makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wenye makebo makubwa wanazidi kuongozeka kwa kasi tanzania? Kuna wakati wanawake waliokuwa nayo kawaida au flat kabisa

    Najjiuliza ni genetics, diet,? Ama nini? Kwa maana wadada wenye mishepu inazidi kuwa kwa kasi kulko miaka ya 90, 2000 huko
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Sh200 Kidogo, Mamilioni Makubwa! KEWOTA Yatikiswa na ‘Payroll Heist’ ya Walimu 95,000

    Kuna mambo imeanza kunuka kwa Kenya Women Teachers Association (KEWOTA) baada ya kufichuliwa sakata kubwa ya pesa. Inadaiwa zaidi ya walimu wanawake 95,000 walikuwa wanakatwa Sh200 kila mwezi bila consent yao – sasa ukifanya hesabu, hiyo ni over Sh228 million yearly! Investigations zinaonyesha...
  3. JamiiForums Tanzania Niite nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua

    Neno linasema, "NIITE NAMI NITAKUITIKIA, NAMI NITAKUONYESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU USIYOYAJUA." Neno la Mungu katika kitabu cha YEREMIA linatuonesha kwamba nabii Yeremia alikuwa mfungwa wakati huo. Alikuwa amefungwa ndani ya uwanda wa walinzi, uliokuwa katika nyumba ya mfalme wa Yuda na wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa wizi wa nyeti kasababisha madhara makubwa

    Kuna baadhi wanadai ni kile chama cha majambazi lakini kiuhalisia hakina akili kubwa namna hiyo.. Maana chenyewe kiko hoi bin taaban chali kabisa Haya ni matukio yakuja na kupita Yapo Yalikuwepo Na yatazidi kuwepo Baadhi ambayo yaliwahi kuvuma sana ni Mtu joka wa buguruni TV za kumuona nwizi...
  5. JamiiForums Tanzania Toa ushahidi ni wapi umewahi ona mwanamke mwenye makalio makubwa akawa na akili popote pale Duniani?

    Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu. Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uokozi wa Afisa wa Silaha wa USA wa Ndege Iliyodunguliwa, Iran Yafanya Makosa Makubwa, na Kusababisha Vifo vya Raia

    Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
  7. JamiiForums Tanzania IRGC Yatishia Makampuni makubwa ya Magharibi

    Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa. Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  9. JamiiForums Tanzania Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?

    Wanabodi Shuhudieni mambo makubwa mazuri ambayo ni super, ya huyu Bonge wa Zimbabwe, Bilionea Wicknell Chivayo wa Zimbabwe, akifanya mambo makubwa mazuri kwa nchi yake Zimbabwe!, Hili limjamaa, bonge la Zimbabwe, limekuja hapa nchini kwetu mara 4, likitua airport yetu kwa private jet yake na...
  10. JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Hola! 🙋🏽‍♀️ Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k.. Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au...
  11. JamiiForums Tanzania Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

    Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini. Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini. Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma. Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  13. JamiiForums Tanzania Kamwe usidharau nguvu ya watu wajinga katika makundi makubwa

    Walipokuwa wachache mlisema hawatafika popote kwa maana mliona hakuna vision kati yao, hakuna logic kati yao. Lakini wajinga hawajui kujitilia mashaka, watalaumiana wao kwa wao mara nyingi sana lakini hawawezi kuangushana katika kuifikia plan yao, wataua wachache watakaojifanya wana akili zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye Makebo Makubwa wana sehemu yao kwangu

    Moja ya tofauti kubwa kati ya mwanamke na mwanaume ni umbo. Umbile la mwanamke hata kwa nyuma tu unajua hiki kitu.... Mimi ndo maana napendelea sana wanawake wenye MAKEBO MAKUBWA. Yaani Matako au Maumbile ya nyuma makubwa. Kisha laini. Yanaitwa makebo. Halafu uje ukute ana kipapiro mnato...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Kwa China kila goti litapigwa. Do nothing win

    Kadiri miaka inavyoenda ndivyo umuhimu wa China unazidi kuonekana duniani, Mchina ana soft power moja inayokua kwa kasi sana. China haihitaji kuanzisha unnecessary wars and conflicts duniani kama Marekani to prove how powerful it is. Chinese strategy; do nothing and win game theory. Tangu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Maduka makubwa ya viungo Mwanza

    Wadau kwema nijuzeni Hivi ni wapi Mwanza jijini naweza kupata viungo vya pilau na chai kwa bei ya jumla? Pia ubuyu wa mbegu, vipande na mifuko ya jumla jumla kwa bei nafuu? Nijuzeni tafadhali kupitia namba ya whattssapp 0624726872 Natanguliza shukurani zangu za dhati ahsanteni sana.
  17. JamiiForums Tanzania Maadhimisho makubwa kama haya ya siku ya wanawake duniani yanafanyikaje mburahati?

    Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa yamelundikana hatari ila wenye migahawa wanapiga hela kudadeki 😅!
  18. JamiiForums Tanzania Hizi hapa ni sababu za kwa nini maeneo mengine yana maendeleo makubwa na mengine kidogo(energy way)

    Kama hii imewai kukutokea umetoka sehemu moja au eneo moja ulikuwa na wazo la kufanya jambo fulani au biashara ulivyofika eneo hilo ukaghairi au ulikuwa na confusion(kujiuliza sana )na mwisho kuliacha sababu ni hii Katika kila eneo kuna kuwa na energy(nguvu) fulani kwa mambo fulani ndani ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  20. JamiiForums Tanzania Walichofanya Unitree Robotics kwenye Chinese New Year Gala 2025&2026 ni mabadiliko na maendeleo makubwa ya AI lakini napata hofu

    Walichofanya kampuni ya maroboti kutoka China Unitree Robotics katika sherehe za mwaka mpya wa kichina 2025 na hii ya juzi tu hapa ni kuonesha kwa namna gani haya mataifa makubwa kama China walivyo shupalia suala zima la AI na maendeleo yake. Lakini mimi hii teknolojia ya AI toka kuanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…