makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Jiandaeni Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV Nzito Na Ndefu Ya Paul Makonda. Mtapata Kumjua kwa Undani Zaidi

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025. Ambapo nitawaeleza kwa kina juu ya Paul Makonda ni nani hasa. Amefanya nini mpaka alipofikia hapo. Amepitia wapi na wapi kiuongozi...
  2. Jay One

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Mbunge - Arusha mjini namuunga mkono kwa asilimia mia, na atapita kwa kishindo

    Wana JF habarini..!! Sio kawaida yangu ku post post thread humu JF kwa hivi karibuni, ila nimekuwa mchangiaji mkubwa kwa njia ya kutoa maoni kwenye thread zingine nyingi tu, ila leo moyo wangu umenituma toka ndani kabisa, nipaze sauti hii juu ya Makonda Christian. Mh. Makonda, mimi kada wa CCM...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha wamtaka Comrade Dr Makonda

    Wajumbe kwa ujumla wao. Wamemuelewa RC na Mwenezi Mstaafu Comrade Dr Makonda. Isanga family
  4. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitendo cha Mama Fatma karume kustaajabu Makonda kuacha URC je ni anguko lingine kwa Makonda kuukosa ubunge Arusha Mjini?

    Wakuu hili nalo mkalitizame kwa jicho la kipembuzi ni hivi juzi mkeka wa Samia wa Ma Rc,Dc Das na Ras kutoka na jina la Makonda kukosekana ilimshangaza sana Mama Wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume. Ni kama alikuwa anaamini katika utendaji wa URC zaidi nafasi aliyodumu ndani ya Daslam kipindi cha...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu

    Habari! Kuna nyuzi kadhaa za kisiasa huenda nimeandika humu ndani. Moja ambayo niliitoa mwaka jana ndiyo nilisema unabii maana niliongea kitu ambacho Roho wa Bwana alisema, na nyuzi zingine zilikuwa personal view. Hii ya pili naandika UNABII. Thread 'Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025' Soma...
  6. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

    Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025. Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Makonda kapangiwa wapi?

    nauliza tu maana list ni ndefu sijasoma. Hawa ndio eenye nchi yao, wamiliki, sisi ni wapangaji!
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ana miaka 53 ila nashangaa anavyosema kazaliwa 1982!

    Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi . Hii haifai kabisa
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa vilaza wanaogombania ubunge wa Arusha Mjini Makonda na Gambo je ni wazaliwa wa Arusha.?

    Kwanini hawa Vilaza Makonda na Mrisho Gambo wasiende kugombea ubunge sehemu walipozaliwa ? Nitashangaa Sana watu wa Arusha wakiwapa nafasi
  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kikundi cha Wadudu Arusha wakitembea na bango la kumchangia Makonda fedha ya kuchukua fomu kuwanaia ubunge Arusha Mjini

    Wakuu, Kwani Makonda hana fedha ya kuchukulia fomu?
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bashite Makonda akiwa Mwenezi, Samia akamuona Anajitafutia Umaarufu, Kwa Gwajima pia akaona hivohivo, Kwa Luaga Mpina kasema anajitafutia Umaarufu!

    Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex. Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la...
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla amtangaza Makonda mgombe Ubunge Arusha mbele ya Gambo

    KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amewatakia kila la kheri Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awashukia wanaoongelea utajiri wake, kwamba nisimamie maendeleo ya watu wengine nishindwe kusimamia maendeleo ya familia yangu

    Akionekana Kumjibu Mwanaharakati wa Kitanzania anayeishi Nchini Marekani Mange Kimambi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda amesema ni wajibu wake pia kusimamia maendeleo yake binafsi kando ya utumishi wake kwa Umma, Akiwataka watumiaji wa mitandao ya Kijamii kujadili maendeleo badala ya...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, ni wabunge au Makonda watamjibu gwaji boy kwa hoja zake au watakaa kimya kuogopa kusemwa kanisani ?

    Kila mmoja anamjua gwajima kwa kuwa mtu mwenye msimamo wa hoja zake bila kujali kitu ? Je, ni wabunge au mpinzani wake makonda watamjibu gwaji boy kwa hoja zake au watakaa kimya kuogopa kusemwa kanisani ?
  16. W

    JamiiForums Tanzania Bashe akiri, Makonda anatekeleza

    Habari ya weekend ndg wana GT Kwa wanaofuatilia mambo ni kweli sasa somo la NRNE inaanza kueleweka kwa watendaji wa serikali. Ndani ya wiki moja tumeona mambo mawili; 1: Makondo anawaita Shirika la Nyumbu Arusha kuona namna yakufufua kiwanda cha General tyre. 2: Waziri Bashe anakiri tena somo...
  17. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Makonda anataka kufanya jambo jingine tena Arusha

    Binafsi nimeshaandika mara kadhaa umuhimu wa kufufua kiwanda cha general tire Arusha kutokana na umuhimu wake kiuchumi. Sasa naona Makonda ameamua kupambana kufufua hichi kiwanda. Sitaki kuamini kuwa itakuwa jambo rahisi ila naamini penye nia pana njia. Pambana Makonda, hata hili unaliweza.
  18. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Je, ya Makonda tumuachie Gambo au ya Gambo tumuachie Makonda au ndiyo ile inayosemekana kuwa Mkakati wa kuendelea kuharibu mambo sana ili Samia afeli?

    ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais. Matarajio ya Rais Samia kwa Makonda ni kumsaidia kazi na kutunza misingi ya uongozi wake ndani ya jiji...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa RC Makonda kuhusu wadudu, sasa wamezidi

    Arusha bado kuna wahuni wa kila aina na wengine wajiweka tofauti na kujiita wadudu. Wadudu wamepata nguvu kubwa kwa RC Makonda ila tokea kupata nguvu yani ukifungua mtandao wa youtube mara wameiba jeneza, mara wamefanya hivi yaani vituko na maajabu. Kumbuka ulitoka Dar, Mfano Dar unapowapa...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Tusimlaumu RPC Muliro, Hata RPC Sirro Aliwahi Kuwakana Polisi wa Makonda Uvamizi wa Clouds Hawajui. Jee ni Hawa ni Nani Anawamiliki?

    Nimeanza kushtuka kuwa tunapoteza muda wetu bure kumuita muongo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Muliro anaposema viongozi wa Chadema waliotekwa, kupigwa na kwenda kutupwa Ununio sio polisi wake halali. Hali hii iliwahi tokea March 2017 wakati RC wa Dar Paulo Makonda alipovamia Studio za Clouds na...
Back
Top Bottom