Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
Wakuu habari
By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza).
Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi.
Ninahitaji kupata gheto maeneo ya Sinza zifuatazo
1. Sinza Kivulini
2. Lufungila hadi kwa mama ngoma
3...
Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema.
Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora yatakayoundwa na vyeti vyao. Hata hivyo, hatua ya kutoka darasani na kuingia mtaani huleta ukweli...
https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5
===================
Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka
Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi mzoefu wa Ujenzi wa Maghorofa marefu.
Pia mngemfanyia Mahojioano Mtaalam wa Mipango miji...
Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground.
Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories.
Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja Mkuu wa Mkoa na Dr. Janabi eti kuokoa? Wanaokoa nini kama si kutafuta kick na attention kwa watu...
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
🏟 — 76 Mechi
✅ — 27 Ushindi
🤝 — 22 Sare
❎ — 27 Vipigo
⚽ — 82 Magoli ya kufunga
🥅 — 68 Magoli ya kufungwa
🚫 — 31 Clean Sheet
OFFICIAL: Yanga SC 🇹🇿 imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa...
Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika.
Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
Sasa nianze kwa kutanguliza Hongera kwa wote ambao hamkukwepa umande
lakini poleni ambao mlikwepa umande kwasababu zenye mashiko kama Ada, magonjwa na kufiwa na
Wategemezi hali iliyopelekea kuanza kutafuta hela mapema.
Lakini ifike mahala wasiosoma mtuheshimu ambao hatukukwepa umande...
Leo nimemkumbuka anko wangu aliyefariki kabla sijqanza hata vidudu lqkini nilikiwa najitambua.
Uncle akiwa darasa la tano, alikuwa amejijengea chumba chake cha kulala hapo nyumbani. Alikuwa na marafiki hadi wazungu alipokuwa form 1. Alikuwa anafuga kuku, bata na na anapiga pesa huku shuleni...
Igweeee
Waswahili husema bongo bahati mbaya,, hatimaye zamu yangu kwenda ng'ambo imekaribia
Ni hivi nimekuwa na ndogo hii kwa muda mrefu baada ya kuimaliza elimu ya chuo bongo na kusota bila ajira na hivyo akili yangu yote ikawaza kuhama hii nchi kwenda kutafuta maisha nchi yoyote tofauti na...
Karibu SANA Jimboni limpopo katika municipal ya polokwane (pietersburg) ni mji mzuri sana watu wengi wanafanya matendo ya kumpendeza Yesu yani matendo matakatifu kama lilivyo Jina lake polokwane (sanctuary) utakatifu
Wengi watajiuliza limpopo ni nini? Limpopo ni jimbo lililo magharibi mwa south...
Ni siku nyingine tena tupitie mambo ambayo hutufanya tujifunze namna ya kuishi na kuwa bora zaidi
Fahamu kwamba kama watu hawa kupendi basi jua unafanya mambo yako kwa usahihi,si unajua kuna ile mambo ya shule unasoma sana na kujituma utaambiwa "huyu nae anasomea kijiji" au unafanya kazi zako...
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster.
Mwamba akalala mazima. Ooh...
Wakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha?
Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi kwani ninaujuzi wa utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote na pia nina vifaa vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.