maji

  1. Tupike pamoja chapati za maji, zenye mayai, maziwa, nazi na hamira kidogo.

    Leo Jumapili niliamka nikiwa nina hamu sana ya kula chapati za maji. Ila leo nikasema kwa kuwa nina muda wa kukaa jikoni, ngoja leo nijikumbushe enzi zangu. Mahitaji na viambaupishi: -Unga wa ngano nusu -Mayai ya kuku 3 -Maziwa ya maji nusu kikombe -Tui la nazi kikombe kimoja -machicha ya nazi...
  2. India yaikatia maji Pakistani. Pakistan yang’aka

    Mzozo kati ya mataifa hayo mawili yenye nguvu za nyuklia, India na Pakistan, unafikia kiwango kibaya sana baada ya India kuikatia maji ambayo ni mhimu sana katika nchi hiyo Naibu Waziri Mkuu wa Pakistan anatangaza: tunapinga kabisa uamuzi wa India wa kusitisha mkataba wa maji na sisi...
  3. Sheikh adai dini iko kinyume dhidi ya biashara ya kuuza maji.

  4. DOKEZO Maji machafu ya Machinjio ya Ng'ombe yanatutesa Wananchi wa Mbagala - Sabasaba

    Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu. Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada...
  5. KERO Responded Misugusugu Kibaha: Kiwanda cha kutengeneza pombe kinatiririsha maji machafu na kuzalisha harufu kali eneo lote linalozungukwa na Kiwanda

    Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi kinachoitwa Maranile Group Ltd kinachozalisha Pombe kali, kwani muda wote eneo zima la Mleleguo...
  6. KERO Maji machafu Stendi ya Mabasi Nyegezi - Mwanza yanahatarisha Afya za wasafiri

    NImeshangaa kusema ukweli, nilikua natoka kwenye pilikapilika zangu Mikoani, wakati nashuka Stendi kuu ya Mabasi ya Nyegezi nikakutana na harufu kali ambayo kimsingi haivumiliki. kugeuka kushoto kulika nikakuta maji machafu yatokanayo na kinyesi yanatitirika bila wasiwasi ndani ya stendi hiyo...
  7. K

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa maji msilikubali hili.

    Najua mko kwenye maandalizi ya kuitembelea wilaya ya Monduli,lakini kwa haya wanayofanyiwa wakaaji wa eneo la Mto wa Mbu (Kigongoni) si haki wala halal. 1. Watu wenu wanapewa maji kama msaada utadhani wapo jangwani. 2.Campsite nyingi kule ziwani zinatumia maji bila kufungiwa meter na hii ndo...
  8. Waziri Aweso aelekeza kufanyika utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji Dodoma Jiji

    Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Wizara ya Maji kuhakikisha wanaongeza nguvu ya utafiti wa kina wa maji katika Jiji la Dodoma ili kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. Waziri Aweso ameyasema hayo leo wakati akikagua miradi ya maji wa...
  9. L

    Furaha ya kusherekea Sikukuu ya Kumwagiana Maji ya Kabila la Wadai yarejesha kumbukumbu za utotoni

    China ni nchi yenye historia ndefu sana pia ikiwa imesheheni utamaduni wa aina mbalimbali. Sikukuu zote za jadi zinazofanyika huwa zinaakisi mila na desturi zake nyingi. Kwa wageni wanaoishi China kama mimi ama hata watalii wanaokuja kutoka nje, kusherehekea sikukuu hizi za jadi za China huwa ni...
  10. Waziri Aweso Aelekeza Kufanyika Utafiti wa Kina wa Upatikanaji wa Maji Dodoma Jiji

    WAZIRI AWESO AELEKEZA KUFANYIKA UTAFITI WA KINA WA UPATIKANAJI WA MAJI DODOMA JIJI ▪️Aagiza kuongezwa mitambo zaidi ya uchimbaji visima Dodoma Jiji ▪️Akagua miradi ya Maji eneo la Nala na Nkuhungu ▪️Miradi ya visima vinavyochimbwa kuzalisha maji lita 32m ▪️Hatua hizi kupunguza ukali wa mgao...
  11. M

    Miradi 6 ya maji yaanza kutumia umeme, wananchi wapata nafuu

    Meatu:Wakazi wa vijiji sita katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameanza kunufaika na huduma ya uhakika ya maji baada ya miradi ya maji iliyokuwa ikitumia nishati ya mafuta kubadilishwa na sasa kutumia nishati ya umeme. Mabadiliko hayo yameelezwa leo Aprili 16,2025 na Meneja wa Wakala wa Maji...
  12. Je, unajua? Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya mtu kufa na kufufuka na Yesu Kristo

    Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
  13. Wamemnyamazisha Lissu ameibuka Askofu Gwajima, Naona CCM wakitwanga maji kwenye kinu

    Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni. CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu. Kwa sasa namwona Askofu...
  14. KERO Responded Suala la chemba kutiririsha maji taka Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda - Kariakoo, Mamlaka husika zinachukulia poa?

    Kipindi hiki cha mvua hali sio shwari kwenye baadhi ya Mitaa ya Kariakoo, Watu tupo hatarini kupata magonjwa kutokana na chemba kadhaa kutiririsha maji kwenye maeneo ya karibu na biashara zetu sambamba na kwenye njia ambazo watu tunapita, hali hii inaleta kero kubwa. Mfano katika Mitaa ya...
  15. PreGE2025 Bilioni 13.5 zinatarajiwa kutekeleza mradi wa maji Sinya - Namanga

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda leo tarehe 14 April, 2025 ameshuhudia utiaji saini wa mradi mkubwa wa maji safi wa Sinya - Namanga wenye thamani ya shilingi bilioni 13.5 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Ildonyo, kata ya Sinya Wilaya ya Longido akisema hatua hiyo inaenda...
  16. PreGE2025 Mradi wa maji uliogharimu bilioni 3.10 unatajwa kunufaisha kata za Magugu na Mwada na wakazi zaidi ya 60,000

    Mradi wa maji wa Darakuta - Magugu - Mwada umetekelezwa kwa kutumia wataalamu wa ndani wa BAWASA (Force account) na kuwekwa jiwe la msingi Januari 25, 2022 na Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi huo ulianza kutekelezwa Sptemba 15, 2020 na kukamilika...
  17. Hivi inawezekana kufuga samaki kwenye Tanks za maji ?

    Ma expert, hivi hiyo inawezekana au mpka nichimbe kisima au bwawa ndio nifuge Nina tank la 5000L nimewaza nifuge samaki humu
  18. PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  19. PreGE2025 RUWASA yatatua changamoto ya maji Kwala, yakamilisha mradi uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4

    Mradi wa maji wa Kwala,uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4 na kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unakwenda kuwa mkombozi kuwaondolea changamoto ya ukosefu wa maji safi wakazi 6,407. Akizindua mradi huo mkubwa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025...
  20. M

    Ujenzi wa tenki la Maji la Hinduki,Maswa wafikia asilimia 90

    KAZI ya ujenzi wa tenki kubwa la kuhifadhi maji lenye uwezo wa kubeba lita milioni mbili linalojengwa katika kijiji cha Hinduki wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imefikia hatua ya asilimia 90, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi. Tenki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…