majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina haya ya Wabunge waliokatwa kwa visasi

    Kwenye siasa kuna visasi vingi, chuki, husuda , usaliti, kiburi, jeuri , dharau, huko kumejaa huwa ni kutesa kwa zamu leo kwangu kesho kwako. Wabunge hawa wameondolewa kwa chuki visasi na usaliti..Kuna baadhi waliojiharibia na kuna wengine chuki za waziwazi 1. Ummy Mwalimu - Rafiki wa JK ...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Polepole akiwataja kwa majina wanaoteka watu na mahali waliko akina Ben Saanane nchi itapona

    Haitoshi tu kuelezea mambo ya kisiasa ama Kura zinavyoibiwa, tunataka pia kujua uhai wa watanzania wenzetu waliopotezwa na wanaoendelea kupotea ninani anawateka na wanawekwa ama wako wapi na kama wanauliwa wanazikwa wapi ? Pole pole ukieleza ukweli huu nchi itapona
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mnapoanza kusave majina kama m23, m24 kwenye mahusiano khaa kazi ipoo

    Jana nilikuwa na gfriend kidogo tulienda outin Wiki tatu zilizopita nilimuudhi kidogo Gaflaa nkasema nipige simu yake analalamika haitoi sauti Kupiga naona nimesaviwa M23 Nkashtuka nkamuliza kwa ubaya gani umenipa jina kama hili Mns kuna m24..m25...akaishia kusema sorry alikasirishwa...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini chadema imefanya siri majina ya watu waliochanga fedha za tonetone

    Ni vyema vyama vya siasa vikawa na uwazi kuhusu michango wanayopokea. Najiuliza chadema wana hofu gani mpaka wanakusanya fedha kwa siri kubwa sana?
  5. Room 28

    JamiiForums Tanzania Nitajieni majina ya Kibena ya mapacha??

    Wale wa mkoa wa Njombe,mbeya,Iringa Nipeni majina ya kibena kwa ajili ya mapacha. Haya ni baadhi ila si ya mapacha 1.Atupele 2.Atugavie 3.Alatuhiga 4.Alanzawe 5.Amsho 6.Tulazabihwa NB: msiniletee ya majina ya kizungu wala kiarabu
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

    Dada mtu kaitwa kwa Bwana mkubwa muandika Majina ya waenda vita ya Kagera hapo pembeni baada ya kusikia Kaka na Baba wana afiki kabisa Jamaa kutua kwenye usajili Mpya ! Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka Kesho Saa tano Mpaka kumi kwaweza kuwapo Breaking Nyuziiii...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe waliamsha Simanjiro wakidai Katibu anaharibu mchakato wa kura za maoni

    Mko wapi? Its now obvious kwamba hata huko CCM wanahitaji kufanya reforms Hapa hawa wananchi wanalalamika kwamba kuna rafu zimefanyika kwenye mchakato wa Uchaguzi ambapo huyo Katibu anatuhumiwa kucheza rafu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuna clip ya dada mmoja anaelezea kifo cha Mwendake, mazingira yake na kuna vigogo kawatuhumu kwa kuwataja majina

    Kuna clip ya Dada mmoja anaongea kwa hasira kuhusu mazingira ya Mwendazake kufariki huku akitaja baadhi ya vigogo anaowatuhumu kuhusika akiwepo Mstaafu mmoja. Hii clip bila shaka ni mpya na ni wazi wa nchi hii kuna mambo mazito yanaendelea. Kwakeli nimeshangaa sana na sidhani huyu dada kama...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau: Kuna Majina hewa yanapewa hela za TASAF

    Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau kupitia tiketi ya CCM amesaidia kuwasaidia wananchi ambao hawapati pesa za Tasaf na badala yake wanapewa wasiostahili. Chanzo: Kikeke Digital Pia soma ~ Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani kata za wilaya ya Uyui Tabora

    Akisoma Majina hayo Agosti 1, 2025 ofisini kwake Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Ndugu Idd Moshi Mambo ameeleza kuwa haya ndio majina ambayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi Ccm kwa ajili ya Wajumbe wa Chama cha mapinduzi ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja kuwa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Sikonge-Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Sikonge mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Urambo - Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Urambo mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Kaliua-Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Kaliua mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Nzega-Tabora

    wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Nzega mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Igunga-Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Igunga mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waafrica hawatumii majina ya Kirusi

    Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?
  17. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Wachezaji ambao ukiwataja lazma utamke majina yao mawili

    Mimi naanza na Sergio Ramos
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini dhambi hizi zimepewa majina mazuri?

    Siku hizi kuna dhambi nyingi zilizopachikwa majina mazuri au ya kisasa. Kwanini? Hii ni hila ya shetani ya kuzipunguzia uzito au kuzipa uhalali katika jamii. Kwa njia hiyo shetani anawafanya watu waone kuwa dhambi ni kitu cha kawaida, cha kuvutia, au cha kupendeza na hivyo wanavutwa kutenda...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCRA yatoa tangazo "Kuzingatia hitaji la kisheria la kusajili na kutumia majina ya dot tz (.Tz domain names)

    KUZINGATIA HITAJI LA KISHERIA LA KUSAJILI NA KUTUMIA MAJINA YA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES) NCHINI Kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Cap. 172 R.E. 2023, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ina wajibu wa kusimamia uendeshaji wa rajisi ya majina ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hata kama ninaowapenda wamekatwa majina yao, nitasimama na CCM hadi naingia kaburini

    Mimi nimezaliwa babangu mzazi akiwa Katibu Tarafa, alikuwa akifanya kazi pale Shirika la Ugawaji la Taifa - KIUTA, enzi hizo magazeti ni Uhuru, Mfanyakazi, Daily News na Sunday News.Sasa hivi Mfanyakazi halipo. Babangu ambaye ss hivi ni marehemu alikuwa kada lia lia wa CCM, hata hivyo amebakia...
Back
Top Bottom