maji

  1. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Taifa kutimiza miaka 60 ya uhuru wake, linahangaika kuwatafutia wananchi umeme na maji

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kama Taifa tunakwamia wapi? Hivi Tanzania ya leo, ndiyo ihangaike kuwatafutia wananchi wake umeme na maji, baada ya kujitawala toka kwa mkoloni miaka 60 iliyopita? Nchi iliyojaa rasilimali tele, kama vile mito inayotiririka maji mwaka mzima, maziwa matatu makubwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa ITV na Radio One Farhia Middle umepewa Shilingi ngapi kwa Sifa ulizompa leo Waziri wa Maji Aweso?

    Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
  3. JamiiForums Tanzania Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

    Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland. Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru bado kuna Mgao wa Maji

    Yaani miaka 60 ya uhuru nchi inaingia kwenye mgao wa maji!! Tena mgao maji yanapatikana siku moja kwa wiki Bado kuna watu wanajiona eti wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii. Siku hizi sasa wamechanganyikiwa na kuanza kuvuana nguo hadharani. Mmoja anaweka jiwe la msingi kujenga...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Uganda na Egypt hawana mgao wa umeme na wanategemea maji kuzalisha umeme?

    Nafikiri kama huu mgao wa umeme ni kweli unasababishwa na vyanzo vya maji kukauka na kupunguza uwezo wa uzalishaji umeme, inabidi kwenda kujifunza kwa wenzetu wanawezaje. Uganda na Egypt ni nchi ambazo zinategemea kuzalisha umeme kwa hydropower. Wao wanawezaje pamoja na mabadiliko ya tabia...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

    Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500. Ziwa Victoria linaingia kwenye ziwa Tanganyika karibu mara nane. Ziwa Tanganyika lina asilimia 18.9...
  8. JamiiForums Tanzania Unapigania Haki za Wanawake huku ukiwakatia Maji na Umeme

    Hakuna watu wanaoteseka na ukosefu wa maji na umeme kama Wanawake, wao ndio wanaohangaika visimani na ndoo kutwa nzima kutafuta maji kwa sababu wewe unayesimama jukwaani na kusema unawapigania umewakatia maji, sielewi hapa ni haki ipi hiyo ya Mwanamke unayoipigania ? Hivi haya mambo huwa...
  9. JamiiForums Tanzania Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Maji: Utawala corrupt unatuletea shida, Mchina akamatwa akichepusha maji mto Ruvu kumwagilia mboga

    Nataka niongee kwa hasira kali na leo Mod naomba mnivumilie lugha yangu. Hapa bongo kuna mambo ya kikhanithi yanaendelea sana na matokeo yake wananchi tunapata shida kwa sababu ya ukhanithi wa watu wachache. Leo Nipashe wametoa taarifa kuwa kuna mchina amekamatwa anachepusha maji ya mto ruvu...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Noti za Tanzania zibadilihswe, tumezichoka

    Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha. Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.zania Zinahitajika kubadilishwa
  12. JamiiForums Tanzania Mamilioni wakabiliwa na uhaba wa chakula nchini Somalia

    Zaidi ya watu Milioni 2 Nchini Somalia wanakabiliwa na uhaba wa Chakula na Maji kutokana na hali mbaya ya ukame, ikielezwa Vyanzo vya Maji vinakauka. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) takriban watu 100,000 wamekimbia makazi yao kutafuta Chakula, Maji na malisho kwa ajili ya mifugo yao. UN...
  13. JamiiForums Tanzania Waisilamu changamkieni fursa kipindi hiki cha uhaba wa maji

    Thawabu Za Kutoa Maji Katika Uislamu: Sababu Saba Za Kujenga Kisima cha BURE Maji ni neema kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt) ambayo mara nyingi tunaichukulia kawaida, lakini wakati wa ukame, kupitia rehema za Mwenyezi Mungu, tunazidi kufahamu shida zinazowakabili wale wasio na maji salama...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

    Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko. Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo. Leo Rais Samia, Makamu wa Rais na makundi yake yote hawawezi kukwepa mdororo huu wa maji na umeme. Tumerudi mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Kama uzalishaji umeme umepungua kwa 21%, je, maji yamepungua kiasi gani?

    Kama Tanzania inazalisha umeme kwa 65% gesi na kwa 35% maji, hivyo jumla ni 100%. Na ghalfla Tanesco akasema uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa kiwango cha maji; Je, maji kwenye mabwawa yamepungua kwa asilimia ngapi? Nitatoa jibu baadae kidogo TANESCO...
  16. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa maji kumenisabisha kujisaidia haja kubwa mbali na ofisi

    Kwa kweli kuna kipindi tulikuwa na maisha mazuri mpaka tukasahau matenki ya maji. Sasa wale tuliopo na ofisi ambazo vyoo vyetu vya kuflash na plan za ofisi swala la tank la maji hakuna. Kila mwanadamu lazima kutoa taka mwili. Nipo ofisini mara nasikia hali si nzuri, kwenda chooni hakuna maji...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Pesa za Sherehe za Uhuru 9 Disemba, 2021 zisitishwe na Pesa zielekezwe katika Changamoto za Umeme na Maji nchini

    Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
  18. JamiiForums Tanzania Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

    Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam. Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao 1. William Lukuvi Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
  20. JamiiForums Tanzania Safari ya Egypt kwa Mkandarasi mkuu, mgao wa ajabu wa umeme na maji

    Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia. Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…