majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  2. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu ana majina mengi kila nchi (Jesus, Yesu, Emmanuel, Yoshua, Jisos, Jesu, Issa)

    Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa mtu tafauti! unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Ukikosoa chama chako utanyang’anywa kadi na kuitwa majina mabaya yote, CCM iwe imara inahitaji upinzani imara

    Wakuu Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe. SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA. Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa Furaha: WAPINZANI ACHENI KUIONEA CCM na CCM IACHE KUJIONEA. 1. Taifa hili bila CCM imara...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasongo, Zakayo, El Chapo na Naibu Yesu - kwa nini rais wa Kenya ana majina mengi ya utani?

    Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili tuishi kwa amani na furaha. Tupatieni majina ya Wachezaji wa Simba tuwazike na Mtujulishe wamefikia wapi kwa sasa

    Tayari uongozi umepitisha. Ijumaa tunaenda maliza match ya Mikia. Wallah wabillah hawa mikia hawatachukua Kombe. Labda siyo mimi Komeo la Chuma. Uongozi umetoa fungu la kutosha kufanikisha zoezi hili. Wachezaji wa Simba wazikwe. Yanatakiwa majina yao kamili na tarehe zao za kuzaliwa. Hii...
  6. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Tulivyo Busy Kutafuta Majina Magumu Ya Kiingereza au Kiarabu Kuwapa Wana Wetu Ni Wazi Maungoni Bado Ni Watumwa!

    Katika jamii nyingi za Kiafrika leo hii, kumekuwa na mtindo unaokua kwa kasi wa wazazi kuwapa watoto wao majina ya Kiarabu au Kiingereza, wakiyaona kuwa ni ya kisasa, ya heshima au ya hadhi kubwa. Kile kilicho kizuri na cha heshima kwao sasa kinapimwa kwa jinsi kinavyokaribia "ule ulimwengu wa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wanatumia majina ya wazungu na waarabu?

    Je,hata baada ya kujikomboa bado kuna haja ya kutumia majina ya kizungu na kiarabu hadi leo? Je,yana faida au hasara kwetu??
  8. mwehu ndama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina na a.k.a za wachezaji soka wa bongo yalliyonivutia zaidi

    Baadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa *MNENGE SURUJA ,Afc Arusha *QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc *NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc *GAUDENSI MWAIKIMBA ak.a MWAI NNYA, Yanga sc *KAPUMBU MTEGO, reli kigoma * IDDY MBUZI , toto Africa...
  9. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Yafahamu Majimbo 8 mapya ya uchaguzi na majimbo 12 yaliyobadilishwa majina

    Majimbo Mapya 1. Mkoani Dar es Salaam-majimbo 2 (a) Jimbo la Kivule lililogawanywa kutoka Jimbo la Ukonga (b) Jimbo la Chamazi lililogawanywa kutoka Jimbo la Mbagala 2. Mkoa wa Dodoma-jimbo 1 Jimbo la Mtumba lililogawanywa kutoka Jimbo la Dodoma Mjini 3. Mkoa wa Simiyu-jimbo 1 Jimbo la Bariadi...
  10. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Wana JF na great thinkers. Watoa threads nyingi humu za kuipinga Chadema na kwingineko avatars zinabandikwa majina bandia ya Kichagga . Ni

    Wanabodi na wapenda haki kote naomba tuchukue tahadhari. Kuna mkakati maalumu unaendelea wenye lengo moja, kuhakikisha Uchaguzi wa October unafanyika. Hata mimi napenda ufanyike. Chadema kama chama cha upinzani, kimevalia njuga mabadiliko kwanza ya sheria na namna ya ufanyaji uchaguzi bora na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanalitaja jina la Mhe. Samia kwa wastani wa mitajo 1,978,365 kila siku ukilinganisha majina mengine

    Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku! Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
  12. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA 2025

    Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
  13. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Taja majina ya mboga za majani ulizotumia, au unazotumia mpaka sasa

    Wale ambao tumekulia maisha ya kijijini, au maisha ya hali ya chini, kuna aina za mboga za majani ambazo zilitulea na kutupa afya njema. Huenda kwa sasa hukutani nazo kwasababu ya kijiografia, hali ya maisha uliyonayo sasa, kuchangamana na watu wa jamii nyingine, au kwasababu nyingine yoyote...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu ni majina ya AMOSI wengi wana uelewa mdogo kiasili ,huwa hawako vizuri kwenye reasoning,ni wazito kiakili, na ni wakurupukaji sana

    Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Asili ya majina Mikocheni, Masaki na Kariakoo

    Mikocheni asili yake ni miti ya mikoche. Mikocheni maana yake mahali penye mikoche. Mikoche yenyewe ni miti iliyo kama miwese/minazi. Miti hii inapatikana pwani ya Afrika Mashariki hadi huko South Afrika. Pia inazaa matunda yaliwaywo. Matunda yake. Masaki limetokana na neno la Kizaramo Saki...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya baadhi ya mafisadi wa Tanzania tangu 2000 nakuandelea

    Orodha ya mafisadi wakubwa waliowahi kutajwa au kuhusishwa na kashfa kubwa za ufisadi Tanzania tangu mwaka 2000 ni ndefu na imejumuisha wanasiasa, wafanyabiashara na watendaji wa serikali. Zifuatazo ni baadhi ya kashfa na watu waliotajwa kuhusika: 1. Kashfa ya EPA (External Payment Arrears) –...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba Majina ya wilaya kongwe nchini

    Wakuu naombeni mniambie wilaya za zamani zaidi hapa nchini yaani zile kongwe ambazo labda wakoloni walizianzisha mara tu walipofika au labda sisi baada ya kupata uhuru tukazianzisha.
  18. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Majina ya miundo mbinu yanaweza kutangaza Utalii...

    Pamoja na kwamba sina tatizo na majina yanayotolewa kwa huduma/miundo mbinu Nchini ILA napendekeza ile miundo mbinu yenye sura ya kimataifa ipewe majina ya kuwakilisha vivutio vyetu kama sehemu ya kutangaza Nchi Nikisema sura ya kimataifa , naanisha miundo mbinu ambayo kwa kiasi kizuri...
  19. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania LBL wanawabadlishia majina tu, hakuna Pesa nyepesi jamani

    Stori ni zile inaama awa watu awaogopi kabisa mamlaka kama mmeshindwa kabisa Ku track hizi platform nyie pigeni block namba wanazo weka kupokelea pesa mbaya zaidi wanaolizwa wengi ni choka mbaya kabisa. Mtu yupo Mlimba huko eti ananipigia Mimi ananishauri kuna biashara online sijui nitapiga...
  20. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

    Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia. Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo? Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Back
Top Bottom