Kukosekana kwa maji kumenisabisha kujisaidia haja kubwa mbali na ofisi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Kwa kweli kuna kipindi tulikuwa na maisha mazuri mpaka tukasahau matenki ya maji.

Sasa wale tuliopo na ofisi ambazo vyoo vyetu vya kuflash na plan za ofisi swala la tank la maji hakuna.

Kila mwanadamu lazima kutoa taka mwili. Nipo ofisini mara nasikia hali si nzuri, kwenda chooni hakuna maji na ningetumia ukatili bila maji lazima ningejulikana kuwa mimi ndio nimeingia. Ikabidi niwashe gari kwenda nyumbani kwa sababu ofisi na nyumbani si mbali kama dakika 12.

Kilichonisaidia zaidi ya hapo ningeharibu CV ya choo cha ofisi na CV za taka taka zote wangeziona
 
Wanasema kipindi hicho injii ilikuwa chini ya chizcom ndo ilikuwa zamu yao kuumia ila machizcom mlienjoy Sana sana mpaka wakawa wanawatamani!

Injii kwa Sasa wanayo wao, ni muda wa machizcom kuita maji mmma, Dunia imegeuka
 
Kumbe una gari? Hongera. Mimi huwa naenda kujisaidia Kempiski, Serena Hotel au Holiday inn acha ubahili mkuu.
Haaaaa dah halafu kiulaini sana, wakuu ukiwa mjini we ingia kwenye hizi hoteli kubwa unajisaidia fresh tu mradi ujiamini unakwenda restaurant, kuna vyoo jirani na restaurants za hoteli kama ni mgeni unauliza "toilet Please" fastr unaonyeshwa.

Sharti ni kuwa smart na kujiamini
 
Ipo ivo Mkuu

Yaani kusema gari imekua big issue

Izi ni tabia za malumbukeni wa akili
Mbona mnakuwa wakali!!!
mjini kuna magari mangapi road!!?
mpaka muone jamaa kuwa na gari ni bonge la issue!!
ama anajikweza!?
nyie jamaa mna dhiki sana
 
haaaaa dah halafu kiulaini sana, wakuu ukiwa mjini we ingia kwenye hizi hoteli kubwa unajisaidia fresh tu mradi ujiamini unakwenda restaurant ,kuna vyoo jirani na restaurants za hoteli kama ni mgeni unauliza "toilet Please" fastr unaonyeshwa.
Sharti ni kuwa smart na kujiamini
Sasa mimi nagonga suti langu nani ataniuliza?

Ukienda umevaa kihunihuni itakula kwako utaletewa billi ya kunya lakimbili..
 
Ndio maana napiga maji mengi.
Mkuu maji yote yanaishia kwenye large intestine, mzigo unashuka kwenye descending colon na kutua kwenye sigmoid colon na kugonga kwenye rectum hakuna maji huko ndo mana ukishusha mzigo huoni maji. Ukikaa mda mrefu lazima uwe mgumu tu eneo hilo maji Yanakuwa yameshanyonywa na large intestine utakojoa sana hayafiki kwenye mavi unajidanganya tu.
 
Back
Top Bottom