malaika

Malaika Arora is an Indian actress, dancer, model, VJ, and television presenter. She is most famous for her dancing in the songs Chaiyya Chaiyya (1998), Gur Naalo Ishq Mitha (1998), Maahi Ve (2002), Kaal Dhamaal (2005) and Munni Badnaam Hui (2010). She turned into a film producer in 2008, with her former husband, Arbaaz Khan. Their company Arbaaz Khan Productions has released films like Dabangg (2010) and Dabangg 2 (2012).

View More On Wikipedia.org
  1. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa tajiri kwa njia ya nuru kupitia malaika wako

    Njia ya kuwa tajiri kwa kutumia Nuru (mwanga wa kiroho) na msaada wa malaika wa mwanga (divine angels) inahusisha kujenga muunganiko wa kina wa kiroho, nidhamu ya kiroho, na mazoea ya kiimani ambayo huamsha nguvu za mbinguni ndani yako na kuvuta baraka za kiroho na kifedha. Hapa chini ni...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu

    For those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome. Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu. Nalogout sasa, someni kwanza hayo ya chini. Nitakuja kuendelea kujibu maswali yenu mengine jioni. Mungu awabariki sana.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana malaika wake special wa kutunza kumbukumbu za Kila ukifanyacho duniani MAISHA yako yote

    Salaam, Shalom! Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum. Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
  4. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Wajue Aina za malaika na kazi zao

    Haya ni baadhi ya majina ya malaika pamoja na kazi zao kulingana na imani mbalimbali za kiroho (hasa Kabbalah, Ukristo, Uislamu, na Gnosis). Majina haya yanaweza kutumika katika sala, tafakari, au mazoezi ya kiroho: --- 🔯 Malaika Wakuu (Archangels) na Kazi Zao 1. Mikaeli (Michael) Mlinzi...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Sisi Mashetani hatutapiga kura, Tumewaachia Malaika

    GT Uchaguzi wa mwaka huu malaika ndo wanashiriki kwa kweli sisi mashetani tumemaua kukaa pembeni na kuwa watazamaji. Muda sahihi wa sisi mashetani ukifika tutapiga kura , Kwa sasa Malaika ndo atawaongoza malaika wadogo. Hatuwezi kushiriki uchaguzi huku nchi ikinuka damu za watu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu bado anaamini kuwa kuna uwepo wa Malaika?

    Ebu tuache uoga... Let’s talk real, Mwaka 2025 bado watu wanakaza roho wanadai kuna malaika wanaofly juu juu bila drone, hawana GPS wala WiFi, lakini wanajua unachofanya eti wanaandika kila kitu. Wapi bana!? Eti kuna malaika wa kulinda, mwingine wa kukatakata watu wakifa, mwingine kazi yake ni...
  7. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Idadi ya malaika nyumbani kwetu imeongezeka

    Kiimani malaika ni kiumbe asiyekua na dhambi japo kuna nyakati yupo mwadamu alidai kwamba akiwa mbinguni atakua anawaongoza, nawaza tu Do we have another Engel in our country? If so now we are blessed. Let us celebrate
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna watu wanajiita 'Malaika' wakiwa na jambo ukatakiwa utoe ushirikiano, ukikubali umeisha, ukikataa umeisha

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) UKIKUBALI UMEKWISHA; UKIKATAA UMEKWISHA. Jamani tuache utani. Kuna kundi la watu. Ni wanadamu lakini wao hujiiita “malaika wa kibinadamu”. Wakiamua jambo lao wakakujia kutaka utoe ushirikiano wa kulifanikisha, UKIKUBALI UMEKWISHA, UKIKATAA UMEKWISHA...
  9. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi shetani ni mweusi? Na malaika ni mweupe?

