makamu

  1. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango awasili Rwanda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Jumuiya ya Madola

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoshiriki Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Kigali, Rwanda, Juni 20-25, 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. JamiiForums Tanzania Malawi: Rais Chakwera amvua Mamlaka Makamu wake kwa kashfa ya ufisadi wa Tsh. bilioni 349

    Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua Makamu wake Saulos Chilima mamlaka yote aliyokabidhiwa baada ya Makamu huyo kutajwa katika kashfa ya ufisadi ya Dola za Marekani Milioni 150 sawa na Tsh. 349,499,992,650 iliyohusiana na kandarasi za serikali 16 zilizohusisha kampuni zake 5. Ripoti ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

    Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala...
  4. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  5. JamiiForums Tanzania Waliomlazimisha Samia Suluhu kuwa Makamu na hatimaye Rais, walifanya makosa sana

    Kwa mtazamo wangu, naona kabisa Mama Samia hakupaswa kuwa kiongozi mkubwa wa kitaifa. Kauli zake, mwenendo na maono yake vinadhihirisha wazi. Ni kiongozi ambaye kwa kauli zake na maamuzi yake anaonesha wazi hakuwa na maono yoyote ya kuongoza taifa. Teuzi za kulazimishana hufanyika sana hasa...
  6. JamiiForums Tanzania Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

    Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT. Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika? Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu. Vipi kuhusu ile...
  7. JamiiForums Tanzania Nani anaendesha nchi endapo Rais na Makamu wa Rais watakuwa nje ya nchi?

    Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais alivyowasili nchini Uswisi

    21 May 2022 Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alivyowasili nchini Switzerland Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Isdor Mpango amewasili nchini Uswisi kushiriki katika kongamano la Davos World Economic Forum The World Economic Forum. Agenda nyingi zitajadiliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: Kilele cha Wiki ya Ubunifu Kitaifa 2022, leo Mei 19, 2022

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango yupo Mkoani Dodoma akiwa mgeni rasmi wa WIKI YA UBUNIFU KITAIFA 2022 Anthony Mtaka, Mkuu wa MKOA - Dodoma Tunawapongeza sana Wizara ya Elimu kuyaleta maonesho haya hapa Dodoma. Na sisi kama mkoa tumetoa fursa. Kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  11. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango mbona upo kimya sana?

    Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya! Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni kwamba kamuambukiza Makamu wa Rais wa Marekani Corona wachukuliwe hatua

    Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka. Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta patana kwanza na makamu wako ndio usuluhishe migogoro ya DRC

    Katika hali ya kustaajabisha siasa za Africa,Raisi wa taifa moja kusimamia mazungumzo ya kuleta amani DRC baina ya waasi na serikali ya Tshikedi ili hali raisi wa taifa ilo ndani ya nchi ana mgogoro na makamu wake wa Raisi Tena mgogoro wa wazii kabisaa wa maslai ya madaraka, mgogoro huu...
  14. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa USA alikutana na Rais Samia. Ni vyema Rais akirudi akae karantini kwa kuwa aliyekutana nae amekutwa na COVID-19

    Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi 👇 Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19
  15. JamiiForums Tanzania Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

    Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus … ======= (CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California. "Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

    Marufuku ya kuingia Nchini Urusi sasa itawajumuisha Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg pamoja na Maafisa, Wafanyabiashara na Wanahabari wengine 27 kutoka Taifa hilo Serikali ya Urusi imesema Watu hao wamezuiwa kuingia Nchini humo kwa muda...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili na kuchambua: Maeneo matatu yaliyojikità katika mazungumzo ya mama na makamu wa rais wa marekani- Demokrasia, biashara & uchumi na Afya/coron

    Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!! Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala D. Harris

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani. "Utawala wetu umedhamiria kwa dhati kuimarisha ushirkiano na Tanzania na nchi za Kiafrika kwa ujumla" - Kamala Harris “Nashukuru sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…