majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

    JINA LA YESU LITUKUZWE WATOTO WA MUNGU! Watu wa Mungu walio okoka na ambao bado hawajaokoka! Leo ngoja tuzungumze juu ya Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai! Leo natangaza habari za wokovu! Leo natangaza jina lipitalo majina yote jina la YESU KRISTO! JINA LA YESU LINA NGUVU...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania JamiiForum pitieni kitabu cha Erick kabendera mje na majibu kuhusu ID ya ben saanane

    Hakuna binadamu anaye chukua masaa,siku,mwezi na miaka bado tukaweza kusema majibu rahisi. Na hii imeshakuwa desturi ambayo majibu mepesi utolewa wakati wapendwa wao mpaka leo wajawahi kupata hatma yao. Kuna kawaida hapa JF ikitokea mtu kafariki au kupandisha hadhi inajulika. Swali la kwanza...
  3. Chakaza

    JamiiForums Tanzania CCM Mbona Mnafeli? Majibu ya NO REFORMS NO ELECTION Yanapaswa Kutolewa na NEC au Serikali na Sio CCM Maana Nanyi Ni Washindani!

    Ni wazi Makalla na yule Babu Wassira pengine hawajui kuwa CCM ni washiriki wa uchaguzi kama ilivyo Chadema, ACT, CUF nk au bado wao ni OLD FASHIONED kiasi cha kushindwa kutofautisha CCM chama na Serikali katika utendaji. Chadema wao wanapanbana na Tume ya uchaguzi na Wizara ya sheria/mambo ya...
  4. second9

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wana majibu ni balaa

    Jana bwana nikiwa natoka job nikakutana na jamaa yangu mmoja akanipa lift akiwa na wife wake na shangazi wa mke wake naweza kusema na yeye ni mkwe wake. Tukiwa maeneo ya Aga Khan upanga ghafla ikapita G wagon. Mkwe: Wanangu mmeona wanaume hao .... Jamaa: Wanaume wapi, yule mwanamke tena binti...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania ULIYEMFICHIA MAJIBU NECTA NDIE MWAL WAKO VETA UTAIPENDA

    Utajua ujuiii Xyz Utaipenda
  6. S

    JamiiForums Tanzania BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics. Jibu la BOT...
  7. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimeenda kwa mganga, ili nimtulize mwanamke majibu yakawa hivi

    Achana na wanawake kijana Wangu, wanawake wapo wengi sana, Haina haja ya kumloga mwanamke ila tafuta hela achana na mambo ya wanawake komaaa na kutafuta hela wanawake wapo wengi, na wewe bado ni kijana mdogo. Baada ya hapo nikamshukuru sana huyo nikajikataaa. Oya ndugu zangu achaneni na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli viongozi wa Yanga wana utoto na ujinga? Majibu ni haya

    Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia page yako kwenye insta unawaambia wanayanga twendeni uwanjani, wewe unabandika listi ya kikosi kwenye...
  9. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Uzi kuitwa Chai ina maanisha nini? Naombeni majibu.

    Nashangaa fulani kusema "Chai" akirejea mada ya uzi fulani. Huwa wana maana gani? Chai? .
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Kimarekani walalamikia majibu ya China ya nyongeza ya ushuru wa 15% kwa bidhaa

    Baada ya China kujibu mapigo kwa nyongeza ya ushuru wa 15% kwa bidhaa za kimarekani baada ya serikali ya Donald Trump kuiwekea ushuru kwa bidhaa za China zinazo ingia marekani athari za majibizano ya nyongeza za ushuru kati ya serikali ya Washington na Beijing za wakumba wakulima wa kimarekani...
  11. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu tu. Watu wenye IQ kubwa mnakaribishwa.

    KWanza Fanya ku like thread hii, kisha uliza swali kali au jibu maswali. Post yako ikipata reaction nyingi (20 reactions) basi tutakutambua kama Genius! Nb. Kiswahili na English vinaruhisiwa. Tuanze.
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maajabu yaliyokosa majibu kwenye picha ya Tantranil Castle

    Hii ni picha iliyopigwa "Tantranil Castle" huko Scotland, na mpiga picha, "Christopher", anaapa kwamba hakuna mtu aliyekuwepo wakati anapiga picha hiyo! 👀 Hata hivyo, inasemekana kwamba mahali ambapo taswira hii ya kibinadamu inapigwa picha haipatikani kwa watalii wa kawaida, na kuna ukuta wa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nipeni majibu kuhusu hawa waturuki

    Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

    Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao. Tukio hilo limefanyika katika...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Fikilishi Kuhusu Majibu ya Hospitali ya Mlonganzila Kufuatana na Tuhuma ya Huduma za Hospitali Hiyo ya Taifa Muhimbili-Mlonganzila

    aada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi. Kusoka hoja za Wadau bofya hapa chini: ~ DOKEZO: Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Elon Musk amepata majibu murua kutoka kwa Julius Malema

    Wanakumbi. Vikwazo vya mara moja kwa Malema na kutangazwa kwake kama mhalifu wa kimataifa! Elon Musk. Majibu ya Julius Sello Malema. Nadhani umepoteza kabisa ubongo wako wa kushoto: shujaa wa kawaida aliyeharibiwa na mnufaika wa moja kwa moja wa weupe wa ubaguzi wa rangi. Najua watu weusi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi asimama bungeni kupigania ujenzi skimu ya nyendara, serikali yatoa majibu

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi Ijumaa Februari 07, 2025 amesimama Bungeni kuiulizia Serikali kuhusu ukamilishaji wa Skimu ya Nyendara. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde amemjibu Mhe. Mbunge Samizi kwa niaba ya wananchi wa Muhambwe kwamba Serikali iko...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya vipimo Electrocardiogram (ECG)

    Mssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha kichwa au kuinua.
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kukosa Majibu Katika Ujenzi wa Majengo ya Elimu na Afya, bila kujali matumizi Bora ya Ardhi upande wa Tanzania Bara

    Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya. Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
Back
Top Bottom