Wakuu,
Waswahili wanasema tembea uone! Katika pitapita zangu kama vlogger huku Arusha nimekutana na majumba ya kifahari, viwanja vya Golf, mito ya maji safi, wanyama mbalimbali na makazi yenye ubora wa hali ya juu vyote vikiwa ndani ya pori! Yaani wakati tunabanana hapo mwananyamala na Manzese...
Unyanyasaji wa wenza majumbani ni aina ya Unyanyasaji wa Kijinsia unaohatarisha afya ya umma ulimwenguni kote na huletelea madhara kisaikolojia, kiuchumi na kiafya kwa mtu binafsi, familia na jamii.
Unyanyasaji wa wenza majumbani ni tabia ya ndani ya mahusiano ya kimapenzi zinazoletelea madhara...
Jamii yetu kwa ujumla tunajau/tunafikiri changamoto ziko kwa watoto wa mitaani tu ila jibu ni hapana kwani watoto wa majumbani nao kuna changamoto mbalimbali ambazo zinawapeleka kuishi kwenye mazingira magumu. Mfano wazazi/walezi kushindwa kujua wajibu wao wa kuwapa watoto elimu bora, afya...
Je umenunua TV yako ya gharama kubwa na bado unahofia wezi wanaweza kuja kukuibia TV yako.
Je unajua asilimia kubwa ya vitu vinavyoibiwa majumbani ni TV.
I-SECURE wanalo jibu ni jinsi gani unaweza kulinda TV yako.Tumekuletea kifaa kipya kitakachofungwa ndani ya TV yako na kukuwezesha kujua...
Habari wakuu, naomba kama kuna anaeuza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe.
Nanunua mitungi yote size zote, idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar, mwenye mitungi...
Juu ya meza iliyo kando ya kitanda utaona taa iliyotumia mafuta, bakuli na jagi la maji. Hivi vilikua ni vitu vya muhimu sana chumbani kwa mstaarabu.
Taa ya mafuta ilipunguza ajali za moto, kabla ya hapo watu walitumia sana mishumaa ambayo maya nyingi ilishika moto wa pazia au karatasi zilizo...
Katika Kipengele cha uwekaji mfumo wa Umeme katika jengo mpaka kukamilika hupitia hatua 3 kuu.
(1) kutindua ( plan and design circuit's) hii inahusika na ujengaji wa metal box zote single na double, mainswitch, waterproof box pamoja na round box na uwekaji wa bomba baada ya hatua hii plasta na...
Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika
1 Rwanda 🇷🇼: Kaya za Rwanda hulipa wastani wa $0.26 kwa kila saa ya kilowati ya umeme, hii itatafsiri kuwa $6.24 kwa siku na $194.44 kwa mwezi.
Cape Verde 🇨🇻 : Kilowati ya saa moja ya umeme itagharimu kaya moja huko Cape Verde...
Niende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao...
Binafsi nakumbuka nikiwa chuoni Arusha, kuna siku nlikuwa nahamia geto flani.
Basi tripu ya kwanza nilipeleka mapazia, meza na kitanda.
Sasa wakati nimemaliza kufunga kitanda nimechoka hatari, nikanunua bia mbili, kwajili ya mimi na jamaa kanisaidia kufunga kitanda, tulipiga pafu moja tu...
Wasalaam
Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu,
Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo...
Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini.
Hali hii ni tofauti kutokana na kuwa kuna baadhi ya halmashauri wenyeviti wa mitaa wanalipwa na Halmashauri...
Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua music system ninunue kipi katika ya hivyo.
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
Urban electrico istallati installation Company ni kampuni ya umeme inayo jishughulisha na kazi zote za design na istallation ya umeme wa:-
01. Nyumba na fances
02. Hoteli & bar
03 Disco and club
05 flame za maduka. E.tc
U.e.i company tunajivunia kufanya kazi kwa ubora na hii ni kwa sababu ya...
Habari za Leo ndugu zangu, Nimeumizwa na kusononeshwa Sana na tukio lililotokea Leo Majira ya saa 5-6 mchana Jijini Dar - Mtaa wa Kimara Mavurunza, mita chache tu ukitoka kimara DAWASCO kuelekea Kimara Mavurunza.
Vijana wapatao watano wakiwa wamevalia magwanda ya kijani ambapo inasadikiwa kuwa...
Habari Wakuu!
Kuna hii tabia ya Watu wanaoishi katika Nyumba zenye mageti, pindi wanapokuwa wanarudi majumbani mwao kuanza kupiga honi (wakati mwingine mfululizo) ili wafunguliwe mageti, hasa hizi nyumba ambazo mageti yake hufunguliwa na Mmojawapo wa mwanafamilia na sio Mlinzi.
Hivi kuna...
Katika Hali isiyo ya kawaida ,Kwa mara ya kwanza tangu awamu ya tano,imetokea Hali isiyo ya kawaida ya kukosekana Kwa nguzo za kuunganisha wateja umeme Tanzania. Hakuna wilaya hata moja nchini insyotoa huduma ya kuwapatia wateja nguzo ili wananchi waweze kupata huduma ya umeme. Kila ukiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.