King of REACTIONS
JF-Expert Member
- Oct 6, 2026
- 455
- 615
Watu wanahangaika mtaani wasijue la kufanya. Watu wamesomea lakini hakuna ajira,
Watu wanatumikishwa kama wanyama, kwa kipato kwa ajili ya pango na chakula
Omba omba mtaani nao hawakatiki, ila pia barabara hiyo hiyo kuna watu wanakatiza na V8, sa unakaa kujiuliza kwanini kuna watu wana kufa wameacha majumba makubwa yasiyo na watu lakini kuna watu wana lala nje ya maduka vibarazani
Kwa nini tunaishi katika dunia isiyo na usawa?
Hii limekaaje ndugu zangu, kwa nini binadamu wana ego namna hii?
Yaani mtu anaishi kwa kujiangalia mwenyewe as if at aishi milele.
Hii imenifanya nifikirie sana..
Je tunavyo kwenda kanisani na kusema kumpenda jirani yako kama unavyojipenda wewe inamaana gani?
Kwanini hakuna usawa duniani?
Je, ni nini mawazo yenu wanajukwaa?