majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
  2. 1999s

    JamiiForums Tanzania Majina yanayoonesha venue za kufanyia interview, Mwalimu wa uchumi(Economics).

    Habari zenu wanajamvi, hivi tangazo linaloonesha venue za kufanyia interview somo la uchumi ajira portal limeshatoka?
  3. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania CCM tusiruhusu majina matatu Urais, sio utamaduni wa Chama

    Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu. NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Majina yasiyopungua matatu vs majina yasiyozidi matatu, huyu alitaka kusemaje? Je Katiba ya chama haikuvunjwa?

    Wapendwa wana jukwaa, ni matumaini yangu mko salama. Lengo la uzi huu ni kutaka kueleweshwa endapo katiba ya chama haikuvunjwa kwa mujibu wa clip fupi hapa chini
  5. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kijiweni leo: kwanini hakuna wazee wenye majina ya kelvin?

    Habari tena! Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN. SABABU! Baada ya mzee kufikiria akaja na jibu kuwa, jina la KELVIN lilikuja Tanzania miaka ya 90's hivyo lilianza kutumika kuanzia mikoa ya...
  6. Jackal

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Majina Ya Wagombea Wa Udiwani CCM Mambo Si Shwari

    https://www.facebook.com/share/v/15eTpk7HpN/
  7. R

    JamiiForums Tanzania Yakienda majina matatu, hatoboi

    Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri. Muendelee kuwa na siku njema.
  8. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ifike hatua tuache kutumia majina ya viongozi wa kisiasa kwenye miradi mipya.

    Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa. Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔. Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli. Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au...
  9. Now and then

    JamiiForums Tanzania Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

    Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu . Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda . Nina mashaka Makubwa na Elimu yake. Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi. Hatuwezi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM yakanusha kukata majina ya waliochukua fomu

    Chama Cha Mapinduzi(CCM)Kimekanusha taarifa zinazoesambaaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuwa Kuna baadhi ya watia nia wa Udiwani na Ubunge majina Yao yamekatwa huku wengine wakifanikiwa Kupita katika mchakato wa uteuzi Akizungumza na Waandishi wa Habari Leo Julai 13,2025 Jijini Dodoma Katibu wa...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya

    1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini 2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini 3. January Makamba jimbo la Bumbuli 4. Jerry Muro Jimbo la Hai 5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini 6. Luhanga Mpina kule Kisesa 7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini 8. Mwijaku Jimbo la Mvomero 9. Furaha Dominic kule Kawe...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapema hata kabla majina matatu hayajarudi wanaCCM wameonyesha mpasuko mkubwa

    Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani. Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura. Jina langu lisiporudi mimi ninazila. Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
  13. R

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuyasemesha magonjwa yenye majina, yanasikia.

    Salaam, Shalom! Mungu alipomuumba Mwanadamu, aliweka nguvu ya uumbaji ndani yake, ameweka pia mamlaka Katika kinywa kuumba, na kufisha pia KUPITIA kinywa. Tumia kinywa chako kusemesha magonjwa, yanasikia na kutii utakachoyaamuru. Narudia Tena kusema, ukilala mzima wa afya, ukaamka na kujihisi...
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Uswege = unisamehe Andungwise = ameniongoza Ambwene = ameniona Mwalugano = mwenye upendo Negwako = niwe wako Andombwise = ame nivusha Tusajigwe = tumebarikiwa Ambele = amenipa Subiraga= tumainia Angetile = amenitazama Andolile = amenitafuta Nkundwe= mpendwa Sekela = furahia Lusako=...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuweka majina matatu kwenye Cheti

    Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa. Kindly advise, please!
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukataji holela majina ya wagombea,waleta Vurugu za Kisiasa Moshi Mjini: Kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya CCM yavunja kwa makusudi kanuni ya 14

    Katika hali ya kutatanisha iliyojitokeza mjini Moshi, kikao cha kamati ya siasa ya Wilaya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezua maswali mengi kuhusu uwazi na uaminifu wa viongozi wa chama. Kanuni ya 14 ya chama, inayosisitiza umuhimu wa kuheshimiwa kwa vikao vya ndani na kutokutoa Siri za teuzi...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ukisikia haya majina yanatajwa nini hukujia akilini kwa haraka?

    1. Shirima 2. Chacha 3. Mwakipesile 4. Rweyemamu 5. Masanja 6. Mwashambwa
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Amedai Talaka ili wagawane Mali kumbe mume nyumba zote kaandika majina ya watoto!

    Naishije haya maisha kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mimi ni mama wa watoto 5, niliolewa lakini nimedai talaka na imetoka sina hata shilingi mia kaka. Iko hivi, mume wangu ni mfanyakazi wa serikali, ana kipato kikubwa na mara nyingi yuko bize sana kazini, alinifungulia biashara na katika hii...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa majina

    Naomba ambaye alishawahi kukutana na hii changamoto afafanue aliisolve vipi majina katika vyeti yanatofautiana na majina ya kitambulisho Cha taifa
  20. al-baajun

    JamiiForums Tanzania jina Lako Linaweza Kufunga Maisha Yako? (Siri Ya Majina na Uzito Wake)

    Katika tamaduni nyingi za Afrika hasa za Kiswahili jina la mtu halikuchaguliwa tu kwa kupendeza au heshima ya familia. Jina lilizingatia: Asili ya neno hilo (kama lina mizizi ya vita, huzuni, roho, au baraka) Nguvu ya herufi za jina hilo kwa mujibu wa maandiko ya kale (kama Shams al-Ma’arif)...
Back
Top Bottom