makazi

  1. mirindimo

    Kiwanda cha furniture katikati ya makazi kwa Aziz Ally kinawaka moto

    - Raia wamesimama nje bila msaada wakisubiri hatma na huruma ya moto. Kuna haja ya kuondoa hivi viwanda vikubwa kwenye makazi. Kue na point za zimamoto mahali ambapo kuna makazi ya raia ila hizi pointi ziwe na maji pia Tuandae raia kuyakabili majanga kama moto , mafuriko n.k UPDATE Fire...
  2. Mganguzi

    Tanzania watu zaidi ya milioni 40 hawana makazi yao ya kuishi

    Kiwango cha umasikini na sera ya nchi ya kumiliki ardhi na viwanja ni changamoto kubwa sana! Ukiacha watoto inaonyesha kuwa watu MILLION 40 MPAKA 45 hawana makazi, tatizo ni nini? Sera ya nchi ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na makazi salama inaharibiwa na utaratibu mbovu wa watu kumiliki...
  3. Roving Journalist

    Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitangaza Matokeo ya Sensa na Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo tarehe 31 Oktoba, 2022 Samia Suhuhu Hassan - Rais Nataka niitangazie dunia kuwa Sensa ya watu na makazi ya 2022 imefuata vigezo...
  4. HS CODE

    Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Wakuu mambo vipi? Naona ma PDF yameanza kumwagika, changamoto ya malalamiko ya kwanini Utumishi wako kimya, inakwenda kuisha huku changamoto nyingine zinazotokana na kuitwa zinaanza kuibuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kwa wote, wanaokwenda kwenye Saili mbalimbali na hata wanaowategemea...
  5. K

    SoC02 Anuani za Makazi zizingatiwe kuleta maendeleo

    ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi ambapo utekelezaji wake umefanyika mwaka huu kutokana na sera ya Taifa ya posta ya mwaka 2003...
  6. 0

    SoC02 Sensa ya watu na makazi 2022

    Maana ya sensa: Ni utaratibu wa kitakwimu wa kuhesabu, kuchambua na kutunza kumbukumbu za watu na makazi. Kwa mjibu wa sensa nchini Tanzania, ilianza baada ya nchi kupata uhuru. Hivyo imekuwa Kila baadae ya miaka kumi kunakuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Sensa Ina umuhimu sana katika...
  7. B

    Kwanini sensa ya watu na hii ya majengo hazikufanywa sambamba?

    Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya: Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti? kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
  8. M

    Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

    Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani? Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
  9. Rashda Zunde

    Usichokijua kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

    Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. Ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo...
  10. N

    Fahamu umuhimu wa SENSA Tanzania

    Hizi ni baadhi ya faida ya sensa kuisaidia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazo saidia mchakato wa utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025 Kuisaidia Serikali kujua ongezeko la idadi ya watu kwa mgawanyo wa viashiria vyengine ambavyo ni muhimu kwa Usimamizi wa mazingira Kigawio...
  11. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Waraka mfupi wa kuelimisha kuhusu sensa ya watu na makazi 2022

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  12. Frustration

    SoC02 Ili kujua idadi sahihi ya wakazi na makazi ya watu; Mfumo wa uhesabuji sensa ya watu na makazi watumike mabalozi na viongozi wa mtaa?

    Tanzania nchi yangu, naipenda nchi yangu TANZANIA. Kwa sasa nchi yetu inaenda kufanya zoezi la muhimu mno la kujua idadi ya watu,maeneo wanayoishi na hali zao kwa ujumla. Kwa umuhimu huu napenda kuwaomba watu wote waliohumu jf kuwa mawakala wa kuhakikisha kila mmoja anahesabiwa. Natoa...
  13. Pascal Mayalla

    Natoa wito Agosti 23 tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa

    Maandalizi ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Yamekamilika, Kazi Iliyobaki ni Moja Tuu, Tujitokeze kwa Wingi kwa Kujituliza, Tuhesabiwe! Utangulizi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo tarehe 23, mwezi Agosti 2022. Wizara ya Fedha na...
  14. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Sensa ya watu na makazi

    Bado tuna jamii ambazo zinaweza kukataa kuhesabiwa au kukwamisha zoezi la kuhesabiwa kwa sababu zozote zile? Tafakari kutoka tamthiliya ya Ngoswe,Penzi kitovu cha uzembe (Edwin Semzaba) Edwin Semzaba ktk tamthiliya yake alibainisha changamoto za uadidi wa watu ktk kijiji cha akina Ngengemkeni...
  15. Askarimtu

    Swali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

    Habarini wataalamu Naomba kuuliza iwapo hii imewahi kutokea nchini au popote duniani. Je, matokeo ya SENSA YA WATU NA MAKAZI yaliwahi kutumika kubadilisha baadhi ya sheria nyeti kabisa za nchi husika?? Au mbali sana yakabadilisha kabisa KATIBA ya nchi? Ukiacha na mambo ya kuzuiliwa kuzaa...
  16. L

    Madaktari wawafanyia upimaji wa afya wazee kwenye maeneo ya makazi mjini Hefei, China

    Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
  17. Crocodiletooth

    Kuna ubaya gani kwa serekali yetu kulitwaa eneo la vingunguti na kujenga makazi ya kisasa

    Ipo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye...
  18. Kastori Kalito

    SoC02 Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama bustani asilia zenye vitendo vya kilimo mseto katika makazi(mijini na vijijini) kuelekea maendeleo endelevu

    Swali kubwa linaloibuwa mijadala miongoni mwa jamii ni kwa namna gani inawezekana kukidhi mahitaji ya muhimu ya ki-jamii bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao wenyewe. Katika miaka ya hivi karibuni kumeshudiwa uharibifu mkubwa wa mazingira asilia katika nchi ukilinganisha na...
  19. Madjeshi

    SoC02 Wananchi wamepata elimu ya kutosha kuhusu sensa ya watu na makazi, kwa maendeleo?

    Sensa ya Watu na Makazi inatarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu kote nchini, wengi tunaamini na kufahamu Sensa ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu. Bila shaka kuna baadhi ya watu hawajatambua umuhimu wa Sensa katika taifa letu la Tanzania licha ya zoezi hilo kuwasaidia Wananchi hao na...
  20. Abdideol

    Kwa mazingira haya bado tunaweza kuiita Sensa ya Watu na Makazi?

    Hivi sensa itamuhesabu vipi yule Mtu anayelala Darajani Salenda au kwenye Mabaraza pale Manzese? 🤔 Ikiwa tunasema ni sensa ya watu na makazi? Na itakuaje kuhusu bajeti ya mtu huyu baada ya yeye kutokuhesabiwa kwa kuwa hana makazi maalumu na darajani pale au sokoni ambapo anapatikana wakati wa...
Back
Top Bottom