Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Kesi ya tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda na mmiliki wa blogu ya Lemutuz, William Malecela imepangwa kutajwa Desemba 8, 2022.
Ni baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate kuwa kwenye majukumu mengine ya kikazi...
Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela maarufu Lemutuz wamefunguliwa kesi mahakamani kwa tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover.
Makonda na Lemutuz wamefunguliwa kesi hiyo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na mfanyabiashara Patrick Christopher...
Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi?
Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia.
Viongozi wengi wa sasa...
Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda.
Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda
Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara...
Mnyonge mnnyongeni ila haki yake apewe huyu bwana makonda aliweza San kupamban na wazambazaji wa dawa za kulevya na ama hakika dawa ziliadimika na kupotea kbsa kipindi hicho wauuzaji walikimbia nnchi nakutokomea kuziko julikana.
Nilimuona makonda kwa macho yangu akibubujika machozi ktk kanisa...
Leo Mahakama ya Kisutu imempa ushindi Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya Mwanaccm Paulo Makonda.
Ikumbukwe kwamba Makonda akiwa na vyeo vya kuteuliwa alimshitaki Kubenea kwa kumtusi na kumhatarishia Maisha (YAANI ETI KUBENEA AHATARISHE MAISHA YA MAKONDA!)
Kubenea alikuwa...
Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini.
Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la...
Mahakama ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na DPP ya kuzuia Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda.
Kesi hiyo Kabambe ambayo imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Saed Kubenea imeamsha hisia za wananchi, huku wengi wakiitaka ipewe nafasi ya...
SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA?
Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa. Maeneo mengi ya starehe yameendelea kuuza Shisha bila kujali kuwa ni kinyume na sheria
Hawa vijana walifanya kazi nzuri katika Awamu ya Tano, kwa hali ilivyo bado wanahitajika kuweza kumsaidia Rais Mama Samia pia.
Maana atakavyo endelea kucheka na watu ndio watakavyozidi kumuharibia na kuja kuonekana si kitu 2025.
Hivyo ni bora hii miamba irudi kazini kurudisha heshima na...
Kikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation'...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni.
“Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul...
Nakumbuka hayati raisi John Pombe Magufuli aliwahi kusema kuna watumishi/viongozi waliokua wanaponda starehe kula bata waliokua wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani kwenye awamu yake.
Baada ya kifo chake awamu hii ya sita naona kijana...
Ndicho anachotaka USA, Makonda apelekwe mahakamani peleka stoo huyu mtu, mahusiano ya nchi yetu na USA ni muhimu kuliko huyu mtu mmoja asiye na faida yoyote. Juzi kanusa ziara ya mama kwenda kwa wabaya wake akaanza kujiliza liza
Downgrading ya kidiplomasia inatokana na makonda, who is he...
Nawasalimu kwa jina chama pendwa, CCM.
Leo nami natumia haki yangu ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT. Tangu jana mitandaoni suala kubwa lililoibuka ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Ndugu Makonda kudai kuna vitisho dhidi ya maisha yake. Watu wengi sana wameongelea kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.