makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa ya Sheria za jinai nchini

    Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania: Na. M. Majaliwa, Esq. Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na Amani ambazo kimsingi zimetajwa kama sehemu ya misingi ya katiba yetu, rejea sehemu ya Utangulizi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

    Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini. Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima. Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu...
  3. JamiiForums Tanzania Paul Makonda mtetezi mkubwa wa haki za akina mama aliyemtabiria makubwa Rais Samia Suluhu

    Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao. Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa. Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua...
  4. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wanahitaji Mageuzi Makubwa sana - Ni lazima CCM iondoke madarakani

    Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando, Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kabla hujawa na matarajio makubwa, ni vizuri ukajiridhisha hali halisi ya uchumi wa nchi unayotaka kuzamia

    Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna. NB: Ndio utaelewa kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bora kunywa gongo na viroba kuliko ushabiki wa mpira madhara ni makubwa zaidi

    Madhara ya ushabiki wa mpira unaoendelea kutamalaki Tanzania ni makubwa sana kuliko ulevi mwingine katika jamii(NAONGELEA “USHABIKI” SIO MAPENZI YA MICHEZO YA KAWAIDA) Umesababisha uvivu uliokithiri hasa mikoa ya pwani na baadhi ya miji ya mikoani Umesababisha wanafunzi, watoto wadogo kuanzia...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini familia masikini zinaamini kujua Kiingereza tu ndiyo kuelimika wakati zinazojiweza zinaamini kwenye maarifa makubwa kitaaluma?

    Kuna Mzazi (Masikini au Mnyonge) Mwenzangu Chumba cha Pili tu nimetoka kumuamlia asimchape mwanae kwakuwa hajui Kiingereza huku akimwambia kuwa ni bora Afeli masomo yote ila siyo Kiingereza ambacho kwake ndiyo Ishara Kuu ya Mtu Msomi. Cha kushangaza sasa huyu huyu Mwanae asiyejua vyema...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Maumivu makubwa: Halotel pia wametoa huduma hii muhimu

    Kikawaida halotel lets say umeweka gb 1 ya week uka top up tena in 3 days inajazia kifurushi cha kwanza kama kilikuwa hakijaisha na siku ya ku expire inasogea mbele, jamaa wamekitoa. Hivi hizi vurugu zote ni kodi au kukomoa watu watoke online?
  9. JamiiForums Tanzania Barrick yaendelea kufanya makubwa. Yaleta mtambo wa 'PhotonAssay' unaotumia Roboti. Ni wa kwanza barani Afrika na upo Tanzania Pekee!

    Wanabodi, Mambo mengine wala hata hatujui Kiswahili chake, hivyo wale wenzangu na mimi ambao lugha za watu hazipandi, mnisamehe. NEWS OCTOBER 10, 2021 Barrick Commissions Africa’s First PhotonAssay Laboratory Press Release All amounts expressed in US dollars unless stated otherwise Bulyanhulu...
  10. JamiiForums Tanzania Kitu hiki kimoja unachokosa ndiyo kitakachokuzuia usipate mafanikio makubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Unayataka mafanikio makubwa ndiyo maana unasoma hapa. Hongera sana kwa hilo. Lakini kuna habari ambazo siyo nzuri sana kwenye hiyo safari uliyochagua. Takwimu za mafanikio zinatisha na kusikitisha. Wanaoyataka mafanikio ni wengi, lakini wanaoyapata mafanikio hayo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

    Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada. Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa. Kiufupi iko hivi: Dar es Salaam Young Africans SC Ina Idadi Kubwa ya wachezaji wanaotokea katika Mataifa yaliyopiga hatua kubwa sana...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya rais Samia yafanya makubwa jimboni Chalinze, mbunge na wananchi washukuru sana

    Serikali ya JMT leo imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais wa JMT Mh. Samiah Suluhu Hassan kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi kesi ya Mbowe na wenzake inavyoripotiwa ni kielelezo cha mapinduzi makubwa ya upashanaji wa habari

    Siku moja ya mwaka 2005 sikumbuki tarehe wala mwezi mwalimu wetu mmoja aliingia darasani na gazeti lililokuwa na hotuba ya Bilionea Rupert Murdoch Mmarekani mwenye asili ya Australia na mmiliki wa vyombo vingi vya habari.Hotuba hiyo ilikuwa na mada isemayo 'nafasi ya magazeti katika...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanasayansi walioifanyia makubwa dunia

    UTANGULIZI “The world need science and science needs women and girls”/Dunia inahitaji sayansi na sayansi inawahitaji wanawake na wasichana" Huu ni msemo maarufu unaotumika kila wakati kuwahamasisha watoto wa kike na wanawake kujikita na kujihusisha na mambo ya kisayansi lakini hasa hasa msemo...
  15. JamiiForums Tanzania Benki ipi haina makato makubwa sana?

    Wadau naombeni kujua ni bank ipi ambayo makato yake si makubwa sana
  16. B

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa aipongeza MSD kwa kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) kwa jitahada zake za kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba kwani vitaipunguzia serikali gharama ya kuagiza dawa nje ya nchi. Msigwa ametoa pongezi hizo hii leo, wakati...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 CHADEMA ina Matatizo 4 Makubwa na la 5 Ni Kubwa Zaidi: Nani ataiokoa?

    Na. M. M. Mwanakijiji Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinataka kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani na hivyo kishike hatamu za uongozi wa taifa letu. Katika kufikia lengo hilo CHADEMA kimetumia mbinu mbalimbali na kushiriki chaguzi mbalimbali kuanzia ngazi za chini kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni mapema mno kumnyooshea kidole mheshimiwa Rais, Tumpe muda!

    Nianze na suala la kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani bw. Freeman Aikael mbowe kukamatwa kwa kiongozi huyo wa upinzani kwa tafsiri ya kisiasa inaweza kuonekana ni agizo kutoka juu ili kudhoofisha upinzani au kukwamisha mapambano ya kudai katiba mpya. Lakini ukweli ni kuwa kukamatwa kwa mbowe...
  19. JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

    msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
  20. JamiiForums Tanzania Umri unavyozidi kwenda mapenzi yangu yanazidi kuwa makubwa kwao👨‍👩‍👧💑

    Ni wazazi💞💓 Kuna wakati naamka natamani tuu niwe nao, niwapikie wale, niwafanyie usafi, niwawekee gospal music, tuongee tufurahi, niwakate kucha, nimnyoe mshua nywele halafu nimtishie kumpaka supablaki anikimbie😃😃😃 Nimtegee bimkubwa asinzie nimpake wanja na lipstik nyekunduuuu, nimvishe wigi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…