"Vijana kukosa ajira ni serikali kutokuamua kuchukua hatua. Uwepo wa ufisadi na ubadhirifu ni serikali kutokuamua kuwajibisha, wameamua kujilinda na kukaa kimya. Maisha yetu ni siasa, kila siku huwezi kujitenga na siasa.
Aristotle, mwanafalsafa mashuhuri anasema mwanadamu ni kiumbe cha kisiasa...