maji

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tank la Maji used

    Nahitaji used simtank la maji lita 10,0000 Angalizo Liwe bado zima Iwe Dodoma
  2. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam lakubwa na uhaba was Maji.

    Ni mawiki Sasa mji mzima sehem za milima milima maji hakuna. Hakuna kwenda toilets. Yaani ni mwendo wa kunawa. Tunakoelekea watu watafunga. Alichosema mh waziri wa tamisemi ni sawa kabisa viongoz wanajifungia maofisini
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajaribu kuzima moto wa petrol kwa maji

    Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka. Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Dawasco Kibaha Maili Moja, maji hakuna mwezi. Wanasema mpigie Aweso

    Tuna mwezi wakazi wa Mwanarugali hatujapata maji, hakuna majibu mazuri kutoka DAWASCO, wanasema tumpigoe aweso. Nawakumbusha wafanyakazi tufanye kazi kama ambavyo tulivyo kuwa tuna iomba iyo kazi amina.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la maji Kibaha Mwanarugali mwezi mzima hayatoki, huduma kwa wateja wanasema tumpigie Waziri Aweso

    Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso aje! Kweli ndio tumefika huko? Tukumbuke wakati tunaomba kazi, Amina.
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Maji na Mkuu wa Mkoa tusaidieni Wakazi za Muriet (Arusha) turejeshewe huduma ya maji, mwezi wa pili huu tunateseka

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Agape, Kata ya Muriet Mkoani Arusha tuna changamoto ya kukosa maji kwa muda wa miezi miwili sasa. Licha ya kufanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka ya Maji (AUWSA) hatujapata majibu ya kueleweka, hali hiyo imekuwa ikisababisha kero kubwa kwa wakazi wengi wa Agape...
  7. JamiiForums Tanzania Dawasa Kibaha yarejesha huduma ya kuunganisha maji kwa wateja wapya

    Meneja wa DAWASA Kibaha, Alfa Ambokile amesema “Kila ofisi au taasisi inaweza kupitia kipindi fulani kigumu lakini huduma ya kuunganisha maji tayari imerejeshwa na hata leo hii (Agosti 28, 2023) tumehudumia wateja wapya wa kuunganishiwa maji. Tulisitisha kipindi cha ukame Mwaka jana (2022)...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso Amshukuru Rais Samia ukarabati Chuo cha Maji, atoa maagizo mazito

    Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia kutoa fedha na tayari Ukarabati wa Mabweni umekamilika na sasa kazi ya ujenzi wa Maktaba kubwa ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Wanakata maji bure wanaorejesha kwa kati ya 15,000 hadi 150,000 bila kutumia control number;

    Naungana na ACT wazalendo kwenye hoja yao waliyoelekeza kwa Waziri mwenye dhamana na masuala ya maji: wateja wanaolipia kuunganishiwa maji ni wengi lakini hakuna vifaa. Ukiuliza unaambiwa serikali haijatoa vifaa. Wateja wenye mifumo ya maji isiyotoa maji ni wengi na hakuna sababu za kwanini maji...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme na maji

    Nakaa chini najiuliza kila Mara haya mambo mawili yatakwisha lini nchini mwetu? Swala la umeme limekua sugu Sana huku Mwanza hazishiki siku mbili lazima mshinde masaa 12 Bila umeme na hii inachukuliwa kama sababu pia maji hayapatikani kabisa. Miaka 60 ya uhuru. Hivi nikwanini huu umeme Kama...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mradi wa maji Butimba wafikia 94%, utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15, 2023

    Mradi wa maji Butimba wafikia asilimia 94, kuongeza upatikanaji wa maji kutoka lita 90 hadi 138. Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Sh69 Bilioni unaojengwa eneo la Butimba jijini Mwanza umefikia asilimia 94 na utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15 mwaka huu. Waziri wa Maji, Jumaa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mitaro ya maji katika paa la flat roof

    Habari zenu wanajamvi. Nimefanikiwa kujenga nyumba ya flat roof, nyumba ina mitaro darini inayokinga maji ya mvua ila mitaro inaonekana kwa ndani kama mnavyoona ktk hii picha. Mtaro uko kulia (sebuleni) na kushoto (dining) . Dari haina muonekani mzuri, Naomba mawazo yenu juu ya design nzuri ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kero ya Maji Kandiya Haitanishinda - Mbunge Lekaita wa Kiteto

    KERO YA MAJI KANDIYA HAITANISHINDA - MBUNGE EDWARD LEKAITA Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amewaambia wananchi wa tawi la Kandiya Kitongoji cha Kona kuwa changamoto ya Maji waliyonayo haitamshinda kuitatua na ameahidi kushirikiana na RUWASA kutatua changamoto hiyo. Mbunge wa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji amtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Mhandisi Leonard Msenyele

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) leo tarehe 20 Agosti, 2023 amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Leonard Msenyele. Mhe. Aweso amechukua hatua hiyo kwa mamlaka aliyo nayo kupitia Sheria Namba 5 ya...
  15. JamiiForums Tanzania Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  16. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded DAWASA Kibaha Wamesitisha Huduma ya Kuunganisha Maji kwa Wateja wapya

    Habari za leo ndugu zangu? Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo. DAWASA Kibaha wanapokea maombi mapya, lakini hawatoi bili za malipo (control namba), wanadai wameishiwa vifaa. Wadau...
  17. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pasi za kutumia mvuke wa maji

    Hii ni pasi inayotumia mvuke wa maji. Ni rahisi sana kutumia kwani haiunguzi nguo hata ukiwa na haraka. Kwa wale wenye maduka ya nguo za mitumba hii itawafaa zaidi kwenye biashara zao ila inatumika kwa mtu yeyote mwenye uhitaji nayo. Ukihataji wasiliana nami kupitia namba 0675184274.
  18. JamiiForums Tanzania Mwauwasa (Mwanza): Tunazalisha maji Lita Milioni 90 kwa siku, mahitaji ni Lita Milioni 160

    Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif anafafanua: "Kwanza sio kweli kwamba hatutoi taarifa kwa wateja wetu kuhusu mgao, mamlaka imekuwa ikitoa taarifa kupitia njia mbalimbali kupitia mitandao yetu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji Mwanza: Mamlaka itengue uteuzi wa Mkurugenzi wa MWAUWASA

    Mhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba. Walitudanganya kuwa kulikuwa na uharibifu kwenye chanzo cha maji Capri Point na tatizo hili lingechukua miezi miwili tu kurekebishwa lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Visima 10 vya Maji Kuchimbwa Wilaya ya Kaliua

    VISIMA 10 VYA MAJI KUCHIMBWA WILAYA YA KALIUA, KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI Taarifa kutoka Ofisi ya Meneja RUWASA Wilaya ya Kaliua imethibitisha kuwa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora Imepokea Mitambo ya kuchimba Visima Kumi (10) ambavyo vitasaidia kumshusha Mama Ndoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…