maisha

  1. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kivuko cha Pangani ni hatari kwa maisha ya Watu, tunalalamika kuhusu ubora wake lakini bado hali ni tete

    Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
  2. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Maisha ni hadithi fupi

    Kutoka kuitwa Mheshimiwa ama Boss mpaka kuitwa Marehemu, kutoka kuvaa cheni za Dhahabu na vidani vya Almasi mpaka kuveshwa Mataji, kutoka kutupia Pamba kali mpaka kuwekwa pamba puani. Kutoka kupokelewa VVIP Airport mpaka kusubiriwa sehemu za mizigo ili Jeneza lako liwasili, kutoka kulala hotel...
  3. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  4. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Ratiba ni kitu sahihi katika maisha

    Habari.. Katika maisha yetu ya kila siku ni vyema kuwa na RATIBA yoyote inayoongoza maisha yetu kama ni kwa Wiki,Mwezi, Miezi au hata Mwaka...Almuradi tuu tusiache kuwa na RATIBA inayotoa kipaumbele katika Maisha yetu.. Mfano nkiwa mdogo kuna familia pale street ilikuwa na ratiba ya diko...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wabongo, yani mtu kaleta topic ya kusikitika akikumbuka maisha ya jela, ila haya ndio maswali ya kwanza wanamuuliza 🤣

    Post: Comments:
  6. Palina

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

    Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani. Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu. Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha. Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kufa

    Kuna pepo na kuna moto Maisha ya Watu wa Peponi (Ahli Jannah) Sifa Kuu za Peponi: Neema zisizoisha: Kuna mito ya asali, maziwa, mvinyo usioharamisha, na maji safi (Qur’an 47:15). Makazi bora: Nyumba za dhahabu na fedha, zenye mito inapita chini yake (Qur’an 18:31). Chakula na matunda...
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

    Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa. Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao. Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana. Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi...
  9. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Status yako ya maisha kwa sasa inaashiria nini?

    -Una Furaha, -Huzuni -Amani ya moyo -Unafurahia maisha -Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha -Unateswa/ kufurahia mapenzi -Madeni -Magonjwa -Migogoro nk -Huna kazi -Kipato kidogo nk Kwa upande wangu mimi ni 50/50 Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote...
  10. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Ukitambua kifo jua umetambua maisha

    Huu Ndio Mwisho Wa Miili Yetu Sisi Ni Wapita Njia Tu Katika Hii Dunia Sio Mahali Pa Kujiona Mbora Kupita Mwenzako Eti Kisa Unaishi Maisha Mazuri Ukajiona Mbora Hapana Sote Mwisho Wetu Huu👇👇👇 Tuombe Mwisho Mwema Na Sote Tuingie Katika Pepo Yake.
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa. Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k. Matukio kama matatu...
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  13. simba wa dodoma

    JamiiForums Tanzania Maishà magumu Sana wadau nahitaji msaada

    Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Wenye ajira za ujira mdogo wanaishi maisha magumu/ kuteseka zaidi kuliko wasioajiriwa kabisa

    Ukishakua una ajira, haijalishi unalipwa kiasi gani, jamii inategemea unapata hela, hivyo, kuna kuandamwa na ndugu jamaa na marafiki. kwa upande wasio na ajira, wao jamii haitegemei makubwa kutokwa kwao, ingawa wanaweza kua wanapata hela kubwa zaidi ya waioajiriwa. Sasa fikiria, mtumish...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

    Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kujikubali: Maana Halisi ya Ujumbe wa Body Positivity

    Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya body positivity imekuwa ikijadiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii na katika jamii kwa ujumla. Hata hivyo, mara nyingi maana halisi ya ujumbe huu hupotoshwa au kueleweka vibaya. Body positivity haimaanishi mtu kuwa na mwili mnene na manyama uzembe na...
  17. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nyie masimp ishini maisha yenu

    Ujumbe wa J2. Mwanamke popote ulipo mruhusu Mume wako aishi mkumbushe kuishi hiyo ni haki yake ya msingi anastahili kuishi Kuna wanaume wanatia huruma anakuwazia mema anatumia kila alicho nacho kwa ajili yako wewe na watoto na hajali kuhusu yeye ilimuradi wewe na watoto wake mnafuraha mnapata...
  18. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maisha yalivyo kubali kataa

    Ukifika polini/mbugani utaona Simba wakiwala swala ili waishi japo swala nao Wana taka kuishi ila Wana kula majani amabayo nayo Yana taka kuishi Ukienda baharini utakuta samaki wakubwa Wana Wala samaki wadogo ili waishi japo samaki wadogo nao wanataka kuishi na wanakula wadudu wa baharini na...
  19. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Ina maana JF majobless/wenye maisha magumu ni wa kiume tu?

    Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wowote wa watu kuombeana kheri na baraka katika Maisha yao

    Je kuna umuhimu wowote wa watu kuombeana kheri na baraka katika maisha yao? jibu ni ndiyo . Katika MAISHA chochote kinachokufikia wewe kuna sehemu kilikuepo na kuna sehemu kimetoka hadi kukufikia wewe. Ikiwemo Pesa n.k. Hivyo ni muhimu kuelewa everything is connected , kila kitu...
Back
Top Bottom