majumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. visima_0678955834

    JamiiForums Tanzania 0678955834 uchimbaji wa visima mashambani na majumbani

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Cctv video: Kuweni makini mnapokuwa mnarudi majumbani usiku, Anusurika kuvamiwa na majambazi Getini

    Hii imetokea 10/08/2025, Goba madale karibu na Joy Eslava , mdada alikua anasubiri kufunguliwa geti alisahau remote ndani. Wakati anasubiri, hao jamaa wa boda wakamvamia. aliweza kuwakimbia ila kaumia mkono walimkata na kisu, pia kaumia jicho, vioo viliingia kwenye jicho moja. Asubuhi amesema...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni vibali gani nahitaji kuwa navyo ili kuwa na kampuni ya fumigation majumbani na maofisini

    Habari wadau. Kuna mahali nimeona hii fursa kwa hiyo ningependa kujua vibali vinavyohitajika na vifaa vinakopatikana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Huduma majumbani

    UNAHITAJI MSAADA MAJUMBANI? Mimi ni kijana msomi, mwenye uzoefu wa kazi za majumbani na huduma kwa watoto. Ninatoa huduma zifuatazo kwa malipo ya siku: ✅ Kufundisha watoto homework za shule ✅ Kukaa na kuwapa uangalizi watoto (Baby Sitting) ✅ Mapishi ya aina zote majumbani ✅ Kupika kwenye hafla...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Huduma majumbani

    UNAHITAJI MSAADA MAJUMBANI? Mimi ni kijana msomi, mwenye uzoefu wa kazi za majumbani na huduma kwa watoto. Ninatoa huduma zifuatazo kwa malipo ya siku: ✅ Kufundisha watoto homework za shule ✅ Kukaa na kuwapa uangalizi watoto (Baby Sitting) ✅ Mapishi ya aina zote majumbani ✅ Kupika kwenye hafla...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata wauzaji wa Gas Grills za majumbani hapa Dar

    Wakuu poleni na majukumu. Nahitaji gas grill kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wengine wanaziita tabletop gas grills. Nishaulizia sana madukani ila naonyeshwa vitu sio. Ni jiko maalum la kuchomea nyama na vyakula vingine lakini linatumia gas badala ya mkaa au umeme. Naombeni mwongozo...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania YARD &GODOWNS FO SALE

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale #godowns
  8. InchargePharmacist

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kuhifadhi dawa majumbani

    Health.
  9. Anwar Mtasingwa

    JamiiForums Tanzania Naweza kuwa Wakala wa Gasi za kupikia kwa mtaji huu?

    Wakuu kwema? Samahani wakuu. Mimi Nina mtaji wa 3M naweza kuwa wakala wa kuuza gas za kupikia majumbani na kwenye biashara ndogo ndogo. Utaratibu wake upoje? Na bei zake zinaendaje? Naomba kufahamu kutoka kwenu wenye uweledi na uzoefu juu ya biashara hii. Natanguliza shukran za dhati kwenu.
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendela zinaonyesha kuwa na upweke sana na marafiki zao ni wanyama wa kufuga majumbani

    Kama usafiri unaweza kubisha hii mada. Wenzetu unaweza kuwa na jirani na wala msiwe na urafiki na mazoea. Nchi zilizoendelea ni ngumu sana kuwa na mazoea ya kulazimishana na urafiki kama huku afrika. Ndio maana wanaruhusiwa kumiliki bunduki wajikinge na CCm wasiojulikana. Wenzetu wameona...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nafanya Usafi Majumbani

    Habari, Naitwa Sophia naishi Mbezi beach, Natoa huduma ya usafi majumbani, malipo ni maelewano kulingana na umbali na ukubwa wa nyumba, wasiliana nami kwa namba 0793673652. Asante
  12. Yusufu Mjasili

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture za maofisini na majumbani kwa gharama nafuu. Tupo Mabibo jijini dar es salaam karibu na chuo cha usafirishaji NIT. 0715 494920

    Karibu sana..
  13. Yofav

    JamiiForums Tanzania Usipite: Hapa unajipatia bidhaa mbalimbali za majumbani na maofisini kwa bei nafuu sana

    Je, unatafuta bidhaa bora za nyumbani kwa bei nafuu sana? Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya households na furniture! Tunauza bidhaa mbalimbali kama meza, viti, kabati, mapambo ya nyumbani, vifaa vya jikoni, na vingine vingi – vyote kwa bei rafiki unayoweza kumudu. Kwa nini...
  14. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Fundi rangi za majumbani

    Habari, Natamani nijifunze jinsi ya kupaka rangi za nyumba. Nipeni mwongozo naanzia wapi angalau nianze kama saidia fundi huku najifunza, msiseme veta maana sna pesa ya kujifunzia.
  15. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

    Mmea ni majabu ya Mungu kwetu . Mmea hapo kwenye picha : 🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo. 🥬Kikamba unaitwa Ithaa. 🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu. 🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu. 🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao. 🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua. 🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei. 🥬Kihehe huitwa...
  16. Logikos

    JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii: Wakati tunawaangalia hawa watoto wa Majumbani; Je tumewasahau hawa wa Kitaa ?

    Sisemi kwamba tuache kuwaangalia na hawa wa majumbani ( i.e. Kuziba Ukuta ni vema ili Kesho Tusijenge Ukuta...) Lakini atleast hawa wana wazazi / walezi wanaowalea ingawa tunasema eti wasiwachape hivyo kuwatisha!!! Lakini Haimaanishi kwamba kama Ukuta Umeshaanguka ndio tusiujenge na Hawa watoto...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha majumbani

    Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
  18. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Lifespan ya bati za kuezeka majumbani ni miaka mingapi?

    Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire? na kama jibu ni ndio, Je zina-expire baada ya miaka mingapi?
  19. African businesses

    JamiiForums Tanzania Tunauza picha nzuri kwa ajili ya mapambo ya ofisini na nyumbani

    Tunauza picha nzuri kwa ajili ya kupamba ofisini na majumbani karibuni tuwaudumie Picha hizi chini zina ukubwa wa size A3 Bei ni sh 23000. Contact 017009453 DSM NA MIKOANI TUNATUMA
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanawake Rombo waogopa kutembea peke yao bila waume zao wakihofia Nyani, ambao 'huwakonyeza'

    Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao. Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi...
Back
Top Bottom