makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ajiuzuru;Tulimpata Mtanganyika kweli kweli dhidi ya haramu.

    Kifo cha mpishi wake kilimshtua sana,lakini kabla ya hapo,kitendo cha kuchomwa matako kwa mtu aliyejitokeza kukemea kutukanwa kwake,nacho kilifikirisha sana. Ndugu Nchimbi ni mwanafunzi aliyeiva wa Mwalimu Julius Nyerere,matendo yake yanataja lipi giza na ipi nuru,aliita koleo ni koleo na...
  2. JamiiForums Tanzania Mchakato wa kumpata makamu wa Rais

    Kwa mujibu wa Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 50(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais anapojiuzulu na nafasi yake kuwa wazi, utaratibu wa kisheria wa kupata mtu mwingine unakuwa kama ifuatavyo: Uteuzi Ndani ya Siku 14: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mara paaap Mbowe ndio Makamu wa Rais

    Utasemaje hayo yakitokea!? Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama barua ni ya kweli, Makamu wa Rais awe Dkt. Migiro

    Ikiwa ni kweli kuhusiana na hizi taarifa kuhusu kujiuzulu kwa makamu wa Rais Dkt. Nchimbi, mtu anayefaa kwa uzoefu na uwezo alionao kupewa nafasi hiyo naona Dkt. Migiro, katibu Mkuu wa CCM kwa maslahi mapana ya Taifa.
  5. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi. Je, nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
  6. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma. Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt...
  7. JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Makamu wa Rais Benki ya Dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Ndiame Diop, tarehe 20 Agosti, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  9. JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Makamu wa Rais halali

    Hakuna sababu mtu ashambuliwe kwa kumtetea Nchimbi. The question of the 2030 elections does not arise. Uchaguzi huo wakati wake bado. Tunasema kwamba sasa hivi Nchimbi ndio Makamu wa Rais. Yule mtu ameshambuliwa bila sababu. Ukisema Nchimbi hafai kuwa Makamu wa Rais unaleta tatizo mahali...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Liberia: Aliyekuwa Makamu wa Rais atuhumiwa kwa utakatishaji fedha na usafirishaji wa madawa ya kulevya

    Liberia imemfungulia mashtaka aliyekuwa Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Jewel Howard-Taylor, kwa tuhuma za usafirishaji wa dawa za kulevya, utakatishaji fedha na makosa mengine, ikiwa ni sehemu ya uchunguzi kuhusu mtandao wa kimataifa wa biashara ya dawa za kulevya, Wizara ya Sheria ilisema...
  11. JamiiForums Tanzania Kenani: Hakuna taarifa rasmi ya kuitwa Makamu wa Rais Nchimbi kwenye Kamati ya Maadili ya CCM — Akiitwa, mtajua

    Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, amesema hakuna taarifa rasmi kwamba Makamu wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM Ndani ya chama cha mapinduzi sisi CCM hatutambuani kwa vyeo tunatambuana kwa wanachama." "Ili uweze kuwa kada wa chama...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi amtembelea Dkt. Kikwete

    Wakuu kama mnavyoona picha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  14. JamiiForums Tanzania Kauli za Nchimbi zaunganisha Taifa. Watanzania waunga mkono utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2025

    My friends ladies and gentlemen, Sasa ni wazi, upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Taifa, ni vizuri kuanza kumzoea Nchimbi kama Rais wa Tanzania baada ya Samia kumaliza ngwe yake ya pili 2030

    Nadhani hakuna ubishi wala mashaka dhidi ya haiba, uwezo, uzoefu, uadilifu na weledi wa Dr. Emmanuel John Nchimbi kwenye nafasi yake kama makamu wa Rais wa Tanzania. Mungwana amesimana vizuri kwenye nafasi yake, na anautendea haki wajibu na jukumu lake la kikatiba katika kumsaidia Rais Dr.Samia...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Spika waliondolewa na sasa Makamu wa Rais yupo njiani ?

    Heshima sana wanajamvi Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT. Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba. Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya...
  18. JamiiForums Tanzania DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
  19. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi afungua Mkutano wa Kimataifa SNOSSA 2026

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kuwekeza zaidi katika huduma za matibabu ya Saratani katika Mfumo wa Fahamu (neuro-oncology) na kuimarisha mfumo wa afya kwa ujumla...
  20. JamiiForums Tanzania Kisa cha makamu wa rais wa zamani wa Zambia, Dr Guy Scott kutundika barua ya kufukuzwa kazi kwenye choo cha wageni nyumbani kwake

    Hiki ni kisa cha kushangaza kilichosimuliwa na mwandishi Amos Malupenga alipokuwa akimhoji Guy Scott kuhusu maisha yake. Miongoni mwa mambo mengine, alieleza jinsi alivyofukuzwa isivyo haki kama waziri wa kilimo na Rais wa wakati huo Frederick Chiluba mwaka 1993. Kwa sababu hakuona umuhimu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…