maji

  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

    Tuweke mzigo mezani Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma: BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU NA KUTEKETEZA SAMAKI MTO MARA Jitihada zimefanyika ili kujua...
  2. JamiiForums Tanzania DAWASA Kibaha wanabambikia watu bili za maji, mamlaka waangalie kuna kitu huku

    Kuna huu mchongo ambao unaendelea Kibaha japo kuna washkaji zangu nilizungumza nao wanadai kuwa siyo Kibaha peke yake bali maeneo mengi. Inadaiwa kuwa wana mchezo wa kubambikia watu bili za maji. Inashangaza kidogo kwa kuwa malipo unalipia online, waoa wanafaidikaje hapo au ni uzembe wao tu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Maji iende mbali zaidi kwani miji mingi tunauziwa Maji kwa bei kubwa

    Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme. Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
  4. JamiiForums Tanzania Abiria wakwama Kilosa, Morogoro, ni baada ya reli na daraja kusombwa na maji

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha madhara kwa kuharibu miundombinu ya reli ya kati na barabara ambapo daraja la Kidete Wilaya ya Kilosa limekatika na kusababisha treni kusimamisha safari zake. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Majid Mwanga amefika eneo la tukio na...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa sana kuiba umeme wa TANESCO kuliko maji ya DAWASCO?

    Hivi kinachofanya watu waogope kiasi hiki kuiba umeme ni nini hasa? Mbona mitaani wanakata mabomba ya maji na ku-bypass bila uwoga?
  6. JamiiForums Tanzania Kigamboni: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri

    Taarifa kwa wanaotumia vivuko kuelekea na kutoka Kigamboni jijini Dar es Salaam: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri.
  7. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Maporomoko ya Maji Yanayofanana na Damu

    Kwenye Bara la Antarctica kuna sehemu inaitwa Victoria ambapo kuna maporomoko maarufu yaliyopewa jina la ‘blood falls’ au kwa Kiswahili maporomoko ya damu, ambapo maji yanandondoka umbali unaoweza kufananishwana na urefu wa ghorofa tano, yakiwa na rangi kama damu na kuingia kwenye Ziwa Bonney...
  8. JamiiForums Tanzania Kichanga chatupwa kwenye kisima cha maji, Jeshi la Zimamoto lasaidia mwili kupatikana

    Mwili wa kichanga umeopolewa na Kikosi cha Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Geita kwa kushirikiana na wananchi baada ya kutupwa ndani ya kisima cha maji Mtaa wa Mkolani. Afisa wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Mkoa wa Geita Emmanuel Lutta amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunanyimwa haki ya kupata mlo wa mchana na maji kwa miezi mitano sasa

    Mhe. Mbowe amenyoosha MKONO na kumwaleza Mhe. Jaji kwamba Wana miezi mitano bila kula chakula cha Mchana kwa maana nyingine kauli Hii inaonyesha watuhumiwa hawa wamekuwa wakishinda na kulala bila kula Kwa siku zote wanazoletwa mahakani huku mahakama ikishindwa japo kupitisha mchana bila kula "...
  10. JamiiForums Tanzania Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

    NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔ Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !; Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka...
  11. JamiiForums Tanzania Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

    Habari wakuu, Mwishoni mwa mwaka 1998 na mwanzoni mwa miaka 2000 kuna wanajeshi walienda nchini China kuchukua mafunzo ya ngazi Fulani. Baada ya muda Fulani walirejea nchini, walirudi na vitu mbalimbali ikiwemo zawadi, mmoja kati ya wanajeshi hao ambaye tulikuwa na undugu nae, alirudi na mmea...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa Serikali maji si biashara, ni huduma

    Akiwa katika uwekaji Jiwe la Msingi Mradi wa Miundombinu ya Kusafisha na Kutibu Maji Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara amesema, "Kwa Serikali ndoo moja ya maji ya lita 20 inauzwa kwa Tsh. 37. Wananchi mnaonunua maji ni mashahidi dumu moja la lita 20 mnanunua Tsh. 1,000 na kwenda mbele" Rais Samia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuanza kuanza biashara ya maji ya kunywa

    Wadau nimenunua mitambo ya kuanza kuzalisha maji ya kunywa (used), nimepanga kuanza kutengeneza maji ya kunywa na kuyauza. Nahitaji wadau wabobezi wanishauri hatua za kuanza biashara hii, pia kwa kwa walioko Dar es Saalam nauliza wapi wanauza chupa za kuwekea maji kwa anaye jua anijuze...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nyambizi za Urusi zenye makombora ya nyuklia zapelekwa kwenye eneo la maji karibu na Marekani

    Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na eneo la Marekani. Lengo la nyambizi hizo ni kujibu hatua yoyote Marekani atakayochukua dhidi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Moshi Masama: Shule ya kiislam na mashamba ya wazungu yadaiwa kuuziwa maji ya wananchi, wananchi hawana maji kwa miaka 8

    Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Seal za vizibo vya chupa za maji zinachafua mazingira. Je, karanga na pipi hazichafui?

    Ukubwa wa seal za vizibo vya chupa za maji hauna tofauti na ukubwa wa vifungashio vya karanga na pipi. Seal za vizibo vya chupa za maji zilikuwa ni uhakika kwa mtumiaji kuwa maji hayajachakachuliwa Unapozuia maji kuwekewa seal una maana gani? Maji fake yaingie mitaani?
  18. JamiiForums Tanzania Hali ya Maji Dar es Salaam sio nzuri, hayatoki

    Kwa mwendo tunaokwenda muda sio mrefu kipindupindu kikarudi. Kwa mara nyingine maji Dar es Salaam ni shida. Wauza maji wenyewe wanayatafuta hawayapati. Sijui viongozi wanalichukuliaje hili huku hakuna hata taarifa kwa umma.
  19. JamiiForums Tanzania Mafundi hapa mfumo wa maji safi na machafu umepitia wapi?

  20. JamiiForums Tanzania Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya. Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha. Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…