SERIKALI imesema ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka 2023, imeonyesha nchi inapoteza Sh. trilioni tano hadi sita kila mwaka kutokana na upatikanaji hafifu wa huduma za maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati...