majumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

    Wasaidizi wa kazi ( almaarufu wafanya kazi za ndani ) hawa ni watu muhimu sana katika familia na ustawi wake kwani huwapunguzia wanafamilia hasa baba na mama majukum ya nyumbani na kuwa na mawanda mapana ya kufanya shughuli zao za kiuchumi na maendeleo hata kama wana watoto nyumbani. Pamoja na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Huduma za fumigation majumbani na maofisini

    Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation. Tunapuliza dawa za viuatilifu kutokomeza wadudu hatarishi warukao na watambaao Kama mbu, mende, mijusi, mchwa, kunguni, viroboto, nyoka, panya n.k. Tunapuliza dawa majumbani, maofisini, mashuleni, kwene magodown, mashambani, kwene...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha Kampuni za usafi majumbani na ofisini

    Habari wapendwa, Nilikuwa naomba kujua zaidi kuhusu kampuni au watu wanaotoa huduma za usafi majumbani na ofisini. Jinsi ya kuanzisha, uendeshaji wake na changamoto zake.
Back
Top Bottom