maisha

  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wowote wa watu kuombeana kheri na baraka katika Maisha yao

    Je kuna umuhimu wowote wa watu kuombeana kheri na baraka katika maisha yao? jibu ni ndiyo . Katika MAISHA chochote kinachokufikia wewe kuna sehemu kilikuepo na kuna sehemu kimetoka hadi kukufikia wewe. Ikiwemo Pesa n.k. Hivyo ni muhimu kuelewa everything is connected , kila kitu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Uchaguzi Mkuu, Viongozi wa Dini Wasiishie Kuionya Tu Serikali, Bali Wawashauri Pia Waumini Kutohatarisha Maisha Yao, Kama Hakuna Reforms.

    Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
  3. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Taja majina ya mboga za majani ulizotumia, au unazotumia mpaka sasa

    Wale ambao tumekulia maisha ya kijijini, au maisha ya hali ya chini, kuna aina za mboga za majani ambazo zilitulea na kutupa afya njema. Huenda kwa sasa hukutani nazo kwasababu ya kijiografia, hali ya maisha uliyonayo sasa, kuchangamana na watu wa jamii nyingine, au kwasababu nyingine yoyote...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Tunaishi: Lakini Hatufikiri: Nakerwa na Watu Wasiotafakari Maisha Yao, Kwa Nini Watu Wengi Hawajiulizi Maswali Muhimu?

    Kuna kitu kimoja huwa kinaniumiza ndani kabisa ya moyo wangu: watu wanaoishi bila kufikiria matendo yao, bila kujiuliza maswali ya msingi. Watu wanaoishi kwa mazoea, kwa haraka, bila kujali mambo yanavyowaathiri wao na wengine. Mimi ni mtu wa kutafakari sana. Nikiwa peke yangu, huwa nafikiria...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  7. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 10 iliyopita sijaona mtu anayeongoza kwa kuishi maisha ya Anasa, Starehe na Gharama ya hali ya juu ulimwenguni kama huyu mwamba

    Huenda kuna matajiri ulimwenguni waliopo na waliopata kuishi, kama kina Mobutu seseko, Kina King khan, Bill gates, Elon musk nk. Pia wapo matajiri wa mafuta huko Saud Arabia na watoto wa mabilionea kama Prince of Saud Arabia nk. Pia wapo celebrities wenye uwezo mkubwa kifedha wanaomiliki Lavish...
  8. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Shambulio katika jengo la idara fulani kugharimu maisha hasa watoto.

    Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo. Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa kwa uzembe, na ikumbukwe kua kabla ya tukio siku chache nyuma katika idara hii kulifanyika mabadiliko...
  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nikigraduate tu, siwezi kutafuta maisha Tanzania, naanza na Botswana

    Ajira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm.. Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia. Bongo Sina future napo.
  10. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Usisubiri uchelewe ndipo uanze kuelewa maana ya maisha

    Ndugu zangu wa thamani, Tunapoelekea sherehe za Pasaka ,tunapoadhimisha kifo na ufufuko wa Yesu Kristo ,binafsi napenda kuwaachia maneno haya kwa tafakari na tathimini ya maisha kibinafsi kwa mmoja wetu ………! “Kabla sijakuumba katika tumbo la mama yako, nalikujua…” (Yeremia 1:5) Maneno haya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Somo la maisha

    Angalia kwa makini picha hii Chatu kamkaba mfalme cobra huku mfalme cobra akimng'ata chatu..Nyoka wote wawili walikufa, mmoja kutokana na kukosa hewa na mwingine kutokana na sumu. Na hivi ndivyo watu wanavyoangamizana. Urafiki huisha uhusiano huisha Familia huishia kuharibikiwa kwa sababu kila...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Usiudharau Mwanzo wako mdogo ikiwa ndo unaanza MAISHA ya utafutaji kama kijana.

    Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step. Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua ...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kuendesha maisha

    Habari wanaJF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni bachelor degree in Logistics and Transport Management, naomba nafasi ya kazi yoyote ile itakayosaidia kuendesha maisha
  15. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

    Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
  16. The Black Hermit

    JamiiForums Tanzania Pikipiki gani inanifaa kwa matanuzi ya hapa na pale katika maisha?

    Habari wadau, sina uhakika kama jukwaa hili linafaa kwa hoja yangu hivyo natanguliza samahani kwa atakayekwazika. Nimefikiria na kuamua niishi mbali na kituo cha kazi na niwe nakuja na usafiri wangu binafsi kuliko kukaa karibu na kituo cha kazi. Baada ya kufikiri sana, nimekuja na wazo la...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Katika maisha hakuna msamiati wa kuchelewa kila wakati ni wakati sahihi kwakuwa watu wengi tunajua tunataka nini ila hatujui hiyo nini hasa!

    Ukirudisha Majira na Nyakati Nyuma . Yawezekana hapo ulipo ungeambiwa utafika hapo wewe mwenyewe usingekubali kirahisi. Mfano ungeambiwa kuwa utafikisha miaka 30 bila kuolewa bila mtoto bila degree au diploma bila Kazi ya uhakika au Biashara bila Pesa, lazima ungekataa kabisa . Ila ndo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mateso matano yanayotesa watu wengi, kila mtu huyapitia kwa namna na jinsi yake, ni ngumu kuyakwepa

    MAHUSIANO - Kuna watu wanapigania sana mahusiano yao yasivunjike, kuna waliochoka na mahusiano wanatafuta mlango wa kutokea lakini hawauoni mlango wa kutoka, wengine wana kiu ya mahusiano wanautafuta mlango wa kuingilia lakini hawauoni, watu wanasalitiwa na kuachiwa vidonda vya milele, mtu...
  19. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani Siasa za 2025 zishakwisha tunapoendelea kupambania Maisha na Afya zetu tujadili hivi vifurushi vipya vya NHIF

    Habari jf , ni vifurushi vya Ngorongoro na Serengeti kwa kuanzia :- 1. Kuna dawa muhimu zimetolewa 2.Gharama zimeongezeka 3.kuna ukomo wa gharama zako za kutibiwa Nini kifanyike kuboresha hivi vifurushi na huduma za afya ?
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi ndivyo waafrika walifurahia maisha katika miaka ya 1970

    Sina maneno Sina maneno, ila ukweli ndiyo huu
Back
Top Bottom