maisha

  1. Philo_Sofia

    JamiiForums Tanzania Maisha sio muhimu na bora kama uzima

    Maisha ni mambo yote tunayofanya. Ni shughuli zote za uchumi na utafutaji wa fedha na mali, na kadhalika. Haya yote ni muhimu, na ni ya lazima kwa ukuaji na maendeleo ya mtu. Lazima watu wafanye kazi, wazalishe, watengeneze na wauze. Wakabiliane na matatizo na changamoto. Waijenge dunia na...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maisha ni mafupi sana. Fanya yote yakufurahishayo ikiwa tu huvunji sheria za Mungu wala za nchi

    Wakuu kwema! Sisi Watibeli tunajua kabisa miaka 100 ni michache mno. Alafu fikiria karibu asilimia 95% hatutafikia umri huo. Na hao watakaofika watakiona cha moto. Maisha ni mafupi ndio maana Watibeli siku zote tunafurahi. Kwetu Furaha ni kuishi kwa amani na Watu wote. Hatuweki vinyongo wala...
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania CCM class of 2015 (Wagombea Urais) tumepoteza top 3 yote

    Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe. Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza HAMAS waonekana kujali maisha ya Wapalestina, waomba Rafah isivamiwe

    Mpaka sasa HAMAS wameshaelewa muziki wa Myahudi, kwamba Myahudi ni katili, hajali hata ukijificha nyuma ya akina mama na watoto, anafyatua tu, walijaribu hizo mbinu aisei Wayahudi wakawa wanapiga tu hadi ikaleta ukakasi, na hata makelele ya sijui ICJ au Afrika Kusini au hata Waarabu hayakufanya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania MaIsha ya dar vs mikoani

    Kwema wakuu, Hasa kwetu sisi vijana ambao bado tunatafuta, we unaona wapi bora kati ya dar es salaam na mikoani. Karibu
  6. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukishazoea kushi na mwanamke ni ngumu sana kumudu maisha ya Ubachela

    Natumia nguvu nyingi sana nisimoigie yule mwanamke ila sijui kama ntafanikiwa, Upweke ni jambo gumu sana
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria atishiwa maisha

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast. Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini...
  8. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Mungu si mnyimi, stori ya Emma Kok inasikitisha lakini inafariji na kufurahisha pia

    Anaitwa EMMA KOK, Binti wa miaka 16 tu. Usipoambiwa anayoyapitia Kiafya utadhani ni binti asiekuwa na shida yoyote kimuonekano. Hatahivyo uhalisia ni kuwa binti huyu anao mzigo mkubwa, changamoto anayoipitia. Inasikitisha, inahuzunisha lakini ukiisoma Historia yake na anayoyafanya pasi na shaka...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utafiti wa TASAF kuhusu maisha ya Watanzania

    Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana ! Kailoga bila huruma kabisa !
  10. Clear37

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii imekuunganisha na watu gani muhimu waliobadili maisha yako?

    Habari Zenu wadau, natumai mnaendelea kukaza na life popote mlipo. Swali langu ni Moja tu Tangu umeanza kuijua na kuitumia mitandao ya kijamii imekusaidia vipi kuunganisha na watu waliobadili maisha yako?. Natamani kujua waliofanikiwa kupitia mitandao ya kijamii. Sababu watu wa kada zote na...
  11. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Changamoto ni sehemu ya maisha, bila changamoto hakuna radha ya maisha

    Wakuu habari za uzima? Najua wengi tulishapitia katika hali fulani kwenye maisha tukaona kwamba hatuwezi kuendelea na hapo ndio mwisho wetu. Watu wengi wakiwa kwenye maumivu huwa wanachelewa kuchukua hatua muhimu za maisha. Unakuta sababu ya maumivu anakuwa ameganda na hafanyi chochote, yaani...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Unajua ni kwanini zamani inasemekana kulikuwa na watu wengi wenye akili?unajua kwanini vijana maisha ni magumu?

    Kila zama na nabii wake,walikuwepo wakina adamu,nuh na akina ibrahimu wote walikuja wakati ambao dunia haimtambui mungu na ujio wao ulikuwa ni wenye lengo la kutambulika kwa nguvu kuu yenye mamlaka dhidi ya nguvu zote,katika zama hizi habari zilikuwa hazina ukubwa kiasi cha kusambaa kila eneo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Binti mrembo pisi kali, kwao maisha mazuri lakini ni kondakta wa Basi

    habari ya jumamosi. ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi. mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus. nawaza...
  15. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Ifahamu 'Bahati' inavyopatikana katika maisha ya mtu

    Bahati ni jambo au matukio yasiyowezekana, yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Kwasisi wanaadamu matukio chanya na hasi yanaweza kutokea wakati wowote, kwa sababu ya michakato ya asili na isiyo ya nasibu, na kwamba hata matukio yasiyowezekana yanaweza kutokea kwa bahati nasibu. Kwa mtazamo huu...
  16. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Tanesko :Tunayaangaza Maisha yako . Thread maalumu ya kero za huyu bwana

    Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe .. Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills . Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni ipi? What so special about twiga Mpaka awepo kwenye Shirika tata lenye majukumu Ya kizalendo na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama ya maisha

    Pamoja na agenda hii kuwa katika sharti mojawapo ya maandamano ya CHADEMA ni vema Serikali ikawafikiria wananchi juu ya kutatua tatizo hili. Wananchi wanapitia maisha magumu ikiwa ni pamoja ukosefu wa umeme, bei ya mafuta, gharama ya usafiri, bei ya sukari, nyama, samaki na bidhaa nyingi...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moja ya dalili kuwa hujitambui na hujiamini ni kutuma nauli kwa mwanamke ambaye ndio kwanza mnaanza mahusiano

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini. Wewe umemtongoza Binti au mwanamke labda kwenye Daladala, au mtandaoni,au umekutana naye mtaani au Kanisani au popote. Ni...
  19. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

    Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana kama kwenu maisha magumu ukimaliza kidato cha nne nenda VETA, achana na kidato cha 5

    Kidato cha 5 muwaachie watoto waliotoka familia zilizoendelea. Miradi ya kimkakati karibu yote itaajiri vijana kutoka technical colleges ngazi ya diploma na certificate (NTA level 5&6). Ukiwa kazini utaipambania degree utaitwa boss Utakuwa hero aliyetoka mavumbini. Msije kusema sijawaambia.
Back
Top Bottom