majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani kuzuia makampuni kubadili majina. Kama Tigo ilivyoenda kuwa Yas?

    Mambo mengine ni usumbufu mkubwa kwa walaji. Haiwezekani kuzuia makampuni yenye walaji wengi kubadili-badili majina?
  2. Mlume Ndago

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

    Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988. Katika cheti changu jina langu...
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Redcross kwa siri wanaandikisha majina ya familia zilizopoteza ndugu zao. Huku walio ughaibuni kutafuta msaada.

    Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana. Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina mengi yaliyoandikishwa ila watu ni wachache sana kwenye vituo vya kupigia kura

    Watu wamesusia uchaguzi ,uchaguzi umekosa radha people wako zao bize. Wasimamizi wanachati tu hakuna wapiga kura kama walivyotegemea. Niko hapa igoma kituo cha igoma sekondari asked ni aibu hakuna watu hata wanawake pia wamesusia na vitenge walipewa hahahahaha. Ngoja tuone matokeo maana...
  5. Chizi Maarifer

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wenye majina ya "Ayo" wengi wanakuwa na vipawa , mvuto , akili na ushawishi ?

    Mzuka Wana Jamvi Huu ni utafiti nilioufanya tukuanzia hapa JF unamkuta Genius Maghayo Utangazaji MillardAyo Muimbaji DullAyo Kwenye Bible ZebedAyo Kabila WakaldAyo Mchezaji mpira AdebAyo Mfanya biashara ChivAyo Je una maoni yapi ? Uzi teyari
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mussa, Daudi, Yesu na Wayahudi wengine wengi wa kwenye Biblia walikuwa Waislamu!

    Ad-Darr” (ٱلضَّارّ) ni moja ya majina 99 ya Allah (Asmaul Husna). 🔹 Maana yake: “Yule Mwenye Kudhuru” au “Mleta Madhara.”
  7. Think2

    JamiiForums Tanzania Majina ya kichaga na sehemu yanapotokea kiasili

    Majina ya kiukoo ya Kichagga pia huashiria wanatoka sehemu gani ya Uchaga, japo si lazima kuwa hivyo: kwa mfano, familia maarufu za Kichagga nchini Tanzania ni kama ukoo wa akina Mushi, Mmasy Kimaro, Swai, Massawe, Lema, Urassa, Nkya, Ndosi, Somi, Uronu, Mbasha, Mafuwe, Mbowe, Silaa, Kweka...
  8. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya watakaosimamia uchaguzi yaachiwa, wengi wao ni walimu

    Mkoa fulani umeachia majina ya watakaosimamia Uchaguzi Mkuu 2025. Wengi wao ni walimu. Watafanya interview kuanzia week inayoanza jumatatu. Oktoba imeanza kuchangamka
  9. The silent smile

    JamiiForums Tanzania Kuna lile jina halina maana mbaya ila hupendi mtu akuite. Litaje

    Habari wadau;; Kila mmoja ana kile akipendacho na asichokipenda. Siku hizi kumekuwa kunaibuka misemo na majina mbalimbali ktk jamii na yamekuwa yakitumika/kutumiwa. Kuna baadhi ya majina kama udugu wangu, na mengineyo... Sasa kuna jina ambalo mtu aweza kukuita ila ukajikuta tuu hupendi...
  10. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Majina mengine ya kampuni za biashara nchini kwetu yana walakini sana

    Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi kwa hiyo biashara nyingi za Tanzania kuwa Limited ni sawa kabisa kulingana na shria za nchi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Charlie Kirk Kuuawa, wafuasi wa chama cha Democrats waanza kupanga majina ya Republicans watakaofuata kuuawa

    Baada ya Charlie kirk kuuawa kazi bado haijaisha, Wafuasi wa chama cha Democrats wameshauri zoezi liwe endelevu na wametoa orodha ya majina ya republicans wa kuuawa. Hawa Republicans waliotajwa wamekuwa mwiba kwenye sera za democrats zinazohusu Abortion, Kuruhusu wahamiaji haramu, kuruhusu...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Wale wakongwe, haya magari mliyabatiza majina gani shule uliyosoma?

    Zile shule kongwe kidogo zilikuwa na magari aina ya malori ambayo yalisaidia katika shughuli za shule kama kusomba vyakula, kuni na kusafirisha wanafunzi kwenye matukio. Magari haya yalijizolea umaarufu lakini pia kila shule ilibatiza jina la utani lori.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Polepole kamilisha kazi ya chuma, tuletee majina halisi ya wauza sembe nchini

    Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu. Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini. Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni. Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope...
  14. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Huyu ni nani?

  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh anasema Hakuna Jina la Kiislamu au Kikristo, haya majina ni ya tamaduni za Wazungu na Waaarabu, Waafrika mnabadili majina kwa kushoboka

  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kufanya Matusi, Ngono ni majina mabaya yaliyopachikwa kwenye kizuri ili kionekane kibaya

    Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile kinaitwa kufanya matusi.
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mali za mtoto wa Rais, Abdul Hassan zimeandikwa kwa Majina ya China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania

    Machine kadhaa na magari mfano ile Rolls Royce yenye insurance ya Sh.55,000,000 ni mali ya Abdul. Ameiandikisha kwa China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania. Nchi inamegwa halafu wanaweka majina ya Wengine Britanicca
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Unayaongleaje majina yafuatayo katika siasa za Tanzania?

    Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk, utawaelezeaje? Julius Kambarage Nyerere, Abeid Aman Karume, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa...
  19. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Majina ya wapinzani yachomoza CCM, wapigania chama hoi2025

    Salaam nyote, Baada ya subira ya ya vuta heri Sasa kunako jukwa la CHAMA Cha mapinduzi hakuko sawa baada ya WAPIGANIA CHAMA kuachwa Richa ya kushinda. 1. Kishoa , Baba Revo, Bulaya, n.k Wengi walioachwa wananung'unika kuwa tumekijenga CHAMA kwa jasho na machozi ,Fedha lakini watu wamevuka tu...
  20. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina haya ya Wabunge waliokatwa kwa visasi

    Kwenye siasa kuna visasi vingi, chuki, husuda , usaliti, kiburi, jeuri , dharau, huko kumejaa huwa ni kutesa kwa zamu leo kwangu kesho kwako. Wabunge hawa wameondolewa kwa chuki visasi na usaliti..Kuna baadhi waliojiharibia na kuna wengine chuki za waziwazi 1. Ummy Mwalimu - Rafiki wa JK ...
Back
Top Bottom