Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.
Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.
He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
Ndugu zangu kipindi hiki cha Mgogoro wa DPW na Serikali ya ccm kilikuwa ni muhimu sana kwa Katibu Uenezi CCM taida kuonesha makeke yake.
Kiukweli ccm na idara hii imepwaya sana.
Tunajua Uzalendo ndani ya ccm kila siku unapungua je ndio sababu hii Idara muhimu kukalia mambo nyeti hivi?
Au mgao...
Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.
Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob...
Naam, habari zenu wanajukwaa.
Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, ni hivi kumekuwa na biashara ya ukahaba ambayo imekuwa iliendelea katika viwanja vya shule ya sekondari ya PAUL MAKONDA iliyopo wilaya ya Kigamboni, kata ya Kigamboni mtaa wa Chagani kwa zaidi ya miaka mingi...
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.
Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
=====
UPDATE:
Machi 31, 2024: Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda...
Najiuliza sana kuhusu huyu askofu lakini makosa jibu.
Askofu Pengo alikuwa mtu wa karibu sana wa waandamizi wa awamu ya tano. Wakati huo hakufungua mdomo wake kukemea chochote kile, japo baadhi ya watanzania, na pengine waumini wake aliowabatiza na kuwahibiria upendo, waliokotwa ndani ya viroba...
Amenawiri, hana mashaka, mcheshi, ana uhuru wake. Kwa kweli yupo vizuri huyu Mkuu wa Mkoa Mstaafu ambaye alitumikia Taifa hili pasipo mawaa.
Anakula shushu tu.hana tatizo na mtu watu wanafurahi wanapomwona.
Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi
Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi
Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Nyuma ya pazia, wawili hao wana hadithi nzuri na yenye fundisho ndaniye. Kwa sababu wahusika wakuu hatunao...
Kama bandiko linavyojieleza, leo hii kwakuwa Mahakama imemuachia huru Sabaya
Bila shaka sasa ni muda muafaka wa kufanya maamuzi ya kurudi kwenye jukwaa la siasa yeye Sabaya na Makonda
Na hili kuidhihirishia jamii kuwa wao kama vijana waliingia kwenye mitego ya kisiasa bila kujua madhara...
Kama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga.
Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga hawako salama Tanzania.
Serikali ya Magufuli kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakasema mashoga...
Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu...
Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.
Nawapa assignment kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wa sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa...
Bila shaka ni watu ambao kwa namna moja au nyingine aliwabeba na kuwapa nafasi ya kuongoza, kujifunza na kupanda kisiasa
Aliziba masikio kelele za watu wengi dhidi ya baadhi yao na hata kukataa ushauri wa watu wa karibu na wataalamu juu ya kuwaweka pembeni, alifikia hatu kusema 'yeye ndio Rais...
Katika uongozi uliopita kila kitu ilikuwa amri na bunge lilikosa kabisa uelekeo wake mana wanachojadili kinaweza kupinduliwa kibabe na asiwepo wa kuhoji.
Ikatengenezwa image kwamba wapinzania ni maadui wa nchi kumbe siyo kweli. Mpaka lisu akashambuliwa kwa masasi eti ni msaliti while in actual...
Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Suala la Uraia wa Mfanyabiashara Patrick Kamwelwe limeibuliwa Mahakamani kwenye kesi ya Utapeli inayowahusu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela (Le Mutuz).
Mawakili wa Makonda na Le Mutuz wamedai kuwa wameshindwa kumpata Kamwelwe anayetaka kulipwa Tsh...
Dar es Salam ilikaa kwa shwari
Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika
Majambazi walikimbia na kuaicha Dar.
Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
Watu walikuwa wanasema subiri Magufuli aondoke madarakani jamaa ata suffer sana. Anachukiwa hata na CCM wenzie.
Leo hii si kwamba Magufuli hayupo Madarakani. Ni kwamba hayupo kabisa Duniani. Na Makonda anadunda tu.
Mtu ambaye tuliambiwa hafai kuwa uraiani. Muuaji, jambazi, amewatesa wauza...
Nimesikia Dada Dorothy Gwajima katangaza "School buses" ziwe na Makonda wa kike Kwa kile anachohofia watoto wetu kufanyiwa michezo michafu, sio idea mbaya ila Mimi kama mdau ningeshauri yafungwe CCTV cameras ambazo Zina uwezo wa kurekodi matukio yote.
Hawa Makonda wa kike tunawaaminije? Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.