makamu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimeota mzee wa ' jalalani' akiwa Makamu wa Chama fulani baadae nikasikia sauti za be 'ndiye' ndoto ikakata

    Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu ,katika ndoto hiyo nilimuona mzee mmoja maarufu akiwa ni makamu wa Chama fulani. Baadaye nikasikia minong'ono kwa sauti ya chini sana sikufanikiwa kusikia kila neno lakini nilifanikiwa kusikia neno ' ndiye' nilipotaka kuuliza ndiye' Ina maana gani ndoto...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, sheikh Kadogoo asema Lissu ni mropokaji: je, kama taifa, tuanze kumtathmini Lissu katika lolote asemalo?

    Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya? Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu? Kama chadema ina uozo, he si...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar: Acheni kuchukua fedha ili muwafiche wanaowafanyia ukatili Watoto na Wanawake

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka zinazohusika kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameleza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Taifa ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndani kabisa, Biteko kuwa makamu mwenyekiti wa ccm

    Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm. Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mara paap! Kinana kawa makamu mwenyekiti wa chadema. Inhiiiiiiii!

    Sijui maccm wataficha wapi nyuso zao? Makonda na Samia kama nawaona vile wanavuonuna.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

    Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema. Mungu ibariki chadema.
  7. Bams

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna wakati vyeo vinatolewa siyo kwa sababu eneo hilo linahitaji mtu, bali kwa sababu kuna mtu fulani anatakiwa apewe uongozi

    HIi nchi tuna pesa ya kuchezea, kuna wakati vyeo vinatolewa siyo kwa sababu eneo hilo linahitaji mtu, bali kwa sababu kuna mtu fulani anatakiwa apewe uongozi, ndipo nafasi inatengenezwa. Fikiria, ni nchi gani ina Rais mtendaji, ina Makamu wa Rais mtendaji, halafu tena ikawa na Waziri Mkuu...
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

    Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza. Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake. Hii ni aibu. https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb Video ndefu zaidi hii hapa…...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
  10. econonist

    JamiiForums Tanzania Ni muda Cheo cha Makamu wa Rais kifutwe Tanzania

    Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana. Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi...
  11. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mtendaji wa Kijiji auawa na kuchomwa moto porini. Makamu wa Rais atoa salamu ya shilingi ml 5 Kwa familia

    Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya uchunguzi wa kisayansi kukamilika. Mkuu wa Mkoa wa Tabora...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tuijue Katiba: Rais akifia madarakani, basi makamu wake aliyegombea naye akapigiwa kura anarithi. Je, vipi kama makamu hakupigiwa kura?

    Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake! Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kasimu Majaliwa akiteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM ataweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu?

    Kwa wataalamu wa siasa na mikakati ya kuwaweka pembeni watu ambao wana nguvu kisiasa nchni, je endapo Waziri Mkuu wa sasa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM atakuwa ameula au itakuwa njia ya kuzika ndoto zake kisiasa? Nini madhara ya mkakati wa kumteua kuwa Makamu Mwenyekiti? Ataweza...
  14. Snipes

    JamiiForums Tanzania KERO Kigogo: Kiwanda cha kuyeyesha Plastiki kinazalisha moshi unaosambaa kwenye makazi ya Watu

    Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi kwenda angani, wakianza shughuli zao za uyeyushaji moshi unasambaa barabarani na majumbani kwa watu...
  15. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Othman Masoud atoa rai kwa ZLS kusimamia haki za wananchi

    Makamu wa kwanza wa rais Othman masoud amekitaka chama cha wanasheria Zanzibar (ZLS) kusimama imara kutetea haki za wananchi zinapovunjwa hasa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Tamko hilo amelitoa wakati akifunguwa mkutano mkuu wa mwaka chama hicho uliofanyika visiwani Zanzibar na...
  16. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya Naibu Rais na Makamu wa Rais?

    Salamu, Kuna Misamiati hii ya Vyeo vya Kisiasa Makamu wa Rais na Naibu Rais .Je Nini tofauti yake?
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia akutana na Mawaziri Nchini wazungumzia uwezekano wa kufadhili vipande vya SGR vilivyosalia

    Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa, amesafiri kwa njia ya Treni ya Kisasa-SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku 3 nchini Tanzania kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

    Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu. Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa. Upo...
Back
Top Bottom