Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.
Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
10. Caterpillar 794 C
The Caterpillar 794 C is the newest off-highway truck
Urefu: 50.72 feet
Kimo: 26.30 feet
Upana: 32 feet.
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 291 metric tons
794 C is Caterpillar' Ni gari jipya la kufanya kazi kwenye maeneo magumu na limeingia sokoni mwaka 2020 September.
Gari...
Wasalaam wana jamvi.
Mimi ni mmoja wa watu ambao kusema kweli nilitamani kabisa swala la chanjo liwe kwa lazima kwa kila mtanzania na hili lilipaswa kuwekwa wazi kabisa na Mh Rais pale alipotangaza ujio wa chanjo hiyo kwani ingesaidia sana kupambana na watu wanaopinga chanjo hiyo.
Nakumbuka...
Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake.
CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali bila uoga wowote ni wakati wakubadili mfumo wa Mwenyekiti kuwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu, zipo hasara nyingi kwa chama...
Habari wadau wa mtandao wa JF na karibu kupata chakula cha ubongo na mada ni kuhusu tabia za kujiwekea akiba.
Changamoto ya watu wengi kushindwa kujiwekea akiba, imekuwa ikiwakumba watu wengi hasa kwa wale ambao ni waajiriwa katika sekta binafsi na sekta za umma. Baadhi ya sababu ambazo watu...
Kilichonifanya niandike ujumbe huu ni baada ya kukutana na kisa kimoja kilichonitoa machozi. Ilikuwa kama mida ya saa saba mchana rafiki yangu (jina nalihifadhi) alinifata nyumbani kwangu napoishi, nilimkaribisha ndani bahati nzuri alifika mda ambao nilikuwa napata chakula cha mchana na familia...
Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali.
Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
Kuna 'Hausigeli' Mmoja 'Kanikera' sana Asubuhi hii yaani Bosi zake wameondoka tokea Saa 1 nae katoka kwenda 'Kukazwa' na Dereva 'Bodaboda' na kamuacha Mtoto peke yake Nyumbani analia tu muda wote, hajala chochote na hajamvalisha Kitu huku akijua sasa Dar es Salaam kuna Baridi Kali.
Katika...
Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
Rafiki yangu mpendwa,
Kuna vitu waliofanikiwa sana wanavijua, lakini huwa hawaviweki wazi.
Wanafanya hivyo kwa sababu jamii huwa haielewi vitu vingi kuhusu mafanikio, na hivyo huishia kuwashambulia waliofanikiwa pale wanapojaribu kuwa wakweli.
Mara ngapi umesikia masikini wakiwasema matajiri...
Nimeishi nchini China kwa miaka 13 sasa. China ni nyumbani kwetu kwa pili na ni nchi ambayo naipenda sana, nchi ambayo naishi, nafanya kazi na hata kumsomesha mwanangu. Kusema kweli najihisi mwenye bahati kuwepo hapa na kushuhudia mabadiliko ya kiwango kikubwa cha maendeleo ya kasi ya Wachina...
Niende moja kwa moja kwenye mada,
leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000.
Nawashauri NMB...
Hiwezi kuanzisha kiwanda kinachotegemea wakulima wanaolima kwa kutumia jembe la mkono.
Kama kuna yaliyokuwa mashamba makubwa, plantations ya wanyama, nafaka, kahawa, zabibu, machungwa, mkonge au mpira ambayo yalikuwa yanamilikiwa na serikali au wafanyabishara ni makosa makubwa kuyafuta na...
NDANI YA SIKU 100, RAIS SAMIA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA
Wanaandika Ndugu Twahir Abasi Kiobya na Denis Shanyangi
Kama kuna jambo lolote linalonipa amani na Faraja kwenye nafsi yangu katika siku 100 zilizopita, basi ni kuona kuwa tuna rais wa aina ya Mama Samia Suluhu Hassan.
1. Ndani ya siku 100...
Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee?
Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
Habari wana JF,
Binafsi nafurahia uongozi wako Mh Rais Samia, lakini napenda kutoa mtazamo tofauti ili kuboresha kwa kuwa bado una muda.
Rais wangu, asikudanganye mtu, Uongozi wa Nchi ni mambo makubwa, ni juu ya hatma ya kesho, sio leo tu, ni juu ya leo na vizazi vijavyo.
Nchi hii bado ni...
Salaam Wapenzi wangu,
Kuna wadudu wadogo wanachimba shimo sehemu penye mchanga, inadaiwa ukimchukua ukamung'atisha kwenye chuchu la titi, inarutubisha na kufanya ziwa liwe kubwa la kupendeza. Hata ukinyonyesha halilali na kuwa ndarandefu.
Wadudu wengine walioonesha mafanikio makubwa wanakaa...
Hayo yalisemwa na Waziri wa Uchumi wa Bluu na Uvuvi, Abdalla Hussein Kombo, wakati akiwasilisha makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021-2022 katika kikao cha Baraza la Wawakilishi.
Alisema wizara tayari imeanza kuwashajihisha wafugaji wa mazao ya pwani ikiwamo...