majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu bungeni

    Nimekuwa nikisikiliza maswali na majibu yanayoulizwa Bungeni na majibu yanayotolewa Bungeni kwa kweli kipindi hiki hakina tija na kinatakiwa kufutwa kabisa. Unaposikiliza majibu kwa kweli hayana mashiko na mengi hayana ukweli. Ni majibu ya kufunika kikombe na mwanaharamu apite. Mfano hai ni...
  2. JamiiForums Tanzania Majibu yangu Tukuka kwa wale Wanaonishambulia kwa Kumsema Mjane wa Mzee Mkono na Bintiye Mkubwa Leah

    1. Hamna mnachokijua hivyo tulieni tuli 2. Tayari Uzi umeshasomwa na Bi. Mkubwa 3. Nimepongezwa kwa Kulisemea hili kuliko mnavyonichukia 4. Kuanzia leo jitihada za haraka zitafanywa na Mwili kuletwa upesi 5. Uzi huu utakuwa ni Fundisho kwa Wamama Wengine 6. Najiona ni Mshindi wa Vita hii...
  3. JamiiForums Tanzania MAJIBU YA DV LOTTERY NI KESHO.

    Kwa wale mlio tuma maombi ya green card, majibu huwa yanatoka kila jumamosi ya kwanza ya mwezi wa tano ambayo ni kesho. Karibuni U.S.A the land of opportunities. Kila la kheri kwa mli apply.
  4. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  5. JamiiForums Tanzania Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

    Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika Tuliza kicha tafakari hili swali Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya...
  6. JamiiForums Tanzania Una majibu ya kukera sana we baba kama sura yako

    Wakuu, Kwanza nilishtuka, na kisha nikajitafakari kidogo then nikaona nikinyamaza itakuwa njema. Nimuite dada, mama, binti ambae ni mwenyeji wa kitambo mbali hapa kwetu. Ghafla bila hiyana akanambia nimekuwa na majibu (comments) ya/za kukera, lugha mbaya zenye kukwaza. Nimekuwa mzee mkorofi...
  7. JamiiForums Tanzania Bupe Mwakang'ata: Ni lini Serikali itaanza ujenzi wa barabara ya kutoka Mloo - Kilimatundu - Ilemba - Mtowisa - Majimoto?

    BUPE MWAKANG'ATA - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa na Mwanzilishi wa Bupe Foundation, Mhe. Bupe Mwakang'ata ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo kwa niaba ya Waziri lilijibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Mhandisi Godfrey Kasekenya "Ni lini...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi - Maswali na Majibu Bungeni

    NANCY HASSAN NYALUSI - AMEIULIZA MASWALI WIZARA YA NISHATI, BUNGENI, DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Hassan Nyalusi amemuuliza swali Waziri wa Nishati Bungeni, Dodoma leo tarehe 11 Aprili, 2023 Je, ni lini Serikali itakamilisha usambazaji wa umeme katika Vijiji 8 vya...
  9. JamiiForums Tanzania Mama akipiga utrasound ni majibu gani anatakiwa aambiwe?

    Wajuzi wa mambo naombeni majibu, Umri wa mtoto, jinsia au?
  10. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Hotuba ya Kassimu Majaliwa haina majibu kwa changamoto za wananchi

    Hoja saba (7) za Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo Ndg. Dorothy Manka Semu kufuatia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Mapitio ya kazi na mwelekeo wa Serikali na makadirio ya matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2023/2024. Utangulizi Juzi Jumatano tarehe 05 April 2023 Waziri Mkuu aliwasilisha...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  12. JamiiForums Tanzania Haya ndio maswali yangu machache yaliyokosa majibu. Je, wewe unaweza kunijibu?

    Vipi hali zenu ndugu zangu? Nimekuwa na maswali kadhaa akilini kwangu, lakini kila nikijaribu kuwauliza wana historia wanashindwa kunipa majibu yanayoeleweka. Anyway ngoja niyalete hapa huenda watapatikana wenye majibu yanayoeleweka. Kwanza kabla ya kuendelea naomba niseme kwamba mada yangu...
  13. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Marburg ni nini? Majibu sahihi haya hapa

    Marburg ni nini? Kwa mujibu wa WHO, virusi vya marburg ambavyo ni sawa na virusi hatari vya Ebola, viligunduliwa kwa mara ya kwanza baada ya watu 29 kuambukizwa na saba kati yao kufariki dunia mwaka 1967 huko Marburg na Frankfurt, Ujerumani pamoja na Belgrade huko Serbia. Hata hivyo, WHO...
  14. JamiiForums Tanzania Majibu Kwanini Wasanii Wetu Hawaitwi Kwenye Steji Kubwa Duniani

    Naandika huu uzi baada ya kumsoma kamikaze kwenye uzi wake: Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, Nini tunajifunza! If anything wasanii wabongo inabidi walalamikie ufinyu wa watanzania wengine nje ya nchi hususani in the boardrooms. Nigerians wapo wengi ndani na nje ya nchi yao. Unaposikia...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Mahawara wengi uliowazuia Kukupigia Simu Usiku ukiwa na Mkeo wakipiga na ukiwahoji wanakupa majibu yafuatayo?

    Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea. Ni kwanini...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Je, maswali haya yana majibu?

    Habarini ndugu wananchi wa jamii forum Mwenye maswali ya haya majibu km anaweza tusaidia Nimekuwa nikijiuliza sana ●Je? ni muda gani muda ulianzishwa ●Nini kilianza muda au dunia? ●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa? ●Tunajifunze vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?
  17. JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

    Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima? Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko? Tupe majibu watanzania
  20. JamiiForums Tanzania Naomba majibu ya maswali haya

    Qn 1: Ni miradi ipi inayoendeshwa kwa tozo na ipi ni uwekezaji, ufadhili au mkopo?🤔 Qn2: Hapo kabla inasemekana nchi ilikuwa imefungwa (utawala wa hayati JPM) lakini bado hakukuwa na tozo na mfumko wa bei ulidhibitiwa, je kwa sasa ambapo nchi imefunguliwa kwanini watu wakatwe kodi na tozo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…