majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Majibu ya Sugu "Tumewajibu kwa mimba"

    Nimesoma hii stori nikajikuta naanza kucheka mwenyewe, Sugu ban ani mbishi na mtata sana. ----------------- Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewajibu waliomdhihaki kwenye mtandao wa Instagram kwa kumpa mke wake ujauzito baada ya kumsema kwamba ni mgumba. Sugu ambaye...
  2. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

    Habari Wakuu, Leo 14/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Mawakili wa Serikali waliomba ahirisho la kesi hadi leo Februari 14, 2022 kutokana na Shahidi Tumaini Swila kushindwa kufika Mahakamani siku ya Februari 10, 2022...
  3. JamiiForums Tanzania Majibu kuhusu Kirusi kipya cha UKIMWI hiki hapa!

    Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamegundua virusi vipya vya Ukimwi wanavyoita ‘VB variant’. Wanasema virusi hivyo ni hatari zaidi ikilinganishwa na vile vilivyokuwepo katika sehemu tofauti duniani tangu miaka ya themanini na vimekuwapo nchini Uholanzi kwa muda mrefu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania FCC hata kama wamejitoa tunataka majibu ya uchunguzi ya ule udhamini feki

    FCC malalamiko yalifikishwa kwenu sikuy nyingi hawa jamaa wakanusa hatari ya ripoti yenu wakakimbia haraka kama nguchiro na mkia katikati ya miguu yao. TUNATAKA MAJIBU YAWEKWE HADHARANI ili iwe onyo isijirudie tena siku nyingine kwa matapeli ya soka mengine kujitokeza yakishirikiana na TFF...
  5. JamiiForums Tanzania Waliokuwepo kwenye oral ya Mzinga corporation 29/12/2021 Morogoro vipi majibu bado jamani?

    Habarini za mda huu! Waungwana Kuna mwenye taarifa yoyote juu ya ile interview ya Mzinga tujuzane. Maana ni mwezi sasa au huwa wanachukua mda gani kutoa majibu ya oral? Kama Kuna mwenye experience na hizi ajira za utumishi tujuzane
  6. JamiiForums Tanzania RC Makala, siku saba zimepita tangu soko la Karume kuungua. Majibu hayajatoka?

    Tunaomba kujuzwa. Kamati ya kuchunguza kuungua kwa soko la Karume imekwama wapi? Tunataka kuendelea na biashara zetu hapa Karume. Pia soma > DC Ilala: Siku ya 8 Ripoti ya Uchunguzi wa moto Soko la Karume itasomwa mbele ya Waziri wa Tamisemi, RC DSM na Wamachinga wote, kisha watarejeshwa
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wanafizikia nisaidieni NECTA FORM 2, 2019 kuna swali lenye majibu ya kipuuzi

    Mimi Taaluma yangu ni mhandisi ambaye nilipenda sana somo la fizikia enzi nikiwa shuleni. Nimejaribu kurejea mambo wanayofundishwa watoto wetu nikashangaa kuna upotoshaji mkubwa. Mfano: NECTA FORM 2 ya mwaka 2019 kwenye Section A, swali la 1, (i) ameuliza ifuatavyo (i). Why Physics...
  8. JamiiForums Tanzania Majibu yangu kwa Thadei Ole Mushi alivyouliza, nini kimempata Ndugai?

    Naheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano imeishia kununua wapinzani na kukopa Trillion 29,ninukuu ya Mzee Mwinyi sijui kama nainukuu sawa sawa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutaendelea kukopa tumalizie miradi inayoendelea

    Asalam! Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji. Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda...
  10. JamiiForums Tanzania Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

    Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza...
  11. JamiiForums Tanzania Ni wapi kwenye Biblia inataja asili ya mtu mweusi?

    Naombeni majibu katika Biblia ni wapi ambapo mtu mweusi anatajwa chanzo chake maana tangu Adamu hadi Yesu hakuna mahala pametajwa mtu mweusi, sasa huu ujasiri wa kupigania pepo sisi tunautoa wapi?
  12. JamiiForums Tanzania CCM na Serikali jibuni hoja za Humphrey Polepole, msimzime kidola

    CCM NA SERIKALI JIBUNI HOJA ZA POLEPOLE, MSIMZIME KIDOLA. Na Yericko Nyerere Kinga uliyonayo ni kwa muda tu, hakuna kinga ya kudumu, Hata Job Ndugai na wenzake kinga walizojiwekea kipindi walipokuwa kwenye dibwi la kuvunja haki za watu na kuvunja Katiba ya Tanzania, ina muda mfupi sana...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga Walifika CAS Dhidi Ya Morrison..? Leo Wakili MSOMI Katoa Majibu...!

    Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia. Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..! Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika Yanga walistahili Kufika Pale Walipofika japo Waliangukia Pua.! Zipo nyakati duniani ...jambo moja...
  14. JamiiForums Tanzania Majibu ya Udalali wa Wasaidizi wa kazi za ndani. Ufafanuzi wa kina

    MAJIBU NA UFAFANUZI KUHUSU UDALALI/UWAKALA WA WASAIDIZI WA KAZI ZA MAJUMBANI. Anaandika, Robert Heriel. Wakala wa WASAIDIZI WA Ndani. Bila Shaka wote ni wazima humu. Andiko hili nitaeleza muhtasari wa suala la Wasaidizi wa kazi za ndani. Mimi nikiwa Mdau, na mkurugenzi wa Kampuni inayohusika...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

    Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
  16. JamiiForums Tanzania January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini. Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair. Sasa hivi...
  17. JamiiForums Tanzania Majibu ya Tume uchunguzi wa moto soko la Kariakoo

    Salama Watanzania wazalendo, hapa nahitaji tujiulize matukio ya moto kwenye masoko ni ya kujirudiarudia kuna maswali je, ni njia ya watu kupiga pesa kwenye ujenzi. Tume iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto imebaki na majibu kimya kwenye makabati hawaoni umuhimu kutoa majibu hayo, inaundwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tulipokuwa wabovu Ajibu alikuwa Star wetu pia

    Naona Ajibu anashangiliwa Sana. Yes. Hata sisi tulipokuwa wabovu Ajibu huyuhuyu ndio alikua Star wetu wa timu. Huwezi kuwa na timu nzuri halafu Ajibu akawa Star, HAIWEZEKANI. Ukiona Ajibu anasifiwa Sana kwamba anaibeba timu jua shuhuli imeisha! #Njoeni mnipige nipo hapa mitaa ya Jangwani
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Majibu ya vipimo vya UTI kufotautiana ndani ya lisaa limoja nini tatizo

    Wiki kadhaa nilikuwa nasumbuliwa na UTI baada ya kupata vipimo katika kituo cha afya X na doctor akanishauri nitumie dawa make alisema sio nyingi ni ya kawaida ..baada ya kumaliza dozi ikabidi nirudi kujiridhisha kama nimepona ugonjwa ila cha ajabu majibu yakatoka kuwa nina UTI ya kutosha kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…