makamu

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

    Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza utalii wa ndani ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora zenye gharama nafuu kwenye vivutio hasa huduma...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemtembelea na kumjulia hali Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hatuwezi kufanya kama Nigeria, Rais kuweza kujiteua nafasi ya Uwaziri?

    Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Lengo kubwa ni kuhakikisha usimamizi unakuwa mkubwa katika sekta hiyo kubwa kwenye uchumi wa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wakabiliwa na kesi ya wizi wa Mabati ya Kaya Masikini

    Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo. Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
  5. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais anaweza kukataza chochote Tanzania?

    Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania? Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango pori wakati hana amri yoyote isipokuwa labda kiheshima tu.
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake, mfano ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa serikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo mengi yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na malengo yaliyokuwa kwenye vision ya nchi za...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: 26.4% ya Watanzania wanaishi chini ya kiwango cha umasikini wa kipato

    Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema “Malengo makuu ya dira ya Mwaka 2025, Maisha bora kwa kila Mtanzania, Kudumisha amani, usalama na umoja katika Nchi, Utawala bora, Jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza, tano ni uchumi imara na shindani.” Pamoja na hatua kubwa ambayo...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ziara ya Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ina faida gani kwa Tanzania?

    Tanzania ina ugeni wa Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye amefika akiwa katika ziara yake ya Nchi kadhaa Barani Afrika, ambapo pia ratiba yake ni kupita yatika mataifa ya Ghana na Zambia. Kitendo cha kioongozi huyo ambaye taifa lake lina nguvu kubwa Duniani kuichagua Tanzania kuwa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Makamu wa Rais wa Marekani aomba kukutana na Washindi wa Majukwaa JamiiForums

    Mwenye Suti Kali naomba aniazime.
  12. mngony

    JamiiForums Tanzania Ni sawa Waziri Chana kukutana na Balozi wa Urusi leo wakati tunapokea ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani?

    Ni kweli uliowazi kuwa mataifa makubwa haya matatu ya Marekani ,Urusi na China yanakimbizana na kupishana Afrika kijaribu kuongeza ushawishi wao kisiasa na kuongeza ushirikiano pamoja na kukuza biashara. Ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani ni hauko mbali na malengo hayo. Kila mtu atakuja kwa...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  14. mngony

    JamiiForums Tanzania Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Makamu wa Rais wa Warekani sio bahati mbaya

    Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya Tanzania na nchi nyingi lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kuimarisha...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani kuanza ziara Tanzania kesho, dondoo kadhaa kuzijua

    Na Bwanku Bwanku. Wakati huu, Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris akitarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania siku ya kesho Jumatano Machi 29, 2023, historia ya mahusiano ya Nchi hizi mbili ni ya kusisimua sana ikianza mwaka 1961, miaka 62 iliyopita. Ni ziara ya kimkakati ya...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tusijishushe, ni Makamu wa Rais Philipo Mpango ndiye aje kumpokea Makamu wa Rais Haris Kamala

    Sisi ni Taifa huru na kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana tumesaidia nchi kama Uturuki na Malawi. Kwa heshima hiyo napendekeza ni Philipo Mpango (Makamu wa Rais) ndiye hadhi ya mwanamsma hiyo na SI Rais Samia Suluhu Hassan.
  19. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

    United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March. The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25 March to 3 April. This visit will be the most high-profile as the US and Russia go pound-for-pound...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

    Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa...
Back
Top Bottom