maji

  1. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza dagaa nyama na wengineo

    Wadau habari za leo ! Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao: 1. Dagaa nyama, 2. Dagaa wakavu/Lukumbu, 3. Lumbunga , na 4. Ng`onda pia wapo. -Mauzo ni kwa jumla, -Bei ni poa, -Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushahidi unaonyesha daraja lilipigwa na drone ya kwenye maji, sio kama ambavyo Putin analalamika

    Putin analalamika akisema Ukraine walitumia lori kulipua daraja lake Crimea, ila wataalam wanaokagua video za uharibifu huo wanasema lilipua pigo la drone inayosafiria kwenye maji.... Russian officials named a 25-year old Krasnodar man, Samir Yusubov, as the owner of the truck, and said an...
  3. JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu 76 wafa maji baada ya mashua kuzama

    Maafa hayo yametokea katika Jimbo la Anambra katika boti iliyokuwa imebeba watu 85 kutoka Onukwu kuelekea Nkwo Ogbakuba. Watu hao walikuwa wanahama kutokana na ongezeko la maji maeneo yao yanayotokana na mafuriko ambayo pia inadaiwa yamechangia watu wengine watatu hawajulikani walipo katika...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya kishenzi, mtu anapoomba mchange ili mpate huduma ya maji au umeme mnamwacha peke yake ila akishapambana mnakuwa wa kwanza kujaza fomu

    tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme. Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maji ya kujaza Bwawa la Nyerere yatatoka wapi?

    Tanesco wametutaarifu kuwa vyanzo vyote vya mabwawa yanayofua umeme yamepatwa na upungufu wa maji na hivyo uwezo wa kuzalisha umeme ni mdogo. Consequently jana tulikuwa hatuna umeme (total blackout) kuanzia saa 4 usiku hadi saa 2 asubuhi ya leo. Sasa hizo hela kwanini tunaziharibu na kuharibu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aibua shangwe wananchi pembezoni vyanzo vya maji Mbinga; aagiza usanifu wa mradi kuanza

    AWESO AIBUA SHANGWE WANANCHI PEMBEZONI VYANZO VYA MAJI MBINGA; AAGIZA USANIFU WA MRADI KUANZA MBINGA-RUVUMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso amekagua na kuzindua shughuli za uhifadhi wa vyanzo cha maji vya Lupembe A, B, C, na D ambavyo ni tegemeo kwa usambazaji maji Safi kwa mji wa Mbinga...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumaliza changamoto ya huduma ya maji mjini Mtwara

    RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo wa usambazaji wa maji ambao ni chakavu na kuweka mpya. Hatua hiyo itataua kero ya upatikanaji wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge na Wizara ya maji kazi mpaka usiku kushuhudia jitihada za upatikanaji maji Dodoma

    KAMATI YA BUNGE NA WIZARA YA MAJI KAZI MPAKA USIKU KUSHUHUDIA JITIHADA ZA UPATIKANAJI MAJI DODOMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso na timu ya Wizara ya Maji pamoja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wameshuhudia...
  10. JamiiForums Tanzania DAWASA: Matengenezo ya bomba la Maji yanaendelea, huduma kurejea baada ya kumaliza

    DAWASA YAWAHAKIKISHIA WAKAZI HUDUMA BAADA YA MATENGENEZO Na Crispin Gerald Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa Ruvu chini kuwa huduma ya maji itarejea ndani ya muda uliopangwa kufuatia matengenezo ya bomba kubwa la inch 54...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini kitunguu maji kinamaliza makali ya visu?

    Hamjambo wapenzi wenzangu wa misosi? Binafsi mimi ni mpenzi mno wa chakula yani napenda sana kula chakula kizuri, kisafi, kitamu, ambavyo vinajenga mwili na akili kama sote tujuavyo dhamira kuu ya chakula mwili.. Nimekua nikijiuliza sana kwa nini visu vyangu kila nikikatia vitunguu geto...
  12. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar watadharishwa kukosa huduma ya Maji Septemba 23

    TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU CHINI 20.9.2022 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa Mtambo utazimwa siku ya ijumaa tarehe 23/9/2022 kuanzia...
  13. JamiiForums Tanzania Asafiri Tabora Hadi Mbeya kunywa maji kikombe kimoja na kurudi Tabora kesho yake

    BASI LEO NIWA FURAHISHE WAKAGUZI WA FACEBOOK MAANA NIMECHOKA NA TABIA YAO YA KUNYAMAZISHA POST ZANGU😀😀. Mimi na mpenzi wangu tulikuwa tuna wasiliana kwa video call kwenye whatsapp jana aliniambia kuwa ana hamu ya kuniona ana kwa ana Kwamba ananihitaji sana niwepo kando yake. “nili muliza vipi...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Miti na Vyanzo vya maji nawaomba hapa

    JF isiwe ya stori tu jamani, tuje hapa kwenye majadiliano ya muhimu. Naulizia aina ya miti ambayo inakua kwa haraka huku pia inasaidia kutunza vyanzo vya maji kama chemchemi na visima. Tafadhali kama unafahamu niwekee hapo chini.
  15. JamiiForums Tanzania Aliyezusha kuwa Samaki wa Ziwa Victoria wanahifadhiwa kwa maji ya Maiti akamatwe ashtakiwe, ni mchochezi

    Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie. Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya. Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Abdallah Ulega: Madai ya Samaki kuhifadhiwa kwa maji ya maiti ni hisia tu

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kuhifadhia Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu. Akijibu swali Bungeni kuhusu taarifa hizo ambapo inadaiwa matumizi ya maji hayo yanasababisha Saratani kwa walaji, amesema “Siyo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022

    Bungeni Dodoma Leo tarehe 15 Agosti, 2022 Bunge la limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022 (The Water Resources Management Act, 2022). Kupitishwa kwa sheria hii kutaimarisha Bodi za mabonde ya Maji katika kusimamia Rasilimali za Maji...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji Butimba kukamilika December mwaka huu badala ya februari 2023

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la msingi Mradi wa chanzo cha Maji Butimba Ujenzi wenye kiasi cha Shilling Bilion 69.3. Katika hatua nyingine ametembelea Mradi huo na kuzungumza na wananchi pamoja na Wafanyakazi katika eneo la...
  19. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maji ya ziwa Viktoria

    Ufugaji wa Samaki aina ya sato kwa mikoa ya Shinyanaga na Tabora ni ukombozi mkubwa sana kutokana na mradi wa maji toka ZIWA victoria,mradi huu unaweza kuwa Msaada mkubwa sana hasa kwa vijana ukizingatia changamoto za ajira nchini zinavyoshika kasi. Vijana wa Shinyanaga na Tabora tutumie maji...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…