Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.
Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana.
Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na...
Kwa wenye nyumba ambazo hazina uzio, kuna wahuni wanaiba earthroad na koki za shaba. Ni takriban wiki sasa wamepita mitaa mbalimbali ya Kibaha hasa Mlandizi.
Kwakua huna ukuta, basi jitahidi chuma kichimbiwe chini zaidi na pia umwage zege around.
Mwisho tunaomba jeshi la polisi kufanya...
Ujumbe wangu huu umfikie yoyote yule ambaye ataona ama unamgusa Yeye au Jirani yake au Mtu wake anayempenda na kumuamini Kimaisha, Kisiasa na Kiimani (Kidini)
Nawatakieni nyote Jumatano iliyo Njema.
Gwajimalization - kimsingi hili linamaanisha kuwa na watu ambao wanaweza kudiriki kuukosoa uongozi wa CCM au Tanzania kwa ujumla, kwa faida ya Watanzania. Hili lina ubaya gani? Nyerere alisisitiza siku zote kuwa kukosoana ni sehemu ya kurekebishana. Leo raisi wa nchi anaongea kwa kujiamini...
Ni huzuni sana, tena sana. Yaani unapokuwa na kipaji, unapoanza kuwa juu, kuna watu wanaanza kutafuta njia ya kukuangusha. Msanii wetu alikuwa mkali sana, alikuwa na ngoma kali, na alipata jina kubwa sana Tanzania. Mwisho wa siku, watu wakaamua kumpoteza. Walitaka ashuke na kuwa chini kabisa...
Kuelekea mechi ya watani yanga nikama wanataka kuanza kushinda nje ya uwanja , drama wanazofanya kwa vyovyote vile zinadhoofisha maandalizi ya Simba , wanataka kuwin kwa simba kuchukulia mchezo wa watani kama mechi ya kawaida. Simba tubatakiwa kujipanga sana ili kupata walau alama kwenye huo...
Kuna hilo jambo kwa sasa wengi wanaona la kawaida tu lkn si la kawaida kiivyo ni mpango wa kudhoofisha ukristo, kuna wadada wengi kwa sasa wakristo kuolewa na wakaka ambao si wakristo wengi wanafikiri ni mapenzi tu ya kawaida la hasha kuna mpango maalum wa kudhoofisha ukristo hawa wadada...
Neno kenge ni binadamu kuwa uhai si kitu ila wa binadamu mtoto wa raisi ambaye abdul ni kitu.
Nchi zilizoendelea hata kama ni mkimbizi lakini wapo makini kuangalia wewe utafanana na abduli.
Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA.
George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya...
Habarini za wakati huu!
Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi kuwa mikopo yao ni ya riba nafuu halafu unapata ndani ya masaa 24.
Ingawa sijajua wanatoa wapi...
Kazi yangu kukufungua fikra sehem ambazo huwa zinachukua ghalama kubwa kwenye ujenzi wa gholofa
1. Msingi Imara Zaidi:
- Ghorofa huhitaji msingi wenye nguvu zaidi (deep foundation) ili kubeba uzito mkubwa wa jengo.
2. Nguzo na Beams Zaidi:
- Vifaa vya kuongeza uimara kama nguzo...
I suggest hii dawa isiwe OTC, iwe tu under doctor's prescription.
Kama ilivyo cocaine na bangi hii kitu ndivyo utaenda nayo hivyo hivyo maana inakufanya uhusi na kujionan kuwa hauwezi ishi bila hio.
Ni dawa ya maumivu ila pia inaweza kufanya utulivu wa anxiety.
Inakupa pumziko fulani hivi...
Hii si picha ngeni miongoni mwetu.. Tumeshaiona mara nyingi tuu.. Tukasikitika kidogo kisha maisha yakasonga
FIKIRIA HILI KWA TAFAKURI Simba hakumwona kamwe hakumuona mtoto… alichoona yeye ni mawindo.. lakini mtoto aliona kila kitu...!
Katika maisha yasiyo na huruma ya...
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wawe makini na raia wa kigeni wanao ingia nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu, wengi wao ni Wakenya ambao ni wazoefu wa kuhamasisha vurugu wapo wengi sana.
Na baadhi yao ni wataalamu wa IT wanafuatiliwe kwa makini hadi chooni.
TCRA kuweni macho, wadukuzi...
Matokeo ya mchezo wa jumamosi yashatoka, Simba Kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii game ya jumamosi.
Mambo yanaweza tu kubadilika endapo Simba hawatoongeza umakini hasa kuanzia dakika ya 70.
All in all nawatakia Kila la heri Simba Sc.
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments.
Maneno...
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa...
Matajiri wote mnaojijua mnavaaga vito kama vile saa, pete mikufu ya almasi au dhahabu na vitu vingine vya thamani na ni mtu wa watu, mtu wa mitandao (public figure), basi fanyeni harakati zenu kimachale...kaeni chonjo.
Ikiwezekana kwa kipindi hiki tengeneza Pete saa au mikufu bandia, na ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.