Kiungo wa Juventus, Paul Pogba anaweza kuikosa michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakayofanyika Nchini Qatar kutokana na kupata jeraha la goti alilopata katika mazoezi.
Pogba amesitisha kuwepo katika kambi ya timu hiyo kwa ajili ya kwenda kuona wataalam na kuna uwezekano wa kufanyiwa upasuaji...