Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (UN) limeeleza mapigano ya kuwania madaraka yanayoendelea Nchini hapo yamesababisha Watu zaidi ya milioni moja kuyahama makazi yao na kwenda katika maeneo salama ndani ya Sudan huku wengine 320,000 wakikimbia Nchi jirani za Misri, Sudan Kusini, Chad...