kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,149
Salamu wakuu!
Twende kwenye mada husika, Hii imetokea kweli, Kuna bi dada mmoja alikuwa anajipitia zake barabarani, ghafla ikapaki gari pembeni mwa barabara, na ndani ya gari alikuwepo mchina(mwanaume) basi akamsemesha bidada Kwa kiswahili chake kibovu, bi dada bila hiyana akampa namba, baada ya siku mbili tatu wakawa wanachati, na wakapanga kuonana na kwaajili ya kuivunja ile amri ya 6, siku ikafika, wakakutana eneo husika ambalo alilopanga yeye bi dada Tena nnje ya mji, mchina kaingia kingi, kaenda wameingia room, kabla hawajaaanza mlango ukagogwa zikaingia njemba 4, mmoja akiekti ni mume wa huyo bi dada, wakamsachi pale wakamchukulia Pesa,simu na kumwacha hoi pale na huku wakimrekodi, So umakini unahitajika wakuu pale unapotupa NDOANO!
Waweza na wewe, kutupia kisa chako,au Cha mtu, katika harakati za kitega ndoano!
Nawasilisha!