Dunia nzima ukisikia jina Ukechukwu, Obina directly linakupeleka kwenye asili yake. Ukisikia Patel, Sanjay, unapata asili yake. Ukisikia Yamamoto, Sadaaki Numata unapata mwanga huyo asili yake wapi. Hali kadhalika kwa Tanzania ukisikia majina kama Kamugisha, Aika, Bhoke unapata picha asili yao...