Kumbe Urusi ililenga silaha za NATO zilizohifadhiwa karibu na makazi ya watu? Nani alaumiwe hapa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,524
Kikosi cha Wanaanga cha Urusi kilianzisha shambulizi la anga la "usahihi wa hali ya juu" dhidi ya hifadhi za ndege za Ukraine zilizokuwa na silaha na risasi katika eneo la kati la Poltava siku ya Jumatatu, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema jana (Jumanne).

Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi, shambulizi hilo lililolenga silaha zilizotolewa na Marekani na nchi za Ulaya, lilitekelezwa kwa silaha za usahihi wa hali ya juu za vikosi vya anga vya Urusi na makombora ya Kalibr. Shambulizi hilo liliharibu silaha na zana zilizotengenezwa Magharibi ambazo zingewasilishwa kwa wanajeshi wa Ukraine huko Donbass, iliongeza.

"Ulipuaji wa risasi zilizohifadhiwa ulisababisha moto katika kituo cha ununuzi kisichofanya kazi karibu na vifaa vya mtambo huo," wizara ilisema. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema kwenye Telegram kwamba shambulizi hilo liligonga jumba la maduka liliokuwa na zaidi ya watu 1,000 ndani.
 
Attachments

  • Screenshot_20220629-160515_Facebook.jpg
    Screenshot_20220629-160515_Facebook.jpg
    138.8 KB · Views: 12
Zelensky ngoja afundishwe vita na wazee wa kazi anafikiri Putin ni comedian mwenzake , kuficha silaha kwenye makazi ya watu haitamsaidia japo anafanya hivyo ili kutengeneza propaganda ioneonake Russia wanashambulia Raia wa kawaida ili apate huruma ya dunia ila hatafanikiwa
 
Hizo silaha mbona hazijaonekana kama wamelipua? Halafu kuna taarifa balozi wa urusi marekani alisema azov wamestage hilo shambulio ili kuwalaumu urusi.

Naona hapa ni sarakasi tu za urusi na silaha zake zinazo miss target kwani sio mara ya kwanza urusi kupiga makazi ya raia.
 
Hizo picha ndio wanazotaka wewe uzione
 
Maelezo ya kutosha kiasi yapo kwenye link hii hapa Chini.
===
=====
Blaming “Russian propagandists” Zelensky forgot that the official report of the Russian Ministry of Defence confirmed the attack on the military plant and not the civilian shop. LINK

Here is the video which in fact does not show the exact target but a slight analysis of this footage allows to identify the area of the strike:

Video Player

00:00

00:30

Satellite images and the video from the camera itself prove that the strike was inflicted on the industrial zone, which means that the fire spread to the shopping center only after a powerful explosion.

Zelensky Is Lying, Trying To Accuse Russia Of Attacking Civilians
Click to see full-size image

Russian missile hit the area near the rail ways in the military plant. Judging by the videos shared by Zelensky, the large explosion confirms that a large amount of military equipment was stored there.

Despite the ridiculous attempts of the Kiev’s regime to hide the truth, the director of the Kredmash plant in Kremenchuk confirmed that the Russian Armed Forces had struck the enterprise. At least one missile hit it, the director said. The fire spread to the shopping center, which was located nearby.

The fake claims about Russian strikes at alleged civilian targets were followed by Zelensky’s demands to the UN Security Council to deprive Russia of a voice in the General Assembly and recognize Russia as a terrorist state.
 
Unataka marekani na Europe waonyeshwe silaha walizotuma jinsi zinavyo ungua?? Jiongeze KIAZI MBATATA wewe
 
Kikosi cha Wanaanga cha Urusi kilianzisha shambulizi la anga la "usahihi wa hali ya juu" dhidi ya hifadhi za ndege za Ukraine zilizokuwa na silaha na risasi katika eneo la kati la Poltava siku ya Jumatatu, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema jana (Jumanne).

Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi, shambulizi hilo lililolenga silaha zilizotolewa na Marekani na nchi za Ulaya, lilitekelezwa kwa silaha za usahihi wa hali ya juu za vikosi vya anga vya Urusi na makombora ya Kalibr. Shambulizi hilo liliharibu silaha na zana zilizotengenezwa Magharibi ambazo zingewasilishwa kwa wanajeshi wa Ukraine huko Donbass, iliongeza.

"Ulipuaji wa risasi zilizohifadhiwa ulisababisha moto katika kituo cha ununuzi kisichofanya kazi karibu na vifaa vya mtambo huo," wizara ilisema. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema kwenye Telegram kwamba shambulizi hilo liligonga jumba la maduka liliokuwa na zaidi ya watu 1,000 ndani.
Kudadeki walifikili ujanja kwenda kizificha kwenye mall🤣🤣🤣
 
Maelezo ya kutosha kiasi yapo kwenye link hii hapa Chini.
===
=====
Blaming “Russian propagandists” Zelensky forgot that the official report of the Russian Ministry of Defence confirmed the attack on the military plant and not the civilian shop. LINK

Here is the video which in fact does not show the exact target but a slight analysis of this footage allows to identify the area of the strike:

Video Player

00:00

00:30

Satellite images and the video from the camera itself prove that the strike was inflicted on the industrial zone, which means that the fire spread to the shopping center only after a powerful explosion.

Zelensky Is Lying, Trying To Accuse Russia Of Attacking Civilians
Click to see full-size image
Zelensky Is Lying, Trying To Accuse Russia Of Attacking Civilians
Click to see full-size image
Russian missile hit the area near the rail ways in the military plant. Judging by the videos shared by Zelensky, the large explosion confirms that a large amount of military equipment was stored there.

Despite the ridiculous attempts of the Kiev’s regime to hide the truth, the director of the Kredmash plant in Kremenchuk confirmed that the Russian Armed Forces had struck the enterprise. At least one missile hit it, the director said. The fire spread to the shopping center, which was located nearby.

The fake claims about Russian strikes at alleged civilian targets were followed by Zelensky’s demands to the UN Security Council to deprive Russia of a voice in the General Assembly and recognize Russia as a terrorist state.
🤝🏻🤝🏻🤝🏻👍🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻 wataelewa tu, western mainstream media wanadanganya mchana peupeee🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom