ni Kukemea na kuvunja badala ya kushukuru kwa...
Back
Top Bottom