maisha

  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wosia kutoka kwa Babu yale aliyefundishwa na Wahenga juu ya maisha: Yale Mwanaume anatakiwa kujua

    "Wakati mwingine, wewe ndiye tatizo." Kuna baadhi ya kweli katika maisha ambazo ni ngumu kumeza—lakini kuyakwepa hakuyabadilishi. Yanauma, lakini yakikubaliwa, yanaweza kukuokoa. Ukitaka kuwa mwanaume wa kweli, si kwa umbo wala umri, bali kwa busara na uwezo wa kutambua makosa yako na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ulisikia maisha ni nafuu ila ulipofika ulikuta hali tofauti

    Mfano kusikia gharama za maisha ya mkoa flani zipo chini kumbe kuingiza hata pesa kidogo ni shida, Kusikia mkoa flani una mzunguko wa pesa kumbe kumbe maisha yapo juu mno
  3. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

    Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
  5. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Siku kama hizi zipo tu kwenye maisha ila inauma sana sio siri

    Nasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa, Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada ya missed abortion. Ni taarifa mbaya kiukweli nadhani niishie hapa tu.
  6. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Laana ya mizimu na hatari katika maisha yetu hakika nyota zetu zipo kuzimu

    LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao.. Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Finland - Utatuzi wa migogoro unahitaji umahiri sana tukikumbuka maisha ya Balozi Martti Ahtisaari

    RAIS STUBB - UMUHIMU WA USULUHISHI, MARIDHIANO, AMANI NA HAKI Hotuba ya rais Alexander Stubb jijini Dar es Salaam akiendelea na ziara yake nchini Tanzania Rais wa Jamhuri ya Finland Picha: Matti Porre/Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Finland Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Haya ni majibu ya kijana anayeishi maisha ya useja

    Tulikuwa katika mazungumzo na vijana tofauti kuhusu maisha, kijana mmoja akaleta mada ya useja Kwa kuanza tulianza na mfano kwa kijana mmoja anayesemekana anaishi peke yake Nilianza na swali la kwanini ameamua kuishi peke yake nakama sababu ya ugumu wa maisha inachangia Kijana yule hakuwa na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro

    Wadau nawasalimu Ndugu zangu mimi nalitumikia taifa kwa kuwahudumia watanzania wenzangu kwenye moja ya kada yenye kugusa maisha ya kila mtu. Kwenye hili jukwaa siyo mgeni sana Nimepata transfer ya kwenda ktk wilaya ya Same Kilimanjaro. Kwa nature ya kazi yangu eneo la kufanyia kazi itakuwa...
  10. Fund man

    JamiiForums Tanzania Roma mkatoliki Tunga wimbo kufuatia Hali ya siasa na maisha hapa bongo

    Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha. Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake

    Wakuu, TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi (Senior Advocate)...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mradi unaodhaminiwa na China waibua maisha mapya katika Hifadhi ya Jiolojia ya Ngorongoro Lengai nchini Tanzania

    Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mimea mitano inayolindwa zaidi Duniani Na maisha ya siri ya kujamiana kwa mimea!

    Welwitschia ni mmea wa kipekee unaopatikana katika jangwa la Namib, kusini mwa Angola na Namibia. Ingawa ina majani mawili tu, huweza kuishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Kwa mujibu wa Botanical Society of Namibia, mimea hii huchukua maji kutoka kwenye ukungu wa asubuhi na hivyo kustahimili...
  14. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Je, Teknolojia Inatufanya Tuishi Maisha ya Kujitenga Zaidi?

    Habarini wana JF; Hebu tuchangamshe genge Kama Title inavyosomeka hapo juu, Katika dunia ya sasa, teknolojia imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Simu zetu mahiri, mitandao ya kijamii, na majukwaa ya mawasiliano yamerahisisha sana kuwasiliana, lakini swali linabaki: Je, tunazidi kujitenga...
  15. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ufungue Mbingu yako ya 7 ya ufahamu

    Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu. Katika mafundisho ya dini na mila nyingi: Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni viwango vya uumbaji na uhai wa kiroho. Mbingu ya saba ni ya juu zaidi, iliyojaa mwanga, hekima, na...
  16. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Lissu maisha yake yapo hatarini

    Naona matatizo yanaweza kumtokea Lissu. Lissu anaweza kufanya nini kujiokoa? Hawezi kufanya kitu chochote,kwa sababu yuko gerezani. Lakini fikiria Ile verse katika Biblia,"The outcry against Sodom is very great. I am going there to find out what the heck is going on." Chadema is in chaos...
  18. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Mijadala ya Falsafa ya Maisha baina ya Waafrika Inanipa Wasiwasi Tofauti Yetu na Sokwe ni Kwamba Sisi Ni Sokwe Tuliochangamka

    Tangu nilipoanza kujitambua na kupitia misukosuko ya utu uzima, nimejikuta nikivutwa na hitaji la kutafakari maisha ya binadamu kiujumla — si kwa mtazamo wa mafanikio binafsi, bali kwa namna ambavyo maisha yetu yameumbika kama jamii, kama viumbe wenye akili. Maswali haya yamekuwa yakijirudia...
  19. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Double standard: Masauni alipigiwa, Bashungwa ala maisha

    Habar wakuu. Kuna kitu kinaendelea nchini ambacho kimsingi sio kizuri. Utekaji unaendelea kama kawaida . Nauliza tatizo ni uislam wa Masauni au ni Ukristo wa Bashungwa? Mbona hatusikii kwamba Bashungwa hafai kama ambavyo mitaa ilivyojaa kelele kwamba Hamad Masauni hafai?
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Usijiue, yape maisha nafasi

    Changamoto ni nyingi sana unazozipitia. Kuanzia kwenye familia yako ,kazini kwako na pia hata kwenye mahusiano yako. Na pia labda una changamoto ya kiafya ya muda mrefu inayokutesa kiasi kwamba unatamani kujiua. Yape maisha nafasi .. Labda pengine kuna Mwanga mbeleni. Pia ukosefu wa kipato...
Back
Top Bottom