maisha

  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni sababu zipi zinakufanya ushindwe kabsa kuwa sehemu ya maisha ya mtoto wako?

    Kama mwanaume, inakuwaje unakubali na kuamua kuwa watoto wako walelewe na mke wako pekee na si wewe pia kama baba katika familia? Nadhani ni muhimu kuuliza, kwa nini mwanaume angeweza kuchukua maamuzi ya kumwacha mke wake peke yake kubeba jukumu la malezi ya watoto kwenye ulimwengu huu...
  2. JamiiForums Tanzania Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

    "Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

    Kinje kama kinje kaongea Akiongea na Radio moja pale SA Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote. "Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha yangu

    Habar za mda ndugu zangu. Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana. NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa, nilizaliwa mkoani Tanga katika familia hata kula yetu ulikuwa Haina mpangilio wa ratiba, kunawakat tulilala njaa kabisa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Fly Emirates na Arsenal ni mkataba wa maisha

    Hii timu tangia ijengewe uwanja wa Emirates imekua kama koloni la hii kampuni ningependa kujua wadau huu ni mkataba wa maisha kutokana na kuwajengea uwanja wenye kujua wanijulishe wakuu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Maana ya maisha mazuri

    Kwa wanaume ni;- 1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako. 2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako. 3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako. Kwa mwanamke ni;- 1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje. 2...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: ukifiwa, unavukaje maumivu na kusonga mbele na maisha?

    Rafiki yangu amefiwa na mama mzazi na mdogo wake siku moja kwenye ajali. Anaumia sana, imepita wiki sasa, ila bado analia kila siku na kuongea peke yake mpaka tunaogopa. Kama umeshawahi kufiwa na mtu wa karibu, nini kilikusaidia kutuliza maumivu na kuweza kusonga mbele?
  8. JamiiForums Tanzania Polisi - Morogoro wathibitisha watu wawili wamepoteza maisha kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linathibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kwa athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Vifo hivyo vimetokea katika nyakati na maeneo tofauti. Tukio mojawapo limetokea usiku wa kuamkia Januari 30, 2025 katika mtaa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha yako ni biashara yako: Jizoeze kuweka mipaka, huwezi kuwa mwema kwa kila mtu

    Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika sana na tatizo siyo wanaokutumia ila wewe unayetumika. Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

    Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam. Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu. Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati...
  11. JamiiForums Tanzania Mateka wa Israel Arbel Yahud; ataachiliwa huru Ijumaa ijayo, huku Israel ikiwaachilia wafungwa 30 wanaotumikia vifungo vya maisha

    Wanaukumbi. ⚡️JUST IN: An agreement has been reached regarding the Israeli prisoner Arbel Yahud; she will be released next Friday, while Israel will release 30 prisoners serving life sentences.—Hebrew Maariv Newspaper. =============== ⚡️Makubaliano yamefikiwa kuhusu mfungwa wa Israel Arbel...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanawachukia sana wanawake?

    Mwanaume akitaka kumshusha thamani mwenzake atamuita jina la mwanamke, viungo vya mwanamke au kumpa sifa au hulka za wanawake kama namna ya kumuaibisha, kumtusi au kuonyesha udhaifu wake. Naona limekua jambo la kawaida hasa huku mitandaoni na hata huko nje kwenye jamii zetu. Naomba nisaidiwe...
  13. JamiiForums Tanzania Ana miaka 32 Hana mke Hana mtoto Hana maisha anasema nisioe, kama kuoa ni kutoafanikiwa mbona yeye bado fukara😃

    Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

    Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nshala alitishiwa maisha sababu ya kupinga Mkataba wa DP World. Uteuzi wake CHADEMA unamaanisha nini kwenye Siasa za Tanzania?

    Wakuu, Januari 21 ulifanyika Uchaguzi Mkuu CHADEMA kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti kwa Bara na Zanzibar, ambako Lissu alitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA, siku hiyo pia ulifanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama na Lissu akafanya uteuzi wa viongozi, na kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Chunga vitu vyako ukiacha ovyo vinaweza kukugarimu na kukuhalibia maisha yako

    nywele zako,mchanga wa unyayo wako,kucha,Jina lako,manii,mkojo ,picha yako au kipande cha nguo yako, kinaweza kuchukuliwa na adui ili kukutawala, au kulipiza kisasi kwako kwa kuharibu furaha yako katika mambo ya mapenzi na pesa.
  17. JamiiForums Tanzania Tusipangiane maisha

    Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho?
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Nimekuwa nikilitafakari jambo hili kwa muda sasa kuhusu ni nini maana ya kweli linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha. Sio kuhusu uzuri, umri, au mambo ya muda mfupi. Ni kuhusu kujenga kitu cha kudumu na chenye maana. Ninachotafuta ni mtu mwenye maadili thabiti, moyo wa upendo, ukomavu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Life is truly a Numbers Game/ Maisha kiukweli ni mchezo wa namba

    Life is truly a Numbers Game Maisha ni mchezo wa namba Ukiwa unatafuta fursa Fulani , usiweke uhakika wa kuipata hiyo fursa Kwa mtu mmoja peke yake Haijalishi huyo mtu ni nani kwako au unafahamiana nae miaka mingapi. Jaribu kuwa na utamaduni wa kuwatafuta watu wengi kadri ya uwezavyo ...
  20. JamiiForums Tanzania Maadui sita(6) hatari katika maisha yako.

    Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini, Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN). Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…