JF imejaa watu wa kila aina na ndio hawa hawa tunaishi nao mtaani, wengine pia ni ma diaspora, viongozi nk.
Haya ndio makundi ya J na karibu kila mtu yupo kundi tajwa na tabia zake kama ifuatavyo.
1: Wapenda siasa
Hapa wapo watu ambao wao utawakuta kwenye jukwaa la siasa tu, maisha yao na...