maji

  1. JamiiForums Tanzania Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yapambana na Covid kwa maji ya chumvi na tangawizi

    Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi. Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake kujaribu kujikinga na janga hili. Uongozi wake hadi sasa umekataa msaada wa matibabu kutoka nje...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna ndugu wengine wakija kwako ni changamoto sana

    Kule chooni unapomaliza shughuli zako, huwa kuna zoezi la kuflashi ama kumwaga maji ili choo kiende, ila amini usiamini kuna choo hata uki flashi mara ngapi kitaibuka tu, hakunaaga utofauti na aina ya watu hawa. - Kuamka saa tatu ama nne asubuhi. - Muda mwingi ni kuchati, kupeleka playstation...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  6. JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Wananchi wayatumbukiza kwenye maji, wayachoma magari ya kifahari ya wanasiasa kisa ugumu wa maisha

    Wakati maandamano yakiendelea Nchini Sri Lanka inadaiwa kuwa hivi ndivyo baadhi ya wananchi walivyoamua kushusha hasira zao kwa familia ya Rajapaksa ambayo inatawala nchini humo. Wameamua kuyachoma na kuyatupa ndani yam aji magari ya kifahari ya wanasiasa hasa kutoka familia hiyo Watoto na...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji yaomba Bajeti ya Tsh. 709,361,607,000

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameomba Bunge kuidhinisha Fedha hizo kwa Mwaka 2022/23 ambapo Matumizi ya Kawaida ni Tsh. 51,462,269,000 Akiwasilisha Hoja yake Bungeni Waziri Aweso amesema "Jumla ya Bajeti ya Maendeleo ni Tsh. 657,899,338,000. Kati ya hizo, Tsh. 407,064,860,000 ni Fedha za Ndani na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi walishawapuuza. Mnatwanga maji kwenye kinu kufanya usanii wa kiaiasa. Ninyi ni matapeli wa kisiasa mlishashutukiwa

    Mbowe ni kibaraka wa CCM na watu walishampuuza kabisa. Wananchi sasa wapo serious kupambana na maisha magumu hivyo hawataki usanii wa kipuuzi juu ya hatima maisha yao. Kujifanya wajanja ili muchezee akili za wananchi wao walishashutuka ipo siku mtapigwa mawe hadharani. Huu sio wakati wa Mbowe...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kweli maji yanayotembea yanatakasa?

    Hizi ni Habari za muda mrefu nimekuwa nikisikia kwamba maji yoyote yale yawe ya bahari au mto unaotembea hutakasa mwili Je wajuzi wa mambo kuna ukweli wowote katika hili?
  10. JamiiForums Tanzania umewahi kusahau kuwasha ama kuzima pasi, jiko, hita ya maji, rice cooker. n.k na ukaondoka... nini ulikikuta uliporudi ?

    1. kusahau kuwasha kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Rorya: Watu watano wafariki dunia baada ya mtumbwi kuzama

    Wapendwa Habari za uzima? Nimepokea taarifa kutoka Mkoani Mara wilaya ya Rorya kata ya kowaki mtaa wa Labuor kwamba watu watano(5) wamesombwa na maji. Kati ya hao wa 5, 3 ni wana wa kike( wanawake) na wawili(2)ni watoto. Walikua wanavuka kutoka upande mmoja wa mto mori kwenda kwa ibada siku...
  12. JamiiForums Tanzania Igunga: Karatasi zinapotumika mbadala wa maji chooni

    Ni bomu kubwa linalotengenezwa linasubiri kulipuka na siku likilipuka litaacha madhara makubwa. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kinachoendelea katika shule ya msingi Mwanzugi iliyopo wilayani hapa mkoani Tabora. Shule hii iliyo umbali wa kilomita 10 kutoka makao makuu ya halmashauri ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hofu ya maji yenye sumu tena yatanda mkoani Mara

    Jipatie nakala yako
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji WaterGuard ya maji

    Wakuu nina shida na waterguard zimeadimika sana. Nahitaji ile ya maji. Kila nikitafuta naona ya vidonge pekee. Mwenye nazo au kujua wanapoziuza aniandikie hapa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

    Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya upatikanaji Maji Dar es Salaam ni shida. DAWASA iwajibike

    Ndugu Waziri wa maji, Hali ya upatikanaji maji katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Dar imekuwa ni shida. Majuzi DAWASA walitoa taarifa kuwa maji yangekatika kwa siku moja kupisha matengenezo, lakini leo tunakwenda siku ya tano hakuna maji, hivi mnataka sisi tuishije? Wakati mwingine muwe...
  17. JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

    UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
  18. JamiiForums Tanzania Wakulima:Njia ya Asili kujua wapi uchimbe Kisima Cha maji....

    Kuna maeneo yana maji mengi sana kiasi kwamba ukichimba kidogo tu unakutana na maji hasa ukanda wetu huu wa pwani..Vyuma vimekaza jamani wakulima tusaidiane huko kwenye mashamba yetu tuanzishe hata vibustani vya mbogamboga. Kwani kabla ya kuja hizi mashine za milioni 20 watu walikuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni Mvua ya Babu tumuombeni aipunguze, ila kama ni ya Mungu basi Magodoro ya Kunyonya Maji kwa Mkapa Kesho yatayarishwe

    Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu. Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…