    Wakuu naombeni mnieleweshe jamani hivi shetani ni mweusi? Na malaika ni mweupe yaani ukifuatilia baadhi ya picha na filamu mbalimbali unaonesha kwamba tafsiri ya shetani ni weusi wake na someone ambae ana mapembe hivi hivi kuna mtu amewahi kumuona shetani? Na baada ya kumuona aka prove kwamba...
  10. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Saa Tisa Muda wa Maombi Malaika wameshuka

    Maombi ya Nguvu za Kimungu na Kufunguliwa kwa Jicho la Tatu (Maono ya Kiungu) (Saa Tisa Usiku – Wakati wa Roho Mtakatifu Kuongea na Nafsi) Ee Baba Mtakatifu, Mungu aliye hai, Ninakuja mbele zako usiku huu wa kipekee, Nikiwa nimevua utu wa mwilini na kujinyenyekeza rohoni, Nikitafuta uso wako, na...
  11. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Sheikh adai Los Angels maana yake Malaika waliopotea

    Nilikuwa nasikiliza maelezo ya huyu Sheikh anaeleza maana ya Los Angels mji ulioko Pwani ya Magharibi ya Marekani katika jimbo la California. Sheikh anadai kuwa Los Angels maana yake ni Malaika waliopotea (#Lost Angels). Anasema Los Angels kuna jiwe kutoka mbinguni lina ukubwa wa kilometa 12...
  12. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Huyu alikuwa ni Malaika 100%

    Takriban miaka 15 imepita tokea nilipomuona malaika LIVE katika mwili wa binadamu....... Ilikuwa ni alfajiri muda wa saa kumi na moja nipo mitaa ya Kariakoo kwa kipindi hicho shughuli zangu nilikuwa nafanyia Kariakoo. Basi kama kawaida huwa ninatoka nyumbani alfajiri kabla foleni kuchangamka...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hili ni umbo la Malaika wa Mungu akionekana Kwa macho ya Damu na nyama

    Salaam, shalom!! Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho. Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa mwanadamu ni mkubwa kuliko ulinzi apewao Mfalme wa tawala za WANADAMU. Turudi kwenye mada. ( 1 Mambo...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
  15. demigod

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Usahihi Wowote Wa Kisayansi Katika Hiki Anachokisema Huyu Malaika Kupitia Nabii?

    Wakuu niko najifunza kwa kusoma makala za hadithi za Sunnah za waislamu. Haya ni masimulizi ya mtume wao kwa watu wake wa karibu. Lakini nimesoma Sahih Bukhari 3366 Book 60 Hadithi ya 4 (Link:- Hadithi hii hapa) nakutana na hiki kisa kama kinavyoonekana kwenye hii picha. Hapa ni tafsiri...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

    Salaam,Shalom!! Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni. Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu Kristo, amevaa taji yenye kungaa sana kichwani mwake, mikononi alishika upanga ungaao sana, alipita...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Malaika mikaeli alifanikiwa kuchukua mwili wa Musa shetani alipougombea, ukifa mwili wako utachukuliwa na nani? Amua sasa!!

    Salaam, shalom!! MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni. Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama? Jibu ni Rahisi tu, Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, anaishi ndani ya MWILI. Na ikiwa mtu ni ROHO, uwe na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya ndani ya aliyosema Mbowe: Mbivu na mbichi, nani malaika, nani kizingiti!

    Huu ndiyo ukweli mchungu na ndiyo maana labda hata TBC taifa ikawepo kuuhabarisha umma: Mbowe anaashiria maridhiano yalikwama kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu.” Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe, Samia is just a pure soul. Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu alimuumba Yesu kiharamu kama kweli alifanya hivyo badala ya kumshusha kama malaika?

    Ukiangalia na kuchunguza kisa kizima cha kuzaliwa Yesu, unamshangaa yeye, mama yake, baba yake hata Mungu wake. Eti bikra alipata mimba kwa roho mtakatifu! Hii maana yake nini wakati tunaambiwa roho ya Mungu ilimfunika Maria. Kama kweli ilimfunika, nani anajua kilichofanyika wakati amefunikwa...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Shida ya Nchi hii sio vyama vya upinzania wala viongozi wa upinzani, shida ni Watanzania hatuna Spirt ya mapambano.

    Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
Back
Top Bottom