makabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    1. Warangi 2. Wanyaturu 3. Wameru 4. Wamasai 5. Wasukuma 6. Wachagga 7. Wahaya 8. Wanyamwenzi 9. Wapare 10. Wanyakysa
  2. JamiiForums Tanzania Makabila yenye mafanikio (kasoro wachaga), sehemu walizotokea hazina maendeleo kwasababu wanaogopa kurogwa wakitaka kurudi kufanya maendeleo

    Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina...
  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya makabila yanamila hii sijuwi inamaana gani.

    Baada ya mazishi hutangaza pale makaburini tanga ndg litakuwa kesho na siku hiyo watanyoa ndg,jamaa na marafiki.Swali langu kule kunyoa kuna maana gani?Wajuvi karibuni.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mila za wafu kuzungumza kupitia watu walio hai zipo makabila gani?

    Katika kabila la wahaya kuna mila inaitwa "nchweke" ambayo marehemu huzungumza kupitia watu walio hai. Je ni kabila gani unalolifahamu lenye mila kama hii
  5. JamiiForums Tanzania Wakinga wamejazana mno mji wa Guangzhou nchini China, wengine hawana muamko au wameridhika ?

    Yani unaambiwa huko Guang zhou wakinga wamejazana si mchezo aisee, wapo ambao ndugu zao wana maduka kariakoo, huwa wanapelekwa huko ili kusaka machimbo ya bidhaa na kuzisafirisha. wapo ambao familia zao hazina biashara ama zinataka kupanuka, kinachofanyika wanamchangia hela ya vibali na nauli...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kilisababisha Magufuli kupiganiwa na makabila matatu ?

    nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
  7. JamiiForums Tanzania Jamii za Tanzania zinawakilisha makundi yote makuu manne ya lugha barani Afrika

    Nchini Tanzania Kuna makabila Zaidi ya 120 (125 hivi) Lakini kuna Makabila yenye watu zaidi ya milioni moja makabila hayo ni Wasukuma, Wanyamwezi, Wachaga, Waha, Wagogo, Wahaya, Wajaluo na Wamakonde. Jambo la pekee kuhusu jamii zilizoishi na zinazoendelea kuishi Tanzania ni kwamba wakazi asili...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Ukabila wala Udini lakini kuna Makabila na Dini

    Tanzania Hakuna ukabila wala udini lakini kuna makabila na Dini. kipindi cha awamu ya Tano Wananchi wengi na wadau wengi wa mtandao wetu pendwa wa JamiiForums walikuwa wakieneza propaganda kuhusu uteuzi na ajira kipindi cha miaka iliyo pita ulikuwa ukihusisha ukabila na kutaja kabila moja wapo...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili la watumishi Serikalini kutakiwa wataje makabila yao na dini zao lingetendeka Kenya, humu hakungekalika

    Watanzania wengi humu JF hupenda kuisema Kenya kwa mambo yetu ya kutajana makabila, ila wao kwa unafiki huwa wanayafanya sana kimya kimya, naona hapa taarifa itakua shurti kwa kila mtumishi wa umma kutaja kabila lake na dini yake, yaani inawekwa kwenye sera kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

    Niko kijijini kabisa huku ndanindani. Nimekuja kumzika bibi yangu aliye fariki akiwa na miaka 97 lakini akiwa bado mrembo na nguvu zake. Kilichonuogopesha na kunishangaza, mimi wakati nakua, tulikiwa hatujui Kiswahili, tunabonga tu lugha yetu ya asili, huku tukisimuliana hadithi za Masala...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

    Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafanya makabila mengi Tanzania kutokuwa na utamaduni wa kurudi kwao?

    Nazungumzia kurudi kama kabila ka ilivyo kwa lile kabila ambalo sina hata haja ya kuliweka hapa, Nadhani mnalijua nyomi lao hao wanaorudi ikifika December. Huko wanakofikia ndio kwao, ndio chimbuko lao, ndiko vizazi hadi vizazi vimezaliana mpaka kuja kwa hapa duniani, Kwenu ni sehemu ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Maoni: Haya ndiyo makundi/makabila yenye maendeleo Tanzania

    Nipo tayari kusahishwa, Naomba nieleweke, hizi ni tathmini na sio ukabila, Tanzania hatuna ukabila 1. Wazanzibari - kuna mgao katika madaraka, vyeo, ajira, n.k kati ya bara na znz kwasababu ya muungano. kwa hio usidhani wanapendelewa ukiwakuta vyeo vya juu polisi, jwtz, usalama , ubalozi...
  14. JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila ya Tanzania

    Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali. Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine.. Inawezekana kwamba baadhi ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayoongoza kwa watu wengi wenye kipato kidogo na kikubwa nchini

    Makabila yenye idadi kubwa ya watu wenye mpunga mwingi 1. Chagaz 2.Kingaz 3. Zaramoz Makabila yaliyofulia zaidi 1.Gogoz 2. Kondez 3. Nyirambaz n Iraqis Huu ni ukweli na Wala haihusiani na kuwa mbaguz Mimi ni mhehe Kama kigogo
  16. JamiiForums Tanzania Tabia hizi za Wachagga za kujenga nyumbani zinapaswa kuigwa na Makabila yote

    Wakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako). Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua. Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwalimu Nyerere alituasa kutoyapa madaraka baadhi ya Makabila tukapuuza, Bila Shaka tumejifunza

    Moja kwa moja kwenye mada. Naomba nitoe angalizo kwamba hili sio bandiko la ukabila wala matusi bali ni kumbukizi aliyotuasa mwaliko hapo zamani za kale akiwa hai. Ndugu zangu hayati mwalimu Nyerere si tu alikuwa baba wa Taifa bali alibeba maoni ya mambo mengi,kwa mfano aliwahi nukuliwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna jumla ya makabila mangapi?

    Habari zenu wadau? Nimeona nije na kauzi haka ili niweze kupambanua uelewa. Ninachokijua na ambacho kinaandikwa kwenye machapisho mbalimbali ni kwamba Tanzania kuna makabila zaidi ya 120. Sasa ukisema zaidi ya, huwa haioneshi idadi halisi ya makabila hayo. Naomba mwenye uelewa atujuze idadi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya...
  20. JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba Wazanzibari hawana makabila

    Suala la kwamba wazanzibari hawana makabila sio sahihi kabisa,wanayo makabila. Huu uzi siandikii ati kwa kuwa makabila yataleta manufaa yoyote kwa wazenji ama madhara yoyote,bali naandika kusahihisha ufahamu tu. Kwanza Kabila ni jamii ya watu yenye umoja fulani upande wa lugha na tamaduni, si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…