Hapana!Hahahaha wewe inaonekana mpira unaubaka wala huufuatilii. Simba hachezi preliminary rounds so hapo ushapigwa moja bila. Simba tayari yupo group stages
Hahahaha wewe inaonekana mpira unaubaka wala huufuatilii. Simba hachezi preliminary rounds so hapo ushapigwa moja bila. Simba tayari yupo group stages
Haji nilimuonea huruma ila sasa kazidisha kulialia.unatafuta umaarufu kupitia Simba kama yule chawa wa GSM
Mimi ni mwana Yanga kindakindaki. Naomba Mungu sana Rivers watutoe. Hii itasaidia kuendelea kuijenga na kuiunda timu yetu.Naziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu.
Uzi tayari, kama una bisha sawa.
Kwani UEFA ukifika fainali na ukapoteza, afu kwenye ligi yako ukawa wa 8 na ligi yenu inapeleka timu 4 je utacheza hatua ya mtoano kwenda makundi UEFA?Mimi ni mwana Yanga kindakindaki. Naomba Mungu sana Rivers watutoe. Hii itasaidia kuendelea kuijenga na kuiunda timu yetu.
Kwasasa,Yanga bado sana kimataifa. Na ni muda sana hatujashiriki.....so baada ya msimu huu ndo at list tunaweza pambana.
Simba nao....wanaweza wakaingia makundi....ila kwanza wakubali msimu uliopita ilikua fluku.
Wakienda kwa kichwa kuwa wao ni wakubwa,hatua ya kwanza out.
Pia CAF wawe fea,yaani Kaizer kafika hadi final,lakini Simba anaambiwa aanze round ya pili. Wangempa nafasi japo kwa heshima tu ya kufika fainali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka ni shabiki wa Yanga hao na mpira wapi na wapi?Kwani UEFA ukifika fainali na ukapoteza, afu kwenye ligi yako ukawa wa 8 na ligi yenu inapeleka timu 4 je utacheza hatua ya mtoano kwenda makundi UEFA?
NyoloNaziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu.
Uzi tayari, kama una bisha sawa.
Mkuu, toa sababu ili tuweze kubishana kwa hoja vinginevyo ni ushabiki tuuNaziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu.
Uzi tayari, kama una bisha sawa.
NI WIVU TUNaziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu.
Uzi tayari, kama una bisha sawa.
Kaizer hashiriki, ulitaka apewe vipi wakati hsjafuzu kushiriki CAFCL?Mimi ni mwana Yanga kindakindaki. Naomba Mungu sana Rivers watutoe. Hii itasaidia kuendelea kuijenga na kuiunda timu yetu.
Kwasasa,Yanga bado sana kimataifa. Na ni muda sana hatujashiriki.....so baada ya msimu huu ndo at list tunaweza pambana.
Simba nao....wanaweza wakaingia makundi....ila kwanza wakubali msimu uliopita ilikua fluku.
Wakienda kwa kichwa kuwa wao ni wakubwa,hatua ya kwanza out.
Pia CAF wawe fea,yaani Kaizer kafika hadi final,lakini Simba anaambiwa aanze round ya pili. Wangempa nafasi japo kwa heshima tu ya kufika fainali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sema umewalenga nyani wa pori la UtopoloNaziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu.
Uzi tayari, kama una bisha sawa.
kaizer hajafuzu kucheza klab bingwaMimi ni mwana Yanga kindakindaki. Naomba Mungu sana Rivers watutoe. Hii itasaidia kuendelea kuijenga na kuiunda timu yetu.
Kwasasa,Yanga bado sana kimataifa. Na ni muda sana hatujashiriki.....so baada ya msimu huu ndo at list tunaweza pambana.
Simba nao....wanaweza wakaingia makundi....ila kwanza wakubali msimu uliopita ilikua fluku.
Wakienda kwa kichwa kuwa wao ni wakubwa,hatua ya kwanza out.
Pia CAF wawe fea,yaani Kaizer kafika hadi final,lakini Simba anaambiwa aanze round ya pili. Wangempa nafasi japo kwa heshima tu ya kufika fainali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni coincidence ya kiwango kikubwa sana kukuta mashabiki wa timu akili zinakuwa zinalingana. au Yanga huwa mnakabidhi akili kwa Eng.Hersi?Simba nao....wanaweza wakaingia makundi....ila kwanza wakubali msimu uliopita ilikua fluku.