Majibu ya Sugu "Tumewajibu kwa mimba"

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,456
Nimesoma hii stori nikajikuta naanza kucheka mwenyewe, Sugu ban ani mbishi na mtata sana.

-----------------

Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewajibu waliomdhihaki kwenye mtandao wa Instagram kwa kumpa mke wake ujauzito baada ya kumsema kwamba ni mgumba.

Sugu ambaye kwa sasa pia anajiita Jongwe amejibu hilo kwenye mashairi ya wimbo wake mpya wa Taita aliomshirikisha Billnass ambapo unasema:

"Sina waganga kwangu Mungu ndio muumba, kumbuka wadangaji wa Insta waliposema wife wangu mgumba, hatukuwajibu tukawajibu kwa mimba, leo tuna watoto wanagawana vyumba kwenye mjumba."

-----------------------

Capture 11.JPG

Capture.JPG
 
Watu wa hip hop huwa hawakui, sijui kwanini?!!!! Ni matusi tu hadi uzeeni. Eminem, dmx (r.i.p dog!), John makini, Wayne, dre n.k
50 huwa ananichekesha sana,yule jamaa ana misifa,kwake ana majiko mengi hadi mengine hajawahi kuyatumia, aliwahi kusema hivi "nilienda south france matajiri wa kule wakawa wanaulizana huyu nani kwa kujishaua,nikasema F@ck man,kama ni hela hata mimi ninayo"😅
 
mku umenichekesha sanaa kwa jinsi akili yako ilivyo ndogo. Inawezekanaje hadi mende kakuzidi akili?

Ninachojiuliza inakuaje wazazi wako wanakuruhusu kushika simu.
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani mbavu zangu mimi jamani. Umenichekesha hadi mbavu zinauma
 
50 huwa ananichekesha sana,yule jamaa ana misifa,kwake ana majiko mengi hadi mengine hajawahi kuyatumia, aliwahi kusema hivi "nilienda south france matajiri wa kule wakawa wanaulizana huyu nani kwa kujishaua,nikasema F@ck man,kama ni hela hata mimi ninayo"😅
Wana mambo ya ajabu ajabu kweli!!!
 
Back
Top Bottom