makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Griss

    JamiiForums Tanzania Magufuli alihujumiwa na Makonda?

    Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi. Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu. So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ? Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo? Angalia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Makonda kuisimamisha Arusha akichukua fomu ya ubunge

    Baada kuvuka vizingiti na hatimae chama cha CCM kuamua kumpitisha kama mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini. Sasa ndugu Makonda anaenda kuchukua fomu katika ofisi za wilaya za CCM. Barabada zinatarajiwa kufungwa kwa masaa kadhaa kutokana wingi wa watu watakaomsindikiza. Tayari maandalizi...
  3. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Ninawachukia sana bodaboda na makonda wa daladala

    Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?). Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Diwani aliyemlilia Paul Makonda atimkia CHAUMMA

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Themi jijini Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Petro Lobora, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na kukabidhiwa kadi ya uanachama sambamba na kuchukua fomu ya kuwania udiwani katika kata hiyo aliyoiwakilisha awali kupitia CCM. Tukio hilo...
  5. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi, Makonda aliwahi kusema wafanyabiashara wengi wanaichangia CCM sababu ya hofu

    Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa. ''Wafanyabiashara wengi wanakichangia Chama cha Mapinduzi sio kwasababu wanakipenda sana ni kwa sababu ya hofu, Na...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Licha ya Magufuli kumpenda Makonda, tamaa ya Ubunge ilionyesha amemdharau Rais na ana maslahi binafsi ubungeni. Magufuli akampiga chini

    Hayati Magufuli alimpenda sana Makonda, Licha ya Mashambulizi alopelekewa Makonda na Maadui zake, Mara zote Magufuli alisimama akisema "Makonda Wewe chapa Kazi". Unaweza jiuliza, Mwenyekiti na Rais, ambaye alimpenda sana Makonda, inakuaje aache Kijana wake ashindwe kwenye Kura za Maoni...
  7. Now and then

    JamiiForums Tanzania Makonda pole sana hakika hii ndo Arusha haina utofauti na Kigamboni!.

    Pole Sana Mkonda , hakika hawa ndo wajumbe .
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kumruhusu Makonda kugombea ni sawa na kuruhusu mvurugano baina ya wakuu wa mikoa, wilaya na wabunge kwenye kila mkoa

    Sote tunafahamu kuwa Makonda alikuja Arusha baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa. Kabla ya hapo, hakuwahi ishi zaidi ya mwaka mmoja. Hana makazi ya kudumu. Hajui matatizo ya watu wa Arusha na kuyasemea kwa undani kama mzawa. Uwepo wake ni baada ya uteuzi tu, kama asingeteuliwa asingegombea...
  9. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

    Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20... Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mrisho Mgambo atupwa kwenye jimbo la Arusha Mjini, Makonda apita kwenye mchujo

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Ile battle ya Makonda na Gambo imeisha rasmi, Makonda kapita kwenye mchujo
  11. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Hizi habari kuhusu Makonda ni za kweli??

    Nasikia raisi wa wadudu kafyekwa ( kachinjiwa mbali ) je ni kweli?
  12. naliwe

    JamiiForums Tanzania Mkatae mkubali Makonda amezaliwa kuwa mwanasiasa ila Lissu kwenye siasa analazimisha

    Ukiangalia hatua unazopiga makonda, unajua tu nini anategemea hapo mbele, huwa hafanyi vitu kwa bahati mbaya, anakwenda kwa hesabu na naamini mwakani atapata kile alichokua anakipambania, Lissu hana mipango ya kesho yake, anaenda tu kama gari lililokosa mwelekeo, siasa za mtandaoni zimemponza...
  13. mogulnoise

    JamiiForums Tanzania Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika. Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana. Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii...
  14. julaibibi

    JamiiForums Tanzania kwa nini namuona Makonda kama Traore

    Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore. 1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Unajiuliza, huko CCM na Dola yake, Kuna wenye akili kweli? Hivi Uwezo wa Akili wa LUHAGA MPINA ni wa Kumkata ?. Au Gambo ni wa kushindwa na Makonda ?

    Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi. Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya Watu wanaweza...
  16. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nape na Makonda kwenye uzinduzi kanisa la Mwamposa (Ipe maneno)

    Nape: Niombee kwa Mama nami nirudi kwenye cabinet?? Makonda: Tatizo unajifanya mjuaji sana, Magu alikusamehe na Maza kakupa nafasi ya 2 lakini ukaanza usaliti na Februari
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Arusha waapa kumchagua Cde Dkt Makonda

    Wajumbe Arusha M Wana Jambo Lao nalo ni Comrade Dr Makonda
  18. TheMaster

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Kula kwa Makonda Kura kwa Gambo

    Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana. Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni Makonda vs Mrisho Gambo Arusha Mjini patachimbika bila jembe

    Mimi kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya Makonda anaenda kupita mwisho pale bungeni atapewa uwazir wa aina yoyote kama sio uwaziri mkuu mana Majaaliwa kwa za ndani ameshatolewa kwenye mfumo msisahau MAKONDA ndio mtu aliepndeekeza Samia we mgombea mweza wa Magufuli 2015 kwaio mama anahisi bado...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Makonda, Gambo, Mwijaku,Mchengerwa, Omera wakamatwe kwa tuhuma kutumia madaraka yao vibaya sio kugombea ubunge

    Naongea haya kwa masikitiko makubwa Moja ya watu waliotuhumiwa kwa utekaji na Mambo mengine moja wapo ni Hawa watu Halafu leo wanagombea Tena ubunge na nchi hii ilivyo ya mazuzu wanawashangilia tu Hawa watu WANATAKIWA kukamatwa na takukuru na kohojiwa kwanza kwa kutumia madaraka yao vibaya...
Back
Top Bottom